Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

urusi uwezo wa kumpiga uk hana kashindwa kuimaliza ukraine mwezi wa tatu huu itakuwa uk ambaye ameshawahi kutawala robo tatu ya dunia? na ambaye ana ugunduzi mwingi duniani tena wa kutisha tunaousoma toka primary? mbona silaha za uk za msaada zinaharibu vifaru vya urusi na hana la kufanya, halafu urusi anatishia nyuklia as if anayo yeye wakati uk us na canada kupitia manhattan project walishakuwa na hizo kitu kitambo tu na live test ikafanyika japan na urusi mwenyewe kapata ujuzi wa nyuklia kwa wizi wa taarifa from us.

Kabla hata vita havijaanza Nato walishasema hawatopeleka majeshi yao ukraine kwa kuwa hiyo itakuwa ni direct confrotation na russia na kwa kuwa tupo kwenye civilized world hawataki hilo litoekee.

Hivi huyo urusi si meli yake maaufu imelipuliwa na kyev si katimuliwa?

Russia kama ana ubavu avamie NATO members

Huko syria mpaka sasa us yupo ananyonya tu oil
Aseee......eti Na huyu ni Great thinker..,
 
Eti Ameshawahi, karne hii ya 21 Unaleta mambo ya ameshawahi upo very Outdated... Huyo Uk kabaki jina tu kama Mwenzake Germany zama zao ziliishia 2nd World war..
Russia ana Uwezo wa kumfuta Uk sio kwamba watu wanabahatisha kama wewe mzee wa alishawahi ila ujue kua Hakuna member yeyote wa nato anyeweza kusogeza pua yake peke yake mbele ya russia hata huyo Usa hawezi peke yake . Jeuri yote hii inakuja baads ya kujua wapo tagi.
Nato combined wana Nuclear Warheads 6065 While only Russia ana Nuclear Warheads 6255.
Kaka mbona unaandika kuhusu mambo ambayo huelewi punje. Bila shaka Urusi inaweza kuangamiza Uingereza, lakini haitafanya vile, kwa sababu Uingereza peke yake (bila msaada wa Marekani) inaweza kuangamiza Urusi vilevile.
Hawawezi kuangamiza Urusi yote, lakini inatosha kwa miji yote yenye wakazi milioni au zaidi, pamoja na Moscow, Petersburg, . . . Wana nyambizi 8 zinazobeba silaha hizo, haziathiriki wakati nchi inashambuliwa.
 
Dada zake Zelensky waliozamia Uingereza kupitia Ireland wanaletwa Rwanda kwa PAKA kuishi...haya team Putin tujiandae tukawaoe hao dada zake Zelensky

View attachment 2221230
Hili jambo kweli hata mimi nimelisikia.Hata hivyo kwa nini Rwanda wakubali upuuzi huu is a trillion dollar question.Kwanza kanchi kenyewe kadogo.Nahisi Kagame kakatiwa kitu.Yaani haiingii akilini kabisa,mwenzio kitu kakikataa halafu wewe unakikubali!Kwanza wewe hujiulizi,kwa nini yeye akikatae akusukumie wewe?Ni uzuzu of the highest order frankly.African leaders,shida tupu,yaani hawajali maslahi ya nchi zao kabisa.
 
Eti Ameshawahi, karne hii ya 21 Unaleta mambo ya ameshawahi upo very Outdated... Huyo Uk kabaki jina tu kama Mwenzake Germany zama zao ziliishia 2nd World war..
Russia ana Uwezo wa kumfuta Uk sio kwamba watu wanabahatisha kama wewe mzee wa alishawahi ila ujue kua Hakuna member yeyote wa nato anyeweza kusogeza pua yake peke yake mbele ya russia hata huyo Usa hawezi peke yake . Jeuri yote hii inakuja baads ya kujua wapo tagi.
Nato combined wana Nuclear Warheads 6065 While only Russia ana Nuclear Warheads 6255.
Saaafi, na hizo ni Nuclear war heads tu pekee, rudi nyuma angalia ukaribu wa EU na Russia kisha angalia distribution ya hizo Nukes kwa kila nchi, then pima in case ikitokea la kutokea. Nani atakaetangulia kuchomoka kwenye uso wa Dunia.

Out of hizo 6000+ za NATO combined, 5550 ziko US [emoji23]
 
Eti Ameshawahi, karne hii ya 21 Unaleta mambo ya ameshawahi upo very Outdated... Huyo Uk kabaki jina tu kama Mwenzake Germany zama zao ziliishia 2nd World war..
Russia ana Uwezo wa kumfuta Uk sio kwamba watu wanabahatisha kama wewe mzee wa alishawahi ila ujue kua Hakuna member yeyote wa nato anyeweza kusogeza pua yake peke yake mbele ya russia hata huyo Usa hawezi peke yake . Jeuri yote hii inakuja baads ya kujua wapo tagi.
Nato combined wana Nuclear Warheads 6065 While only Russia ana Nuclear Warheads 6255.
Russia Kamshindwa ukraine mpaka sasa ndo amuweze UK? alishindwa na wachechen, alishindwa na afganistan ndo atamuweza UK? hivi nyuklia yeye atakavyokuwa anabonyeza button wenzake watakuwa wanamuangalia tu? halafu wingi wa silaha peke yake sio unaoamua mshindi wa vita kuna vitu vingine vingi tu so kuwa warheads nyingi sio issue UK kamsaidia ukraine zana za kawaida kabisa na zinalipua vifaru vya urusi na urusi hana hana la kufanya.
 
mwezi wa tatu huu mambo ndo kwanza yapo fire na hii ngoma haiishi leo wala kesho na misaada kama yote kwa ukraine, urusi kyeiv keshakimbia, meli zake zinalipuliwa, vikwazo vya uchumi vinaongezeka, china, india, brazili wawana msaada wowote wa maana india mjanja sana huyu kanunua mafuta ya russia kwa bei ya promotion yaan ndo utajua kweli india means business wakati mwenzie ana shida kapiga hapo hapo kwenye mshono, makampuni ya china nayo yananza kujiondoa russia aisee kuna mtu anatema bungo muda si mrefu.
Yaaaan mashoga hawaaaaa cjui Akili humalizwa na kupumuliwa mgongoni????

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
Russia Kamshindwa ukraine mpaka sasa ndo amuweze UK? alishindwa na wachechen, alishindwa na afganistan ndo atamuweza UK? hivi nyuklia yeye atakavyokuwa anabonyeza button wenzake watakuwa wanamuangalia tu? halafu wingi wa silaha peke yake sio unaoamua mshindi wa vita kuna vitu vingine vingi tu so kuwa warheads nyingi sio issue UK kamsaidia ukraine zana za kawaida kabisa na zinalipua vifaru vya urusi na urusi hana hana la kufanya.
NATO wametumia siku ngapi hapo Afghanistan na bado wakashindwa?

Did Russia told you time line ya Operation yao ambayo unaitumia kama Reference ya kushindwa kwao?

Na usikwepe swali, jibu kila swali nililokuuliza.
 
Una uhakika nguvu aliotumia NATO ni sawa na hii ya Russia kwa Ukraine?[emoji16]
 
Habari wanajamvi,
Katika uchunguzi nilioufanya wa nyuzi zipi huwekwa kwenye timeline ya jamii forums App na kuonekana kwa watu wengi zaidi, nimegundua issue ya Trophy points

Kwa sababu members wenye trophy points 2000 kama vile wakina Bujibuji Simba Nyamaume ,Smart911 ,Mshana Jr ,Invisible na wengine wengi, nyuzi wanazozitengeneza zimekuwa zikipata replies nyingi zaidi na kuonwa na watu wengi pia ukilinganisha na members wenye trophy points chache kama mimi ambao nyuzi zetu huonwa na kuchangiwa na watu wachache!

Kwa wale wazoefu, hizi trophy points ni kitu gani? Na ni kipi kinachopelekea kuongezeka kwa hizo trophy points?
Tafuta hela acha kulalamikia vitu vya maana
 
urusi uwezo wa kumpiga uk hana kashindwa kuimaliza ukraine mwezi wa tatu huu itakuwa uk ambaye ameshawahi kutawala robo tatu ya dunia? na ambaye ana ugunduzi mwingi duniani tena wa kutisha tunaousoma toka primary? mbona silaha za uk za msaada zinaharibu vifaru vya urusi na hana la kufanya, halafu urusi anatishia nyuklia as if anayo yeye wakati uk us na canada kupitia manhattan project walishakuwa na hizo kitu kitambo tu na live test ikafanyika japan na urusi mwenyewe kapata ujuzi wa nyuklia kwa wizi wa taarifa from us.

Kabla hata vita havijaanza Nato walishasema hawatopeleka majeshi yao ukraine kwa kuwa hiyo itakuwa ni direct confrotation na russia na kwa kuwa tupo kwenye civilized world hawataki hilo litoekee.

Hivi huyo urusi si meli yake maaufu imelipuliwa na kyev si katimuliwa?

Russia kama ana ubavu avamie NATO members

Huko syria mpaka sasa us yupo ananyonya tu oil
Uturuki/Ottoman pia alishawahi kutawala sehemu kubwa duniani, Roman pia waajemi/persian uk ss hv kolo tu.

Hata hao Manhattan project utaalamu waliuiba kutoka kwa hitler ujerumani. Kwa sasa hivi nchi iliyopiga hatua kwenye silaha za nyuklia kuliko yote duniani ni Urusi. Russia has a nuclear superiority of 27 to one against British we unaongea nn!? Katika kila silaha moja ya nuclear bayo Uk wanayo urusi wanazo 27 na mimd you za urusi ndio kubwa na more advenced. Achilia mbali umiliki wa silaha bali pia kwenye deliverance urusi hana mpinzani hakuna taifa lenye maendeleo ya makombora kama urusi duniani hii. Uka ni katoto flani hivi kakupuuza

Kwa nini NATO wanahofia direct confrontation na Urusi!? Wao si ndio wapo wengi!? 1 vs 30!? Mnasingizia ustaarabu kwani mlichofanya Syria, Libya, hamkujua kwamba dunia imestaarabika!? Nyie (NATO) ni waoga PERIOD!!! na uoga wenu unastaajabisha pale mnayemuhofia yuko peke yake na nyie mpo wengi. Bunch of cowards! Kibaraka wenu anapigwa, nchi imeharibiwa wanajeshi wameuawa raia wamekimbia miji imekaliwa kinguvu na NATO wapo tu walichokifanya hakina tofauti na kutemea mate nyumba inayoungua eti kuizima. Spitting to a bushfire ain't gonna work uncle sam!

Us yupo wapi Syria!? [emoji1787] unachekesha. Syria yupo Assad bwana tena kwa hisani ya Putin na haendi popote any time soon! Na Venezuela yupo maduro. Crimea imekwenda, Donbass inakwenda na miji mingine nje ya donbass nayo itakwenda. Ukraine haitajiunga NATO na mateka wa kimagharibi hasahasa wa uingereza waliokamatwa donbass na mariupol hawaachiwi. Gesi mtanunua kwa rubo na hamna kitu mtafanya

Who is a looser now [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
View attachment 2221426View attachment 2221427
Screenshot_20220512-094131_1.jpg
 
Swali lako linategemea na nguvu ama ukubwa wa operation/vita.

It's different kwenye hizo operation,
Jibu swali mbona unakwepa kijana...

NATO wametumia mda gani Afghanistan tangu waivamie wakidai kuna magaidi?

Jibu swali kama lilivo, sijauliza kuhusu nguvu zilizotumika nimeuliza mda uliotumika.

Stick to the Question plz
 
urusi uwezo wa kumpiga uk hana kashindwa kuimaliza ukraine mwezi wa tatu huu itakuwa uk ambaye ameshawahi kutawala robo tatu ya dunia? na ambaye ana ugunduzi mwingi duniani tena wa kutisha tunaousoma toka primary? mbona silaha za uk za msaada zinaharibu vifaru vya urusi na hana la kufanya, halafu urusi anatishia nyuklia as if anayo yeye wakati uk us na canada kupitia manhattan project walishakuwa na hizo kitu kitambo tu na live test ikafanyika japan na urusi mwenyewe kapata ujuzi wa nyuklia kwa wizi wa taarifa from us.

Kabla hata vita havijaanza Nato walishasema hawatopeleka majeshi yao ukraine kwa kuwa hiyo itakuwa ni direct confrotation na russia na kwa kuwa tupo kwenye civilized world hawataki hilo litoekee.

Hivi huyo urusi si meli yake maaufu imelipuliwa na kyev si katimuliwa?

Russia kama ana ubavu avamie NATO members

Huko syria mpaka sasa us yupo ananyonya tu oil
Malkia hawez kubal bom za urus zitue ndan ya miji yake lazima makubaliano yapatikane kwa namna yoyote

Na ndio maana hakuna Kiongoz mwenye weled anayeweza kufanya ujinga anaoufanya Z wa kukubali mapigano yafanyike ndani ya eneo lake kwa muda mrefu huku akishuhudia wananchi wake na miundombinu ya kiuchumi ikisambaratika.
 
Hili jambo kweli lipo,ila kwa nini Rwanda wakubali upuuzi huu is a trillion dollar question.Yaani mwenzio kitu hakitaki wewe unakikuli!Unajua,haiingii akilini kabisa.Kwanza wewe hujiulizi,kwa nini yeye akatae,akusukumie wewe?Ni uzuzu of the highest quality.
Rwanda yenyewe iko overpopulated na ni mhanga mkubwa wa ukimbizi. Hizo 26k sq km ambazo ni kama theluthi tu ya mkoa wa Tabora ndo njaa inamuwashawasha apokee wakimbizi? Tena Toka dunia ya kwanza ambayo ina other better options.Tamaa mbaya Mr. PK.
 
Back
Top Bottom