Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hana uwo uwezo wewe hata yeye uchumi anapigika my son yuko anasoma Urusi wanakosa mkate sasa madukani mpaka mline up na hela uwezi kumtumia na kutoa bank ni kama 10,000 ya Tz tu kwa siku unaruhusiwa so what is the point ya yeye kupigana muda mrefu so rubbish
Danganya watoto. Russia anayelima ngano akose mikate??.unafikir hatuna ndugu Russia wanatuambia kinachojiri?? [emoji28][emoji28][emoji28].
Kadanganye NATO wenzio huko sio humu.