bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
Save your time and energy ndugu,For you to understand the end you must know the beginning. Kazi ya NATO Libya ilikua strictly ku enforce ' No fly Zone' na sio kumuua Gaddafi. In other words kuhakikisha ndege za Gaddafi haziruki na zikiruka zinaangushwa, hizo ndege ndo ziliwatesa raia wa Libya. NATO haikua the main belligerent katika hivyo vita na lengo lilikua Peace Keeping.
Hapa Naona akili zimekuingia kwamba Amerika ilikua sahihi kuivamia Afghanistan na sio kama Russia kumuonea Ukraine.
1. Invalid question, NATO wasn't the main belligerent, otherwise Russia inge veto hiyo UN resolution. Instead rephrase swali lako liwe 'How long did Libyan Rebels took to overthrow Gaddafi'
2. A matter of weeks and 20 years engaging insurgents.
3. Invalid question, USA role in Vietnam was giving air support and tactics. USA didn't declare formal war. Rephrase it to 'how long did did North and South Vietnam war last'
4. 1 month 1 week and 8yrs engaging insurgents
Amerika kabla haijaingia katika vita lazima ifanye formal declaration. Ndo huwa nashangaa mtu akiniambia USA ilipigwa na Somalia kwa sababu ya movie ya 'black hawk down'. Tutofautishe Peace keeping/ proxy/ guerilla/ ibya, Vietnam, Somalia etc
Ni ngumu kumuelezea mtu ambae kwenye mawazo yake kashafanya maamuzi.
Pili katika operations zote hawajui sababu zake, ndio maana ni rahisi kuweka conclusion