The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Finland kakataa biti za kijinga za Russia 👇
[emoji23]Waonevu huwa hawadumu rafiki yangu hiyo iko hivyo.
Hivo hivyo kwenye uonevu, so tegemea mwisho wa huu uonevu.
Ngoja tuanze na Chelsea kesho kutwa kwanza[emoji16]
Na kukuweka sawa swali la pili sikuulizwa Mimi, na nikisema ni mjibie basi nitasema Russia hakutoa muda wa kukamilisha vita yake, Kama vile ambavyo hata nyie hamjui
But, hoja yangu ni nyie kusema et ilimchukua NATO miaka 20 ni hoja ya hovyo kwani hamjui hata Kama alikamilisha malengo yake soon after kuingia Afghanistan,
Na, naomba niwaulize swali
1.mnajua kwanini US aliingia Afghanistan!
2.Na je alifanikisha ama hakufanikisha?
3. Kama alifanikisha alichukua muda gani kufanikisha?
Mkijibu hayo maswali then ubishi utaisha
Yeye anatoka Leo waaambie pepsi Coca-Cola MacDonald walitooka siku ya pili tu baada ya varangati kuanza na wala wananchi hawajawai lala njaaMambo yameanzaView attachment 2221430
Mimi huwa sijadiliani na watu wa mipasho. Pita kushoto mwana, usitafute attention kwangu.Habari ni nini? Wamesema hiyohiyo tangu miaka 40 walipoanzisha uhusiano wa kibalozi na China bara.
Wamesema hiyohiyo na kuwapa Taiwan silaha ili waweze kujitetea.
Hakika China haina mpango kushambulia Taiwan sasa, hawako tayari, hata kama wangependa.
Kushambulia Taiwan si rahisi vile jinsi ilivyokuwa kwa Urusi huko Ukraine, maana kuna bahari na umbali wa kilomita 160. Bila shaka Taiwan walitazama vizuri sana jinsi manowari za Urusi zinabadilishwa kuwa nyambizi . . . . na China inatazama pia. Roketi ndogo yenye bei ya $ elfu kadhaa inaweza kuzamisha meli yenye thamani ya milioni nyingi...
Majibu kutoka kwa moderator anaetumia ID hii!Bongo Systems zina utaratibu mreeefu. Wakati kwingine huko ni suala la System yenyewe inafuata vigezo ukivitimiza unajikuta You're Verified Already.[emoji736]
Kunywa pepsi Big bro [emoji847]Ok taratibu.
Kutoka kwenye majibu yako itoshe kukiri kua kusema kua Russia failed in Ukraine is Propaganda. Cuz you can't claim something that's doesn't exist. Hujui malengo yao, huna time frame ya Operation so how come umejua au mmejua kua mipango imebuma?, it's insanity claiming Russia failed in Ukraine while you know not of their plan.
Second, Wadai kua hoja ya NATO miaka 20 Afghanistan ni ya Hovyo. Yes ni ya HOVYO kutoka kwenye fikra zako. But to the rest ina mashiko why? Cuz its Reality, NATO took 20yrs in Afghanistan fighting against Taliban. Yet they didn't win.
If not, go back to your source. Tafuta ni Vita gani walivyopigana kwa mda mrefu zaidi kwenye historia yao. Probably utapata kua ni Afghanistan, 5 months more than Vietnam.
Third, You said that US/NATO invade Afghanistan kupigana na hao magaidi after September 11 attack, there after you want us to believe kuondoa Taliban madarakani ulikuwa ni ushindi kwao na sio kuliangamiza hilo kundi la Taliban.
Let say yes kuondoa madarakani ilikuwa ushindi, can you tell us nini walichokua wakifanya mda wote wakiwa hapo? Can you tell us how Taliban up to today wako hapo? Walikuwa wakisaidiwa na Taifa gani? Unasoma history? Tueleze kwanini majarida na vyombo vyote vya habari including wikipedia wrote that Taliban walishinda vita hivyo?
As far as we know, ni kua walivamia kuwapiga hao magaidi na kuwatokomeza kabisa. Swali hicho kikundi kinachodaiwa cha magaidi kimeisha? Why a war have ended with them to regain Power? Is that what you claim to be a Winning by US/NATO?
Again can you tell us why they claim it took 20yrs the same thing ambacho wewe unaona ni cha hovyo?
Can you tell us how long it was? If really sio 20yrs?
"Mbuzi kamla Mbwa" huu usemi nimeukopa kutoka kwa MDAU humu JF
Kama ni Mwanamke ulishawahi olewa Uka achika 🤒🤒🤒🤒Na Ukraine yupo Zelensky na anampelekea moto putin hatareee na meli kailipua na Kyiev kamfurusha na wenye hela yaan western washampiga vikwazo vya nguvu urusi kabaki analialia tu.
Na urusi anaihara NATO hatareee ndo maana hataki ukraine ijiunge NATO maana anajua hatari yake. So kama manhataan waliiba germany so ni akili ya western hapo inatawala tena ya jews.
We unacheze na nchi kama US ambayo ina kambi za kijeshi nchi mbalimbali inafadhili miradi mingi ya maendeleo duniani. Haya Finland inayo inataka kujiunga NATO......
Bado hujajibu kituSwali jepesi Taliban alitolewa kwenye power mwaka gani?
Ilichukuwa muda gani mpaka Taliban akatolewa madarakani since US kuingia Afghanistan?
Nataka unijibu mwenye hoja [emoji16]