Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🤣🤣🤣
Ila Pro Russia mnachekeshaga sana kwenye reasoning zenu...
Sasa kama vita sio unjustifiable unaitetea ya nini?

Guys kuwe mna argue kama bindamu wenye ubongo
Hivi unaweza ukaidadavua pointi moja baada ya nyingine. Yaani ipige nyundo kuwa sio sahihi na kwanini?.
Kuna base watu wanatumia kutafuta upande je upande wako unadhani usahihi ni upi'?
I believe una ubongo wa kunishawishi hadi nikubali upande wako.
 
Kufananisha US invasion in Afghanistan vs Russian operation in Ukraine kunaonesha jinsi gani ujuzi wako kwenye haya mambo ulivyo, no offense!

1. Us invasion of Afghanistan ilifanywa baada ya Afghanistan kudhaifishwa na vikwazo. 1999 UNSC walipitisha resolution no 1267 lililoitambua Alqaeda na Taliban kama makundi ya kigaidi na kuwawekea vikwazo kwenye funding, travel na silaha. Kitendo hiki kiliidhohofusha sana Afghanistan iliyokuwa chini ya taliban. Ukraine [emoji1255] kabla ya kuvamiwa haikuwekewa vikwazo kwanza walikuwa na ushirikiano mzuri na west na tangu 2014 Us/Nato wamekuwa wakiifadhili jeshi la ukr kwa hali na mali.

2. Us hakuivamia Afghanistan peke yake bali alikuwa na Uk ambaye baadaye alisaidiwa na Canada France Germany Australia wakati Urusi kaingia Ukraine mwenyewe. Kumbuka US walitangaza vita kbs dhidi ya /TalibanAlqaedaAfghanistan wakati urusi anafanya special operation tu. Learn the difference

3. Afghanistan baada ya kuvamiwa walikuwa isolated kbs na dunia nzima hakuna hata aliyewaonea huruma achilia mbali kuwasaidia kwa silaha na military infos wakati Ukraine anasaidiwa na majority ya dunia kuanzia silaha taarifa za kiitelijensia na hata solidarity kila mahali ss hv utaona #IstandwithUkraine

4. Us hakuwekewa vikwazo kufuatia uvamizi wake Afghanistan wakati urusi amewekewa vikwazo visivyoidadi mpk sasa

5. US hawakuwa na utaratibu wowote wa kuzingatia maisha na usalama wa raia wasio na hatia. Wengi waliuliwa wakati wa uvamizi huo hasa wanawake na watoto na hakukua na nafasi ya diplomasia. Urusi anachukua tahadhari kuruhusu raia waondoke maeneo hatarishi (humanitarian corridors) wakati huo mazungumzo yanaendelea na yanapopiga hatua mapigano anayapunguza ref. Kuretreat kiev baada ya kupiga hatua kidogo kwenye diplomasia, anatoa misaada ya kibinaadamu kwa raia wa ukr na wanajeshi waliojisalimisha na waliotekwa.


Ukiachilia hayo yote bado haikuwa rahisi kudefeat taliban wakati huo. Iliwachukua miezi miwili takriban mpaka kuwadefeat taliban na kuweka serikali ya muda (uvamizi ulianza oct 7 mpaka Taliban kukolapse dec 9). Mataifa makubwa kuungana na kuidefeat taliban dhaifu (vile) kwa muda wa miezi miwili sio jambo la kujifaharisha kwalo. They should have done better. Miaka 20 baadae mambo yamerudi kama zamani na hakuna kilichokuwa tofauti, what a waste!

Unaposema lengo lilikuwa kuhakikisha US soil haishambuliwi tena na magaidi unakosea kwa sababu huwezi kujua what the future holds. Tunaombea yasitokee lkn magaidi hawatabiriki miaka michache kuanzia ss hv huwezi kujua yepi yatatokea ndio kwanza muda mchache ss hv tangu us atoke afghan. Ugaidi ni swala la kukemewa duniani kote

Urusi amefanya operation yake hali ya kuwa ana vikwazo kwa maelfu. Anazingatia raia waso na hatia na kutoa nafasi kwa diplomasia, misaada ya kiutu, hajatumia silaha nzito sana (sio vita kamili), hajasaidiwa na taifa lolote lile, ukraine wanapata misaada kila uchwao, propaganda dhidi yake kila mahali duniani, mamluki kwa maelfu kuisaidia ukr, nk. Nk. Lkn bado anafanya progress kuelekea kukamilisha malengo yake.

1. Demilitarization
2. Denazification
3. Russian speaking UKRnians
4. Ukr not to join Nato*
Asipokuelewa tena, ni wakumuacha kwani atakua anafanya makusudi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Jamani naomba updates za Azov kwenye bunkers kule Mariupol kwenye kiwanda Cha chuma...vyanzo vyangu naona havijazungumzia Hilo...
Kuna Channel ya Ukraine wanadai Azov Plant is being shelling every minute [emoji23]...

Sasa kama n wao wanadanganyana sijui,

But kidogo tangu niingie sijawah ona wakipiga Propaganda, likiwakuta la kuwakuta wanasema. Wakiishambulia Jeshi la Russia wanasema.

Na hata zile taarifa huko juu kuhusu Ukraine hali ilivyo nimezitoa kwao.
 
Hawa ndio wale wanaokesha Twitter wakiimba Slava Ukraine huku nyuma maajabu wanayoyafanya ni ya Sayari ya Jupiter. Kila Crisis huwa ni Manufaa kwa baadhi ya walio in power.

View attachment 2221871

During the 2 months of the war, the Kyiv elites took out of the country jewelry and currency in the amount of 2.6 billion euros.

The main backbone of those who save assets are members of the government and Ze-administration, as well as people's deputies.

Such data are contained in a classified report of the State Bureau of Investigation. According to the Bureau, the "servants of the people" carry mostly gold, diamonds and currency (dollars, pounds sterling and euros). In rare cases - works of art and antiques.

And these are official (that is, included in the declarations) data, and there are also “gray schemes” that are not included in the statistics.

In addition, over the past month and a half, Ukrainian elites have withdrawn 2.6 billion euros from banks. The National Bank of Ukraine was even forced to impose restrictions on cross-border transactions of citizens in order to prevent the outflow of capital from the country under martial law.

At the same time, SBI analysts note that huge funds are withdrawn through bitcoins, and the movement of this money cannot be tracked.
Inahuzunisha sana

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Mliipoona malengo yenu yamefeli mnaanza kusema mipango ya urussi hamyajui. Labda niwakumbushe si ni juzi tu hapa mlikua mnaimba kuhusu denazification na demilitarization nini kimetokea.

Kilichotokea ni kwamba malengo yenu yameshindikana na hayatekelezeki pale Ukraine. Dollar itabakia kua de facto world currency. Amerika itabakia the only super power. Zama za rasilimali kama mafuta ziko mwisho wake. Ushoga utaendelea kukua Russia.

We endeleza ushoga wako Kenya huko
 
Again, maelezo mengi full of balderdash. So that's how you wish ingekuwa right [emoji848]?...

1. Invalid question, NATO wasn't the main belligerent, otherwise Russia inge veto hiyo UN resolution. Instead rephrase swali lako liwe 'How long did Libyan Rebels took to overthrow Gaddafi'
View attachment 2221890

Coco like Coco, enough is enough.

Good luck... [emoji119]
Shooting yourself on the foot and reinstating my claim. Kutoka kwa screen shot yako the main opposing sides ni Anti Gaddafi forces na Libya armed forces.

Role ya NATO imekua reduced to enforcing UNSC resolution. Yani Qatar ilikua involved directly kuwaliko
 
Ndugu, kwenye swali lako la 2,

Kuna sehemu nimeonesha hadi no of troops zilizotolewa na nchi nyingine mbali na US, najua hakuwa US pekee.

Na najua Russia anapitia vikwazo vingi sn tofauti na US kwa Afghanistan ndio maana inaniwia vigumu kusema Russia atashinda hii Vita.

Nchi nyingi ziko nyuma ya Ukraine hata wale marafik wa Russia hawako pamoja na Russia, Kama ulivyokuwa kwa US na washirika wake...

Na kuna watu wanapata kabisa nguvu ya kusema Russia anaweza ku fight na NATO kwa ujumla, seriously! Ni ngumu sana

Mkuu unaweza kutupa evidence kuwa marafiki wa Russia hawapo pamoja naye?? Nipe evidence tu.
 
US hali mbaya watu wanalia huko
IMG_3039.jpg

IMG_3040.jpg

IMG_3048.jpg
 
Back
Top Bottom