Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ujue Putin hajui hata anachopigania ujue .Mara NATO ,mara Cremia,Luhansk nk anataka yawe huru ,mara yajiunge na Urusi ,mara serikali ya Ukraine iondoke ,mara Ukraine intergenerational referendum, mara maramara yaani hajui hata anachokitaka kwa hii vita .Na uwezi kuwapa watu uhuru au kuchukua nchi za watu kwa vita.Mashabiki wa Putin msaidieni kwa hili
Ndio maana hata hao WESTERN hawajui lengo la PUT IN
jamaaa akili kubwa sanaa!!!!!
 
Watu hawajui kuwa vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi .Na ninachokiona USA walitaka hii vita ipiganwe at any costs ili ku stabilise uchumi wa dunia baada ya COVID Kuna mmarekani mmoja ameniambia uzuri nyie mnaangalia vita kwenye majengo,wakimbizi,vifaru nk wao wanaangalia kwa mtazamo tofauti na effect yake na what CIA is doing behind the scenes itaonekana after 6months onwards.
Kamba
 
Usisahau kuweka neno "kwapamoja' utaharibu hesabu
Russia anapambania ODESSA na Nato wanajua maana yake ndio maana wakafanya mpango wa pata potea ili kukomboa snake Island . Black sea ni muhimu sana ili uwe na control yake na bandari ya ODESSA muhimu ukaxontrol snake Island. NATO hawajakosea kuvamia bali case kama hizo kosa la mtu mmoja au bahati tu kwa upande wa pili mmekwisha. Utaona Russia kalegeza Kharkiv ila anaitaka Oddessa hakuna cha zana za kilimo mbolea wala kuuza ngano . uN imetabiri njaa kali Ukraine miezi michache ijayo. Utaelewana tu

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ujue Putin hajui hata anachopigania ujue .Mara NATO ,mara Cremia,Luhansk nk anataka yawe huru ,mara yajiunge na Urusi ,mara serikali ya Ukraine iondoke ,mara Ukraine intergenerational referendum, mara maramara yaani hajui hata anachokitaka kwa hii vita .Na uwezi kuwapa watu uhuru au kuchukua nchi za watu kwa vita.Mashabiki wa Putin msaidieni kwa hili
Kherson is gone
Odessa loading...
 
Ingekua picha tupu bila maelezo, wangedai ni za Russia.

Russia are starving [emoji23]...

Hio kauli anayozungumza jamaa ingezungumzwa na mswahili hapa angeulizwa kwa hiyo wewe ndio unajua kuliko wao? Wewe ndio unajua ila hao think tank wa US na Eurupe kwa ujumla hawalioni hilo?

Na mengine mengi ya kejeli [emoji119]
[emoji1][emoji1][emoji1]
FSaOaI2XMAcMW4e.jpg
 
Ingekua picha tupu bila maelezo, wangedai ni za Russia.

Russia are starving [emoji23]...

Hio kauli anayozungumza jamaa ingezungumzwa na mswahili hapa angeulizwa kwa hiyo wewe ndio unajua kuliko wao? Wewe ndio unajua ila hao think tank wa US na Eurupe kwa ujumla hawalioni hilo?

Na mengine mengi ya kejeli [emoji119]

US kuna maisha magumu sana sijui kwanini watu wanakukimbilia sana kule.
 
Kuna waziri moja wa waUkraine wa JF nadhani huyu hana tofauti na aliyekuwa waziri wa Habari wa Saddam Hussein wa Iraq. Ally Sahaf. Anazoa uchafu kule tweeter analeta huku. Huyu jamaa ni boya kabisa. Yeye anaokoteza vihabari uchwara anatuletea hapa. Angejua kuwa Ukraine ndio inameguka kwa kasi ya 5g asingekuwa analeta upupu wake hapa. Ana majina ya ma3 ya waxhezaji wa simba.
 
Ujue Putin hajui hata anachopigania ujue .Mara NATO ,mara Cremia,Luhansk nk anataka yawe huru ,mara yajiunge na Urusi ,mara serikali ya Ukraine iondoke ,mara Ukraine intergenerational referendum, mara maramara yaani hajui hata anachokitaka kwa hii vita .Na uwezi kuwapa watu uhuru au kuchukua nchi za watu kwa vita.Mashabiki wa Putin msaidieni kwa hili
Ni wewe hujui unachoongea...
 
Uvamizi wa Urusi Ukraine umehamasisha Finland kujiunga na NATO . Asilimia 76 ya raia wameafiki nchi kujinga na NATO haraka iwezekanavyo.

Finnish support for joining NATO has jumped to a record 76% in the latest poll as Russia’s invasion of Ukraine pushes the non-aligned Nordic nation closer to the defense pact.
Support for the North Atlantic Treaty Organization is up from 62% in March and from 53% in February, according to a poll published by Finland’s public broadcaster YLE. The survey of 1,270 respondents showed that 12% of Finns oppose NATO membership, down from 16% in March and 28% in February.

Hizo ni kelele tu za kisiasa hawana huo ubavu kila siku ndo habar yako hii. Hizo kelele zimeanza march tuko may sasa ila hakuna maajabu tutafika june bado kelele hizohzo
 
Oyaaaa [emoji23] mji wa Kherson unajiandaa kupiga kura ya kujiunga na Urusi rasmi[emoji116][emoji116]

#Breaking The Kherson region will appeal to Putin to let them join Russia -say the deputy head of the military-civilian administration Kirill Stremousov.

Elensky ni Rais wa hovyo sana ameshapoteza majimbo muhimu kwa uchumi wa Ukraine. Na kauli ya Russia wamesema hayo majimbo Ukraine ndo wasahau kabisaa.

Na kumbuka washaanza kutumia mitambo ya network kutoka Russia habari mbaya sana hizi kwa [emoji2380]
 
Back
Top Bottom