Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Mtandao wa Yahoo News watoa ripoti yake kuhusu pesa ya Russia...Mtandao huo wasema pesa ya Russia (Ruble) ndio sarafu inayofanya vizuri zaidi dhidi ya dola ya kimarekani kuliko pesa za nchi zoote Duniani, kwa sasa, pamoja na kuwa Russia imewekewa vikwazo kedekede