HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Jamaa nyuzi zake anawanyima raha kabisa warusi wa sumbawanga.
The weak must get stronger... Ukraine komaa Hadi mrusi ateme bungo.Kaskazini mwa mji wa Kharkiv vikosi vya Ukraine vimetangaza rasmi kuwaondoa Kabisa wapiganaji wa Urusi hapo majimbo ya Oleksandrivka, Fedorivka, Ukrainka, Shestakove na Peremoha. wanaendelea na mapambano kuukomboa kabisa mtaa wa Cherkas'ki Tyshky ambapo general mmoja wa Urusi bwana Shlatov Dmetry 59 amekamatwa mateka pamoja na askari 27 wa Urusi huku majibuzano kadhaa ya risasi na mabomu kidogo kidogo yakiendelea , wametelekeza zana za kupigania pamoja na vifaru 2
Na wamesogezwa mpakani Kabisa kuelekea Urusi,
Upande mwingine Urusi imeunda kamati maalumu kuchunguza Kama kuna hujuma inaendelea Au ni ajali tu za kawaida Kwa milipuko inayoendelea nchini hapa..
Asubuhi Hapa Vladivostok na Saratov, tulitangaziwa tukisikia alarm tukae tayari!
Chanzo kingine: mimi mwenyewe wakati tunatangaziwa nimesikia
Britanicca
Hizi air raid ni za kuwafanya muingie ndani kuliko Ku zagaa nje Kwa kifupi ni Kama curfewTudadavulie apo unaposema mkisia alarm mkae tayari.
Hii ni kali, sasa hapo demu ni yupi?
Anaweza kuzuga akashangilia hata uongoKwahio Bwana Mavodka ile sherehe yao ya keshokutwa atakuwa anashereke nini sasa?
[emoji3][emoji23][emoji2][emoji28]Jamaa nyuzi zake anawanyima raha kabisa warusi wa sumbawanga.
What if hizo chokochoko ndo zimepangwa na Ukraine na NATO ili iwe vita kamili? Watu washajipanga kitambo tu, pia hii sio operation, hii ni vita kamili mzee.Ukiona hivi ujue basi ni viashilia mtu anaenda kubadilishiwa Chapter. Mazingira ya Urusi kumpelekea Full War Ukraini yamekamilika sasa. Sio muda mrefu Zelensky anaenda kuomba halftime.
Kumbe ana mtoto kisu hivi dah 😌🤗View attachment 2214430
🔥🔥🔥Alexandra Zelenskaya, Zelensky's daughter hates her father, calls him a people and a killer of the Ukrainian people🔥🔥🔥
Wewe subiri uone game itakavyoenda, watu watapiga mpaka moscow.The weak must get stronger... Ukraine komaa Hadi mrusi ateme bungo.
Usome Uislamu hutojuta mkuuMimi ni RC lakini ukweli dini yetu inatumiwa sana kwenye mpango wa NWO na wanatumia dini kama kificho kama unakumbuka papa francis aliruhusu ndoa za jinsia moja what the f*** is goin on???
Kwa kutumia kivuli cha dini watakamata watu wengi sana ndomana mimi niliaamua kuwa mpagani tu manake hzi dini ndo zimekua zinatumika na mashetani.
Sawa kiongozi nimekusomaHizi air raid ni za kuwafanya muingie ndani kuliko Ku zagaa nje Kwa kifupi ni Kama curfew
HakikaNaona mkuu Britanicca upo karibu na maeneo ya tukio kabisa.Achana na Hawa Warusi wa kinondoni Moscow,wabishi balaa🤔