?!The CIA is, of course, not part of the Pentagon.
Mwalimu
Hii nayo itaitwa ni Russian PropagandaAya sasa, mpenzi wa jinsia moja awa msemaji wa ikulu ya Washington. Tukiwambia hapa kua hawa mashoga US wana ajenda za ajabu duniani mnabisha.View attachment 2214061
Nasikia msemaji mkuu wa ikulu yenu pendwa nyeupe kwa sasa hivi ni shoga mbona hamtuambii asee?Wana sababu zao kila siku,watakwambia hiyo ni ajali ya kawaida,mpaka ziishe zote ndiyo akili zitawakaa sawa
Kama hili linakupa unafuu wa kile Russia anachokutana nacho Ukraine,ruksa Mkuu kufurahia.Sisi hapa tunachojua kuna meli na soko huko Russia vimelipuka kwa motoNasikia msemaji mkuu wa ikulu yenu pendwa nyeupe kwa sasa hivi ni shoga mbona hamtuambii asee?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Shusha vitu,hizi ndiyo habari sasa tunataka kusikia ngoja nimwite 1954 aje kutembelea mitaa hii tafadhari[emoji3]Baada ya Majenerali 10 wa Urusi kuuwawa walianza kuwatupia Lawama pentagon kwamba ndo wamehusika na Mauaji hayo Lakin Pentagon imepuuza taarifa hizo na kusema haihusiki,,
Pentagon denies sharing intel with Ukraine to ‘kill’ Russian generals
Uh-huh
on.rt.com/bw9w
View attachment 2214066
Chanzo RT (cha Urusi Kabisa )
Britanicca
Leo wamechanganyikiwa kila uzi ni wa moto kwao,bado wanahangaika na kukanusha habari ya meli na soko kuteketea kwa moto [emoji3][emoji3]Ngoja waje warusi, nakaa pembeni hapa .
[emoji1787][emoji1787] wako kule wanahangaika na uzi wa Soko kuwaka motoNaona masheikh ndio wanaondoka msikitini ngoja wavae makobazi waje, utapata majibu kamili ya upande wa Russia.
Wote ni walewale.Msagaji... Shoga ni kwa kiume Mr...
Huyu huyu mwalimu kwasasa umestaafu au unaleta uchonganishiThe CIA is, of course, not part of the Pentagon.
Mwalimu
Kua na adabu na dini za watu mbwa koko weweNaona masheikh ndio wanaondoka msikitini ngoja wavae makobazi waje, utapata majibu kamili ya upande wa Russia.
Ndio mwalimu wangu wa CL 111?The CIA is, of course, not part of the Pentagon.
Mwalimu
Woyooooo aaaaaam back ..... NAWASALIMU KWA JINA URUSI - KIPONDO KIENDELEEEView attachment 2212661
Uchumi sio propaganda, kama nchi ingekuwa ya kindezi wallah leo dollar moja ingekuwa rubo 2350.
The CIA is, of course, not part of the Pentagon.
Mwalimu