Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wameanza kulegea👇

Screenshot_20220507-151704.png
 
Kuna kitu zamani tuliokua tunaambiwa linaitwa shamba darasa.

Sasa wewe unatoa makala darasa.
Sisi wengine Huwa tunapenda kusimamia ukweli.
Ndg toka nimeanza kuifuatilia michango Yako kwenye mada hii inachambua kiuhalisia..

Michango Yako imeshiba.kujenga hoja ni kipaji.
Unacho.
I appreciate that much, thank you buddy... Nazan sote tunajarib kuelekezana kile kidogo mmoja m1 anachokifaham...

Tu pa1 jomba¡
 
Russia unaongoza kwa kilimo Cha ngano duniani,na product kubwa ya ngano ni mkate.halafu wakose mkate.
Aisee Kuna Urusi nyingine huyo mwanae anaishi.
Nahisi labda anamaanisha kinondoni Moscow.
Au Jang'ombe Urusi. Mtaa fulani wa kiswazi kule Unguja. Home of gongo, bangi na wahuni wote wa huko enzi hizo.
 
Mmeamka salama ?

Wagner jeshi binafsi lililoajiriwa na Urusi kupigana vita huko Ukraine, linasema kuwepo / na uongezwaji wa Askari vinginevyo tutashindwa vita. Yaani urusi itashindwa vita. Na Wagner wanafikiri kwamba wanahitajika asikari laki 600,000 hadi laki 800,000 kuwashinda Waukraine.

Hiki ndiyo pia kimelikera sana jeshi la Russia, kitendo cha Wagner kuletwa battleground halafu wanapigana huku hawapo chini ya jeshi la Russia bali some people in Kremlin

Wakati huo huo Italy meli ya Putin ilikuwa imejikita ufukweni ikiwa na mashushushu wanaofanya kazi Kwa kuisaidia Urusi imekamatwa na mitambo kadhaa wanaanza uchunguzi dhidi yake
View attachment 2214987
Hivi we unaijuia Laki 600,000 na Laki 800,000?
 
Western hawaishi kutushangaza

[emoji95] During the two months of the Ukrainian conflict, Russia exported energy resources worth 63 billion euros.... View attachment 2209064Kwenye hizi data mnamwona US vizuri? [emoji23][emoji23][emoji23] Ndani ya hii miezi miwili kanunua Oil and Gaa nyingi kuliko India aliyekua anamzuia eti asinunue kwa Russia vinginevyo atamwekea vikwazo...

Huyo huyo US tukumbuke ndio wa kwaaanza kabisa kutangaza marufuku ya Russia Oil and Gas Import nchini kwake ila nyuma ya pazia sasa [emoji23][emoji23][emoji23]


Hivi kuna taifa la kinafiki kushinda US kwenye hii sayari?????
US hajamzuia India kununua gas toka Russia bana. Amemwambia asizidishe tegemezi ya oil & gas from Russia.
 
IMG_20220507_170254_901.jpg


🔥🔥🔥The deputy commander of the Azov regiment, Svyatoslav Palamar, was liquidated today at 3:27 pm as he tried to escape in a tank from Azovstavl. A group of Azovites under his command had no intention of surrendering! Nobody cared before the interrogation, because the conversation with the Nazis was short! The moment he entered the tank he was captured by a drone🔥🔥🔥
 
🔥🔥🔥German condom company Vizit goes bankrupt due to anti-Russian sanctions The German publication Wirtschaftswoche reports that due to anti-Russian sanctions, the largest condom manufacturer in Europe, the German company CPR GmBH, which produces Vizit brand preservatives, has gone bankrupt🔥🔥🔥
 
📊 In total, since the beginning of the special military operation, 152 aircraft, 112 helicopters, 762 unmanned aerial vehicles, 295 anti-aircraft missile systems,
2,895 tanks and other armored combat vehicles, 333 multiple rocket launchers, 1,364 field artillery and mortars, and 2,716 special military vehicles.
 
IMG_20220507_172532_532.jpg
IMG_20220507_172529_422.jpg
IMG_20220507_172544_754.jpg
IMG_20220507_172541_911.jpg
IMG_20220507_172538_959.jpg
IMG_20220507_172535_479.jpg
IMG_20220507_172523_282.jpg
IMG_20220507_172551_261.jpg
IMG_20220507_172547_478.jpg


IMG_20220507_172526_818.jpg


🥁 A dress rehearsal of the military parade to mark the 77th anniversary of the Victory in the Great Patriotic War took place on Red Square

◽️ 11,000 servicemen took part in the military parade. This year, the foot column was formed from 33 ceremonial calculations. It included officers, sergeants and soldiers of formations and military units, students and cadets of military educational institutions, students of the Suvorov military and Nakhimov schools, cadet corps and members of the All-Russian movement "Yunarmiya", as well as representatives of other law enforcement agencies of the FSB, the Russian Guard and the All-Russian Cossack society.

◽️ The mechanized column involved 131 units of modern military equipment, as well as historical equipment - represented by the legendary Pobeda tank - T-34-85, which opened the passage of the mechanized column.

◽️ 77 planes and helicopters took part in the flight of parade formation of aviation over Red Square.

#Ministry of Defense #Victory Parade @mod_russia
 
View attachment 2215346

🔥🔥🔥The deputy commander of the Azov regiment, Svyatoslav Palamar, was liquidated today at 3:27 pm as he tried to escape in a tank from Azovstavl. A group of Azovites under his command had no intention of surrendering! Nobody cared before the interrogation, because the conversation with the Nazis was short! The moment he entered the tank he was captured by a drone🔥🔥🔥
Safiiii!
 
Hi special operation ya Russia imefumbua watu wengi akili na imetujuza mambo mengi hususani vijana tulio zaliwa baada ya Cold war na kusambalatika ka USSR.

Wengi wetu tulikua tume funikwa na propaganda za Western media na ku-underrate nguvu ya Russia katika dunia hi, kumbe Russia ina uwezo wakijeshi wa kuteketeza nchi za Ulaya zote kivita na zikashindwa ku iangusha au kuijibu, EU zina dependent economy 47% wana tegemea Urusi kwa maendeleo ya chumi zao.

Kumbe Uingereza sio superpower kama tulivo aminishwa awali, Russia alivo onywa kwamba anaweza akawa legitimate target amepunguza kiherehere chake cha kutuma misaada Ukuraini.

Kumbe EU hawana kifa cha kuzuia supersonic misile za Russia kutua kwao popote kwahiyo Russia ana uwezo wa kumpiga yoyote na popote kwa mda wowote, US aliwa waogopewa wezie Nato kwamba ana vifaa vya kuzuia kumbe hana ndo ameanza utafiti tu.

1. Tumejifunza kwamba UN sio chochote au lolote mbele ya Superpower iko pale kwa ajili ya nchi masikini tu.

2. Kumbe Nato iliundwa mahususi kwa ajili ya Russia tu, lakini licha ya kujipanga kwa mda mrefu bado hawana uwezi wa ku- outmatch Russian military mighty.

3. Nchi za EU nyingi zina dependant en fligile economy kama za kwetu tu, kama operation tu imeumbisha uchumi wao kwa kiasi hiki je full-scale war?

4.world balance of power itabadilika kwasasa baada ya Urusi ku onyesha udhaifu wa US na EU kwamba ni wa oga wa vita. nchi nyingi zitafanya urafiki na Russia for military alliance baada ya kuona kwamba US anaunafiki na mapungufu militarily.

5. Zaresky hawezi kua Raisi wa Ukuraini tena na Russia itaondaka Ukuraini hivi karibuni baada ya kuteka mashariki ya Ukuraini wa tahamia mji mkuu wa kievi ili awake puppet leaders atakae mkubalia kuimega Ukuraini mara tatu.
Tunajua mmelishwa matango mwitu vijana wetu,poleni.Na sio hili la Russia tu,literally most of what you call knowledge is junk.Tutajitahidi tuwezavyo kubali your mind set with regards to World affairs,although it is difficult.Mmepotoshwa sana.
 
Back
Top Bottom