Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jibu si vigumu.
1. Silaha hizi ndogo zilitosha kumaliza jeshi la putin katika kaskazini ya Ukraine. Ukraine in SAM300 chahce, zinatosha ili ndegevita za Urusi zinapaswa kupita chini sana na hapa Javelin zinazipata. Tokeo: jeshi la Anga la Urusi halina nguvu katika vita hii, isipokuwa kwa kurusha roketi kwa mbali.
2. Mifumo tata kama Patriot au ndegevita n.k. huwezi kutumia mara moja. Unahitaji kujifunza na kufanya mazoezi miezi, kwa mifumo tata zaidi miaka. Hii sababu NATO wametafuta silaha za Kirusi zinazopatikana kwenye soko la dunia na katika majeshi ya nchi za NATO kama Poland, Ucheki maana ni silaha zilezile ambazo wanajeshi wa ukraine wanajua tayari: vifaru T 72, SAM . . . .
3. Iskander hadi sasa haikuwa tishio kubwa, maana nguvu ya kombora la kasi kubwa ni kuepukana na mifumo ya kuzuia roketi, lakini hazina uharibifu mkubwa zaidi. Na kwa jumla inaonekana Urusi haina silaha nyingi za aina hiyo, hivyo tumeona mifano michache ya matumizi yake. Pia mfano wa juzi walipotumia makombora hayo Odessa, hawakulenga shabaha za maana bali kubomoa hoteli na supermarket. Mfano wa matumizi hovyo ya silaha hizo ambazo ni ghali. tuone akiba itaishia lini.
Aya tufanye ni kweli. Waende Mariupol wakaokoe wapiganaji wao, wamelia mno wanataka msaada. Waende na javelin, shida ipo wapi?
 
Invasion ya Ukraine ni catastrophic failure ambayo itakumbukwa milele. Russia alitangaza malengo yake Ukraine ni denazification na demilitarization. Kwanza unaanzaje Ku denazify Nchi inayoongozwa na Jews, hii si ni kinaya. Kwanza Neo Nazis ni wengi Russia kuliko Ukraine

Ndani ya wiki kadhaa USA ilikua imeshashinda vita Afghanistan, Taliban waliondolewa madarakani, ila USA isingejiondoa mbio mbio manake walikua wameweka Serikali mpya ambayo ilihitaji kulindwa na kupewa mafunzo.

Taliban kabla kuvamiwa walikua serikali kamili kwahio kuwaondoa madarakani ni ushindi mkubwa manake kikundi hicho kilidhoofika, hawana pesa, hawana silaha na hawana sympathy ya raia kama hapo mwanzo. Wakapoteza nguvu zao za kijeshi na ikabidi waanze kuvizia vizia soft targets.

Hio miaka 20 Ilikua kuifunza serikali mpya ya Afghanistan jinsi ya kujitawala,America ilipoona kwamba muda umefika wajitegemee wenyewe wakajitoa. Lakini serikali mpya ikazidiwa ndani ya wiki moja. Alafu nataka ujue kwamba Taliban ya sasa ni tofauti na ya 2001, it doesn't pose any danger to USA
Watu hawajui hichi kitu wanakaza fuvu..[emoji3]

Tatizo wanapenda maneno ya kwenye kahawa, mi nawapa sites wakasome, mtu kachukua nch na amebadili serikal ndan ya week chache wenyew wamekomaa na miaka 20[emoji16]

Sasa kati ya Taliban na US nani alishinda vita? Mtu aliekuja kwako na kuweka serikal mpya pia kukaa hapo kwa miaka 20 na kuhakikisha hakuna shambulio la kigaidi kwenye ardhi yake na akafanikiwa unaanzaje kusema kashindwa.
 
Invasion ya Ukraine ni catastrophic failure ambayo itakumbukwa milele. Russia alitangaza malengo yake Ukraine ni denazification na demilitarization. Kwanza unaanzaje Ku denazify Nchi inayoongozwa na Jews, hii si ni kinaya. Kwanza Neo Nazis ni wengi Russia kuliko Ukraine

Ndani ya wiki kadhaa USA ilikua imeshashinda vita Afghanistan, Taliban waliondolewa madarakani, ila USA isingejiondoa mbio mbio manake walikua wameweka Serikali mpya ambayo ilihitaji kulindwa na kupewa mafunzo.

Taliban kabla kuvamiwa walikua serikali kamili kwahio kuwaondoa madarakani ni ushindi mkubwa manake kikundi hicho kilidhoofika, hawana pesa, hawana silaha na hawana sympathy ya raia kama hapo mwanzo. Wakapoteza nguvu zao za kijeshi na ikabidi waanze kuvizia vizia soft targets.

Hio miaka 20 Ilikua kuifunza serikali mpya ya Afghanistan jinsi ya kujitawala,America ilipoona kwamba muda umefika wajitegemee wenyewe wakajitoa. Lakini serikali mpya ikazidiwa ndani ya wiki moja. Alafu nataka ujue kwamba Taliban ya sasa ni tofauti na ya 2001, it doesn't pose any danger to USA
Yani atleast nimeona mtu ambae anaelewa Kama wewe, Kama wasipoelewa na hapo basi ase.
 
Hata hao Manhattan project utaalamu waliuiba kutoka kwa hitler ujerumani. Kwa sasa hivi nchi iliyopiga hatua kwenye silaha za nyuklia kuliko yote duniani ni Urusi. Russia has a nuclear superiority of 27 to one against British we unaongea nn!? Katika kila silaha moja ya nuclear bayo Uk wanayo urusi wanazo 27 na mimd you za urusi ndio kubwa na more advenced. Achilia mbali umiliki wa silaha bali pia kwenye deliverance urusi hana mpinzani hakuna taifa lenye maendeleo ya makombora kama urusi duniani hii. Uka ni katoto flani hivi kakupuuza

Kwa nini NATO wanahofia direct confrontation na Urusi!? Wao si ndio wapo wengi!? 1 vs 30!? Mnasingizia ustaarabu kwani mlichofanya Syria, Libya, hamkujua kwamba dunia imestaarabika!? Nyie (NATO) ni waoga PERIOD!!! na uoga wenu unastaajabisha pale mnayemuhofia yuko peke yake na nyie mpo wengi. Bunch of cowards! Kibaraka wenu anapigwa, nchi imeharibiwa wanajeshi wameuawa raia wamekimbia miji imekaliwa kinguvu na NATO wapo tu walichokifanya hakina tofauti na kutemea mate nyumba inayoungua eti kuizima. Spitting to a bushfire ain't gonna work uncle sam!
Kaka kwenye silaha za nyuklia kuanzia kiwango fulani haidhuru nani ana silaha zaidi. Silaha za Uingereza zinatosha kumaliza Urusi kwa kuangamiza miji mikubwa yote. Urusi ingeweza kuangamiza Uingereza mara 50 lakini uwezo huu unasaidia nini?
Hapa tuna sababu kwamba tangu 1945 silaha za kinyuklia hazikutumiwa. Katika mafundisho ya kijeshi hali huitwa "MAD - mutual assured destruction".
Kama Urusi iko mbele ya tekinolojia ya makombora ni swali tofauti - sidhani ni kweli. hata hivyo, si muhimu sana wakati hakuna tekinolojia inayoondoa uwezo wa upande mmoja kujibu baada ya kupigwa na upande mwingine. Na hapo wote wanao uwezo huu; maana hata kama nchi ingeangamizwa kabisa kabla ya kurusha roketi zak, hata hivyo kila nchi kati ya Uingereza, Ufaransa, Urusi na Marekani wana nyambizi zinazobeba silaha za nyuklia zikizunguka baharini kila dakika. Ambayo inatosha kutuma jibu hata baada ya nchi ya nyumbani kumalizika.
Hii ni sababu naona hesabu yako ya 1:27 haidhuru, hata kama ingekuwa 1: 100 au 1:1000.

Na hapa ni nzuri nchi za NATO zinajitahjidi kutogongana na Urusi moja kwa moja kwa sababu mgongano huo unaongeza hatari ya vita ya nyuklia . Jeshi la urusi jinsi linavyoonyesha udhaifu siku kwa siku, naona uwezekano watamaliza uwezo wao katika Ukraine wakati ukraine inaendelea kupokea silaha. Hata hizi silaha ndogo zilionyesha uwezo hadi sasa, tulivyoona huko Kyiv na sasa Kharkiv.
 
Aya tufanye ni kweli. Waende Mariupol wakaokoe wapiganaji wao, wamelia mno wanataka msaada. Waende na javelin, shida ipo wapi?
Mariupol hazitasaidia. Binafsi ninashangaa kwamba wateteaji wako bado, sikutegemea. Silaha hizo ndogo zinasiadia kujitetea hazifai sana katika mashambulio.
Tuone sasa mizinga inayofika kutoka US na Ujerumani na Ufaransa kama italeta mabadiliko zaidi.
 
Op sio ya hovyo bali nyie hoja zenu ndizo za hovyo.

Nimekuuliza kwamba US walitimiza malengo yao ama vipi, una ruka ruka tu.

Kaenda baada ya terrorism ambalo katika uchunguzi ikaonekana chanzo chake ni Afghanistan then akaenda na kachukua miaka 20 yuko kule...

Je katika hiyo miaka 20 Kuna terrorism imetokea kwenye ardhi ya US inayo husisha Taliban na sio tu US kwenye nchi shirika za NATo? Jibu ni hapana,

Hii Ina maana gani, ka timiza lengo lake ama vipi?[emoji3]

Kingine, nimekutumia kule juu article inaeleza kila kitu alichofanya miaka yote hiyo, ikiwemo kuhakikisha Taliban haingii kwenye power, pia ku train, n.k
I think hufaham unachokizungumza. Don't twist reality to fit your wishes.

It's amazing that you know what Voice of America know not
Screenshot_20220512-144936-01.jpg
US Military Admits Afghan War Was 'Strategic Failure'
 
Na tujikumbushe Russia walipiga mkwala kutumia nuc endapo Finland and sweden watajiunga NATO.

Haya mmoja tayali katuma maombi, na mwingine anategemewa kufanya hivyo soon.

Ngoja tuongeze popcorn [emoji897][emoji16]
Screenshot_20220512-144809_1.jpg
 
Op sio ya hovyo bali nyie hoja zenu ndizo za hovyo.

Nimekuuliza kwamba US walitimiza malengo yao ama vipi, una ruka ruka tu.

Kaenda baada ya terrorism ambalo katika uchunguzi ikaonekana chanzo chake ni Afghanistan then akaenda na kachukua miaka 20 yuko kule...

Je katika hiyo miaka 20 Kuna terrorism imetokea kwenye ardhi ya US inayo husisha Taliban na sio tu US kwenye nchi shirika za NATo? Jibu ni hapana,

Hii Ina maana gani, ka timiza lengo lake ama vipi?[emoji3]

Kingine, nimekutumia kule juu article inaeleza kila kitu alichofanya miaka yote hiyo, ikiwemo kuhakikisha Taliban haingii kwenye power, pia ku train, n.k
Duh [emoji41]
 
🇷🇺Russia is successfully coping with sanctions, inflation is slowing down, Putin said.

The grain harvest in 2022 may turn out to be a record in the entire history of Russia.

The ruble is showing the best dynamics among all currencies in the world this year.

Sanctions against Russia in many ways provoke a global economic crisis.

Some countries face the threat of famine. The blame for this lies solely with the elites of Western countries.
Mavuno ya Ukraine - Warusi walianza kuiba nafaka ya Ukraine kutoka ghala katika maeneo waliyovamia. Uvamizi wa Putin unaleta vurugu kwenye soko la dunia na hivyo analeta njaa.
Mwenye kosa ni anayeshambulia, si anayejitetea wala yule anayemsaida
 
Unajua kwanini ilionekana failure, ni kwasababu wengi walipinga US kuondoa vikosi vyake ikiwemo hata washirika wengine wa NATO, wengi walitaka US iendelee kuwa kule.

Lakini usisahau jambo lililo mpeleke kule alifanikiwa kwa miaka yote hiyo Yuko huko so Biden alisema haoni haja ya US troops kuendelea kuwa kule kwani hakuna sababu ya msingi na vifo vitakuwa havina sababu.

And trust me, angekuwa hajafanikisha Jambo lake mpk sasa Taliban asingeshika nchi[emoji419]

I recommend uende ukasome zaidi..br[emoji16]

Ask Q
 
Can you submit your claim here so as they can change what a history have written? War in Afghanistan (2001–2021) - Wikipedia

So as they can write again fo the people to read that US/NATO defeat Taliban, now Taliban doesn't exist anywhere in the world?

Do you think your wishful thinking can change a reality that US/NATO failed in Afghanistan? Have Failed to eliminate Taliban in Afghanistan? 20yrs? Don't mention Phase 1 and 2.

You want us to believe you kua US and all It's allies took 20 yrs to teach Afghans namna ya kuongoza nchi yao? Walikuwa wakiwafundisha punguani sio vichwa ngumu kuelewa to the extent after 20yrs Taliban waendelee kutawala?

Ooooh come on, try a little to make your argument worth a read buddy. You can't twist a reality that's known to everybody for your wishful thinking.

Libya pale? How long did they took to defeat Gaddafi? One day right? In case you don't know its 7 Month. A bunch of Clowns fighting against one Man Gaddafi without a tiny support from other nations.

Have you ever imagine all those countries if they gotta Support like what Ukraine is receiving now, Invaders will they able to make it?
Unamweleza Coco Baby akuelewe [emoji23]...

Tafuta Game la nyoka ucheze tu Bro, apo kueleza fact za kukuelewa ni zile za kusifia tu NATO na US ila sio kutaja udhaifu wa America.
 
Majibu kutoka kwa moderator anaetumia ID hii!
Eti mkuu, mfano wa social media ya nje ambayo inaku verify automatic bila kuwasiliana na wenye system ni ipi? Mfano tafadhari na vigezo hivyo viweke hapa!
Ni ombi mkuu!!
⛔REQUEST DECLINED!!!
 

BREAKING NEWS:UKRAINE SHUTS OFF NATURAL GAS DELIVERY TO EUROPE​


UKRAINE HAS SHUT OFF THE FLOW OF ALL NATURAL GAS TO EUROPE, claiming a "force majeure" due to the presence of "Russian Occupiers."
Russian gas conglomerate Gazprom has received no confirmation of force majeure or any obstacles to continued transit of gas through a junction in Lugansk Region, the company said on Tuesday, after Ukraine’s operator OGTSU announced it would halt further deliveries starting May 11, due to the presence of “Russian occupiers.”
Gas Transit Services of Ukraine (OGTSU) declared force majeure on Tuesday, saying that it was impossible to continue the transit of gas through a connection point and compressor station located in the Lugansk area. As OGTSU personnel “cannot carry out operational and technological control” over the Sokhranovka connector point and Novopskov compressor station, the company cannot continue to fulfill its contract obligations, it said.
Gas from this connection will not be accepted into the transit system of Ukraine starting at 7 am on Wednesday, OGTSU said. Sokhrankovka accounts for almost a third of the Russian gas that transits through Ukraine to Europe – up to 32.6 million cubic meters per day – according to the operators.
Gazprom has received no confirmation of force majeure or disruption of operations at Sokhranovka or Novopskov, company spokesman Sergey Kupriyanov said on Tuesday. He added that Ukrainian specialists have had full access to both facilities all along, and there had been no complaints about it previously.
Kupriyanov also said that Gazprom has been notified by Ukraine’s gas company Naftogaz that if Russia continues to supply gas through Sokhranovka, Kiev will reduce the volume at the point of exit by the same amount, effectively confiscating the gas.
While OGTSU has proposed to reroute the gas to Sudzha, a connector located in the Sumy region and controlled by the Ukrainian government, Kupriyanov said this was “technologically impossible.”
“The distribution of volumes is clearly spelled out in the cooperation agreement dated December 30, 2019, and the Ukrainian side is well aware of this,”
he said.
Gazprom is fulfilling all of its obligations to its European customers, with all the transit services in accordance with the terms of the contract and paid in full, Kupriyanov pointed out. Moscow has continued gas deliveries to Europe, including transit through Ukraine, regardless of the ongoing military operation and the embargoes against Russia imposed by the US and its allies in the EU.
HAL TURNER COMMENTARY
Why Ukraine is doing this is beyond my understanding. On its face, it doesn't seem to make any sense at all. In fact, it's literally ABSURD! You can't even make up shit like this!
The Ukrainians are cutting their own throats; shutting off gas to the very countries keeping them afloat.
But one thing appears instantly clear: Any support Ukraine has from Europe, will likely dry-up as fast as the gas flow.
Europe will collapse economically without Russian gas, and the fact that Ukraine is the reason the gas flow is being halted will not be well received by its European "partners."
If Europe is smart, they will tell Ukraine, no more weapons, no more money, no more military intel. Europe and the USA should then tell Russia "We're very sorry that this whole thing happened, we had no idea Ukrainians were so crazy. We're ending all sanctions immediately, returning all seized funds and property, turning back on your access to SWIFT. As for Ukraine, go ahead and have-at them, it's not our concern anymore. Oh, and by the way, can you start turning on the Nordstream 2 pipeline, we need to get that up and running as fast a s possible."
Russia will grind the Ukraine into dust within days.
The Ukrainian government won't exist anymore.
This whole debacle will be over and the grown-ups in the room can start to rebuild relations that have been so soured over this thing.
This is a gigantic development for Europe, and very bad, too.
Could Ukraine being twisting European arms for more money and more weapons? Could Ukraine actually be blackmailing Europe, maybe withholding gas flows until Ukraine gets the money and weapons they want? Only time will tell.
It is always good to cite your source. Otherwise it is plagiarism.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ndo manake, wako radhi Jua kuita Mwezi as long as kufurahisha nyoyo zao.

Pro NATO kama Pro NATO dadeki... mwanzo nilifikir huu uwanja wa majadiliano ka ww apo later nikaja ona najadiliana na Brainless nikaamua kuunyuti tu.
I know them too buddy, I don't usually engaging directly kwenye majadiliano, mimi napenda kua msomaji tu. Pale nilikuwa nikimsisitiza ajibu maswali aliyokuwa akiyakwepa kwa kuuliza maswali mengine.

Thanks for you time, have a nice day.
 
Back
Top Bottom