bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
Na kukuweka sawa swali la pili sikuulizwa Mimi, na nikisema ni mjibie basi nitasema Russia hakutoa muda wa kukamilisha vita yake, Kama vile ambavyo hata nyie hamjuiTunachosema sisi ni kwamba, Russia objectives zake kafanikisha ama bado? Kwanza sidhani hata Kama mnajua malengo yao
Is that not enough to show how unazungumzia kitu usichokifaham?
Can you answer please the second question katika maswali uliyoulizwa?
Do you have a time frame of Operation ambayo unaitumia kama reference ya kuelezea kushindwa kwa Jeshi la Russia Ukraine?
Unajua miaka 20 ni umri wa mtu kuzaliwa hadi kufikia utu uzima? Can you tell us how Taliban survive a war against those "Rich Nations" miaka yote 20?
All Intels of 30 Nation from NATO didn't able to break Taliban in 20yrs. Kwani Taliban alikuwa akipokea msaada kutoka kwa nani?
Hey, uko ready kubishana kwa hoja?
But, hoja yangu ni nyie kusema et ilimchukua NATO miaka 20 ni hoja ya hovyo kwani hamjui hata Kama alikamilisha malengo yake soon after kuingia Afghanistan,
Na, naomba niwaulize swali
1.mnajua kwanini US aliingia Afghanistan!
2.Na je alifanikisha ama hakufanikisha?
3. Kama alifanikisha alichukua muda gani kufanikisha?
Mkijibu hayo maswali then ubishi utaisha