Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hao hao ndio walishindwa kunitofaitushia Economic growth vs economic development .... Wachumi wa mchongo....
Hahahaha wengi huwa panawashinda hapa
Hao hao ndio walishindwa kunitofaitushia Economic growth vs economic development .... Wachumi wa mchongo....
Leo niwape kipya katika kuoneshana kipi wengi wetu hapa huwa tunakishabikia either tukiwa tunakijua kwa kua miongoni mwao au hatukijui tukiki'praise blind folded...
Kuna jamaa mmoja sijui kama atakuwa anafahamika kwa wengi anaitwa Dkt Fauci.
Ajab the same man aliyekuwa involved kwenye HIV/AIDS ni the same Man kwenye janga hili la hapa nyuma kwenye Covid-19
View attachment 2214271
Na huyu Jamaa ni pete kidole na Bill Gate anayetaka dunia sasa ihameie kwenye nyama bandia "Synthetic meat"... Haiishii hapo yadaiwa ni mtoto wa Mama Mmoja maarufu na kuna Pro-NATO w kike mmoja humu kamueka kwenye Profile... Anafahamika kama Mother Terressa. Hapa wakatoliki tusameheane kidogo.
View attachment 2214282
View attachment 2214287
Na yasemekana huyu Mother Teressa ni Mama wa huyu Fauci
View attachment 2214280
Na hii team yote inayofanya madudu haya ipo nyuma ya UKRAINE...
Hayatoshi kuzimua bongo zetu jamani? Tusiishie hapo kuna njemba nyingine inaitwa Soros, huyu aliwahi kukiri wazi kuhusu kufungua Foundation hapo Ukraine... Mskilizeni kwenye video chini na huyu yeye na team yake ndio wapo nyuma ya mizozo mingi sana duniani...
View attachment 2214294
Haya yote hayatoshi kuzimua akili zetu kwa yanayoendelea hapa duniani?
Have a look again, this is black eye Club, all of them wako nyuka ya Ukraine...
View attachment 2214316
Media are lying, History are lying, everything is messed... bado watu wanakaza wapo wanashabikia mashudu.
Wataanzaje sasa kumzungumzia 😂😂😂Aya sasa, mpenzi wa jinsia moja awa msemaji wa ikulu ya Washington. Tukiwambia hapa kua hawa mashoga US wana ajenda za ajabu duniani mnabisha.View attachment 2214061
Papa Francis awachana NATO, awaambia wao ndio wamemchokonoa Putin kwa kumbwekea mlangoni kwake...naye Pitin akawajibu kwa kuanzisha kichapo kwa kibaraka wao (Ukraine)
View attachment 2214371
Yaaani dunia inashuhudia watu wanavyouana wameangalia tu yaaani inauma kweli
Hapana, Dogo Zele aongeze moto [emoji91]Zelensky punguza kumpelekea moto Putin.
Kama naona moto unavyowaka huko kwa senior staffs wa jeshi la urusi.Nasema mkurugenzi wa RT afutwe kazi mara moja
Tatizo huwa una copy na kuja ku paste vingereza toka wap cjui ndio maana hupat attentionMkuu zipo mada nilishaleta hapa,nadhani wewe kukuziona,tena nilirudia,kwa kuwa nilitaka watu wajue wabaya wa Binadamu kimsingi.
Soma hii👇
![]()
Khazarian Mafia and its evil plan to infiltrate, tyrannize the whole World and eradicate all Abrahamic Religions and take over the World
Hidden History of the Incredibly Evil Khazarian Mafia and its' evil plan against the citizens of the World. Share Reported by Covert Geopolitics The curtain is now being pulled back to fully expose the Khazarian Mafia and its evil plan to infiltrate, tyrannize the whole World and eradicate...www.jamiiforums.com
Yaani ajikaange mwenyewe? Aah thubutuuu, kwani unaishi dunia ipi wewe? Wanaume washavalia kesi ya Ukraine kwa 50%, mwezi ulopita pesa na vifaa vimemwagwa hukp Ukraine.Mmmh hii mioto mbona km imezidi sitaki kuamini Kama intellijensia ya Russia imelala kiasi hicho,isije ikawa Putin anafanya hizi false flags attacks ili apate uhalali wa kutangaza Vita dhidi ya Ukraine.
Hii ni kali, sasa hapo demu ni yupi?Wataanzaje sasa kumzungumzia [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2214382
Eti hiyo couple ina mtoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia iko speed sana... Slava Ukraine BS
😂🤣😂🤣Ndiyo Kwanza naingia ...duh...nyie Ndugu zetu wapendwa ni Mara ngapi mumeona Uzi ni wa Moto kwa habari zinazowakera🤣😂Leo wamechanganyikiwa kila uzi ni wa moto kwao,bado wanahangaika na kukanusha habari ya meli na soko kuteketea kwa moto [emoji3][emoji3]
Mbona hii ngoma bado NATO hawajaingia miguu miwili, wakiingia mazima Russia hapatakalika.Warusi wa JF Leo mna kazi Sana naona myoto kila Kona.
Hahaha nyuzi za jamaa hawazitaki kabisa, wanabaki kumtishia kuwa anajishushia heshima.Warusi kindakindaki wa JF wanaziruka tu nyuzi zako kimya kimya!endelea kutu-update mkuu!