Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Champagnee inakuhusu hii Mr Printer [emoji23], then kwa Tsh ukisoma haya maelezo chini ya exPresident wa Russia yanarejea kwenye ile issue tulowahi zungumza huko nyuma... Russia sio kwamba hajui mbinu za US dhidi yake... Ni swala la mda tu tutaona kila mtu matokeo yake.

[emoji635][emoji779]Dmitry Medvedev: The goal of US assistance to Ukraine is to continue the proxy war against Russia, the desire to inflict a heavy defeat on our country, limit its economic development and political influence in the world.

Will not work. Their printing press, due to which America is constantly increasing its already inflated national debt, will break faster. But the goals of the special operation will be achieved
Meanwhile Kharkiv liberated. UKRANIANS back to the city .

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Boss, kwa maoni yangu mfumo wa ulipaji sidhani kama unaingia kwenye deni la taifa moja kwa moja katika ukubwa wake bali rasilimali za nchi iliyo vitani zinaumuhimu hapa. Naamini kabisa kuwa, Vita vina faida kubwa sana kwa matajiri wanaowekeza kwenye vita. Na katika hili lazima kuwe na ground fight, wanajeshi waingie kisiri au waziwazi na kabla lazima kuwe na muda mrefu sana wa kuhakikisha kuwekeza hapo kutalipa.
Shukran MKUU
 
Ujue Putin hajui hata anachopigania ujue .Mara NATO ,mara Cremia,Luhansk nk anataka yawe huru ,mara yajiunge na Urusi ,mara serikali ya Ukraine iondoke ,mara Ukraine intergenerational referendum, mara maramara yaani hajui hata anachokitaka kwa hii vita .Na uwezi kuwapa watu uhuru au kuchukua nchi za watu kwa vita.Mashabiki wa Putin msaidieni kwa hili
Yani we ni wakumwambia Putin hajui anachopigania!!?we mjinga mmoja wa huko Mbwinde ambae hata la7 hukufika unajibabadua hapa......
Aisee kuna maajabu humu jf
 
Mrusi zaidi wewe ,ulaya wameanza kutafuta altenative. Unafikiri ulaya ni Tz .Mnasubiri akili za waziri wenu which has no long term solution. Mafuta yakipanda nao wanalialia kama mimi
Mie nlijua washapata kumbe ndio mwanzo wanatafuta
Kweli ulaya wanaakili kama mnavyowasemea
Ila kwa hiki kinachoendelea huko UKRAINE wameonesha Upumbavu wao ulipojifichia
Tena kama GER sikuwahi kudhania kama wana phd ya UPUUMBAVU
 
Russia leo kachezea kichapo heavy hana hamu,vyombo vya Kimataifa vimeripoti ushindi na ku advance kwa jeshi la Ukr leo 👇

Screenshot_20220511-212254.png

Screenshot_20220511-212235.png
 
Tell em hawa mashabiki wa Putin, kitu kidogo matusi Kama yote wakihisi watu watakubaliana nao kwa matusi..[emoji706]

Huwezi kuonekana smart na mwenye hoja kwa kutukana instead of kudefend kile unacho kiamini.
Sio Pro Putin pekee, but baadhi katika makundi yote mawili. Wekeni hoja tuwasikie. I can take example from 1954 and babu na mjukuu hawa wote ni Pro Russia lakini hawatukani. The same to this Guy Tsh, He don't Support Russia na hatukani.

Let's argue with fact na tukubali kushinda au kushindwa kwani asiyekubali kushindwa sio mshindani.
 
goals of the special operation will be achieved
Champagnee inakuhusu hii Mr Printer [emoji23], then kwa Tsh ukisoma haya maelezo chini ya exPresident wa Russia yanarejea kwenye ile issue tulowahi zungumza huko nyuma... Russia sio kwamba hajui mbinu za US dhidi yake... Ni swala la mda tu tutaona kila mtu matokeo yake.

[emoji635][emoji779]Dmitry Medvedev: The goal of US assistance to Ukraine is to continue the proxy war against Russia, the desire to inflict a heavy defeat on our country, limit its economic development and political influence in the world.

Will not work. Their printing press, due to which America is constantly increasing its already inflated national debt, will break faster. But the goals of the special operation will be achieved
Hii kauli yakibabe sana yaani
 
Mkuu nakubaliana na ww kuwa makampuni ya silaha ya marekani yana faidika hii vita na ndio maana Marekani anafanya kila aina ya hila ili visiishe.
Uwezekano huu ni mkubwa sana mkuu
 
Champagnee inakuhusu hii Mr Printer 😂, then kwa Tsh ukisoma haya maelezo chini ya exPresident wa Russia yanarejea kwenye ile issue tulowahi zungumza huko nyuma... Russia sio kwamba hajui mbinu za US dhidi yake... Ni swala la mda tu tutaona kila mtu matokeo yake.

🇷🇺❗Dmitry Medvedev: The goal of US assistance to Ukraine is to continue the proxy war against Russia, the desire to inflict a heavy defeat on our country, limit its economic development and political influence in the world.

Will not work. Their printing press, due to which America is constantly increasing its already inflated national debt, will break faster. But the goals of the special operation will be achieved
Asante kwa kurejea hii info kutoka maktaba.😃
 
Sio Pro Putin pekee, but baadhi katika makundi yote mawili. Wekeni hoja tuwasikie. I can take example from 1954 and babu na mjukuu hawa wote ni Pro Russia lakini hawatukani. The same to this Guy Tsh, He don't Support Russia na hatukani.

Let's argue with fact na tukubali kushinda au kushindwa kwani asiyekubali kushindwa sio mshindani.
Naunga mkono hoja.
 
Huh ila kutukanana huku JF ishakuwa kama sehem ya tamaduni tu. Kama una roho ndogo kutukanwa basi hapa ni Pagum tena pagum haswa.
 
Tayari bomba la mrusi kupitia baharini kwenda ujerumani lilishakamilika, hapo wanaokomolewa ni ulaya sio mrusi
Na Mrusi ameshawaambia Germany hana Muda wa kuwasubiri,Hilo bomba amelisha-divert linaenda kusambaza gas humo humo nchini kwake(Russia),wakitaka gas watapata Ila sio at full capacity,kwa full capacity wameambiwa wasubiri mpk 2028(Germany wananyooshwa hapa, maana kabla ya OP ya Ukraine bomba lilikua tayari ku-supply at full capacity).
 
Karibu wanajeshi 26,350 wa Urusi wameuawa, yasema Ukraine

Urusi imepoteza wanajeshi 26,350 tangu ilipoivamia Ukraine tarehe 24 Februari, Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ilisema katika sasisho lake la hivi punde.

Ukraine inadai jumla ya hasara iliyopata Urusi ni pamoja na:

Vifaru 1,187

Magari 2,856 ya kivita

Mifumo 528 ya kivita

Mifumo 185 ya kurushia roketi

Mifumo minane ya ulinzi wa anga

Ndege 199

Helikopta 160

Ndege 290 zisizo na rubani

Makombora 94 ya meli

Meli 12 au boti

Magari 1,997 na malori

Vitengo 41 maalum vya vifaa

View attachment 2220563
Angalia data , fanya comparison nani yuko hoi alafu endelea kusherehekea
IMG_20220511_224101.jpg
JamiiForums204638581.jpg
 
Back
Top Bottom