Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati Zelensky akishinda vita vya Ukraine huko Twitter, Mbunge wa Russia aliyetembelea mji wa Kherson (mji wa Ukraine uliotekwa na Russia) amesema Russia itaendelea kuzikalia sehemu za kusini mwa Ukraine ilizozikomboa toka kwa Zelensky daima dawamu...hiyo ndiyo ishakuwa hivyo, Ukraine haitokuja kuwa kama zamani.

SmartSelect_20220506-185430_Chrome.jpg
SmartSelect_20220506-185444_Chrome.jpg
 
Leo niwape kipya katika kuoneshana kipi wengi wetu hapa huwa tunakishabikia either tukiwa tunakijua kwa kua miongoni mwao au hatukijui tukiki'praise blind folded...

Kuna jamaa mmoja sijui kama atakuwa anafahamika kwa wengi anaitwa Dkt Fauci.

Ajab the same man aliyekuwa involved kwenye HIV/AIDS ni the same Man kwenye janga hili la hapa nyuma kwenye Covid-19

IMG_20220506_184757_679.jpg


Na huyu Jamaa ni pete kidole na Bill Gate anayetaka dunia sasa ihameie kwenye nyama bandia "Synthetic meat"... Haiishii hapo yadaiwa ni mtoto wa Mama Mmoja maarufu na kuna Pro-NATO w kike mmoja humu kamueka kwenye Profile... Anafahamika kama Mother Terressa. Hapa wakatoliki tusameheane kidogo.

images-19.jpeg


-5956253418119084579_121.jpg


Na yasemekana huyu Mother Teressa ni Mama wa huyu Fauci

IMG_20220506_183207_392.jpg

Na hii team yote inayofanya madudu haya ipo nyuma ya UKRAINE...

Hayatoshi kuzimua bongo zetu jamani? Tusiishie hapo kuna njemba nyingine inaitwa Soros, huyu aliwahi kukiri wazi kuhusu kufungua Foundation hapo Ukraine... Mskilizeni kwenye video chini na huyu yeye na team yake ndio wapo nyuma ya mizozo mingi sana duniani...



Haya yote hayatoshi kuzimua akili zetu kwa yanayoendelea hapa duniani?

Have a look again, this is black eye Club, all of them wako nyuka ya Ukraine...

IMG_20220506_191258_275.jpg


Media are lying, History are lying, everything is messed... bado watu wanakaza wapo wanashabikia mashudu.
 
... halafu utawasikia nguruwe pori wanakaza shingo PROPAGANDA! Majenerali wameuliwa kama kuku mjinga mmoja wa Tandika Kaburi 1 anakuambia uongo. Haya RT hao!
 
Hawa jamaa huenda ikawa wanazuga hawana silaha wakati hill eneo lilikua ndio kambi yao ,
Sio kila kambi ya jeshi ina silaha za kutosha hasa kambi za mpakani huwa hazina silaha nyingi

Mfano kikosi kikubwa kabisa cha jeshi kigoma kina bunduki chini ya 1000 pia kina askari chini ya 500 waliopo town

Hawana silaha yoyote nzito wala mizinga mizito, Endapo ikitokea uvamizi jukumu lao ni kupoteza muda tu huku wakisubiri Brigedia ya FARU tabora kuja na silaha nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi serekali ya tz itoe msaada kwa urus maana hali si hali.

Wale wanajeshi wetu wanaovunjiwaga matofali na kupgwa marungu
 
Leo niwape kipya katika kuoneshana kipi wengi wetu hapa huwa tunakishabikia either tukiwa tunakijua kwa kua miongoni mwao au hatukijui tukiki'praise blind folded...

Kuna jamaa mmoja sijui kama atakuwa anafahamika kwa wengi anaitwa Dkt Fauci.

Ajab the same man aliyekuwa involved kwenye HIV/AIDS ni the same Man kwenye janga hili la hapa nyuma kwenye Covid-19

View attachment 2214271

Na huyu Jamaa ni pete kidole na Bill Gate anayetaka dunia sasa ihameie kwenye nyama bandia "Synthetic meat"... Haiishii hapo yadaiwa ni mtoto wa Mama Mmoja maarufu na kuna Pro-NATO w kike mmoja humu kamueka kwenye Profile... Anafahamika kama Mother Terressa. Hapa wakatoliki tusameheane kidogo.

View attachment 2214282

View attachment 2214287

Na yasemekana huyu Mother Teressa ni Mama wa huyu Fauci

View attachment 2214280
Na hii team yote inayofanya madudu haya ipo nyuma ya UKRAINE...

Hayatoshi kuzimua bongo zetu jamani? Tusiishie hapo kuna njemba nyingine inaitwa Soros, huyu aliwahi kukiri wazi kuhusu kufungua Foundation hapo Ukraine... Mskilizeni kwenye video chini na huyu yeye na team yake ndio wapo nyuma ya mizozo mingi sana duniani...

View attachment 2214294

Haya yote hayatoshi kuzimua akili zetu kwa yanayoendelea hapa duniani?

Have a look again, this is black eye Club, all of them wako nyuka ya Ukraine...

View attachment 2214316

Media are lying, History are lying, everything is messed... bado watu wanakaza wapo wanashabikia mashudu.
100% true.The stupid and loons however watakuja hapa na kukuambia these are conspiracy theories,yes nasema watakuja,very stupid indeed.Ni watu walioshikiwa akili zao na Shetani,so they cannot see things properly and clearly,they live in an illusion,mind controlled and completely brainwashed.
 
[emoji23][emoji16][emoji16]cha kusikitisha baada ya Urusi kujua kuwa mama na watoto wote tumeshawaokoa magaidi ya Nazi huko wanapigwa kitu kinaitwa Carpet bm yaani inasbaratisha mtaa mzima hatoki mtu, jana wamepigwa hio kitu 630 magaidi ya kinazist yamefekewa mbali, halafu leo humu kuna mgojwa wa stress anakuja na propaganda zake
Eti Magaidi ya Nazi
kichaa wenu ndie gaidi namba moja 😂😂

2FA07774-E50B-4569-BE64-45FA4298C34A.png
 
Back
Top Bottom