Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1188][emoji2406][emoji627]North Korea fired an unidentified projectile in the direction of the Sea of Japan, it is likely that it was an intercontinental ballistic missile (ICBM), the Yonhap news agency reported, citing the Joint Chiefs of Staff of South Korea.
Safi saana dunia ilikuwa imezubaa saana kama huyu kilaza wetu Samiaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bosi, zizungumzii cage. that is another rusian military failure story. nazungumzia mbao literally.
Hizo mbao idea ni ileile. Na mara nyingi ziliwekwa kwenye magari hasa ya mizigo upande wa madereva na mbele. Gari ukiliongezea mavyuma unapunguza kutembea na hayo magogo walikuwa wanayaweka madereva wenyewe sio order kutoka juu. Zile ni desperate attempts
 
Muda si mrefu umesikika milipuko ya mfululizo huku Russia eneo la Kursk

Hivyo kupelekea kuungua Kwa store nyingine ya zana za kivita za Urusi ,

Inasemekana wanajeshi wa jeshi linalosaidia Upande wa UKRAINE wakiwa wamevalia nguo zisizo za Jeshi la Ukriane wametelekeza mashambulizi hayo!

Camera za cctv baadae zilionesha tulio lilivyoanza halafu na watekelezaji Upande walipo!!!



Britanicca
 
Screenshot_2022-05-05_154459.jpg

Uchumi sio propaganda, kama nchi ingekuwa ya kindezi wallah leo dollar moja ingekuwa rubo 2350.
 
Aiseee endelea kutupa mambo maana warusi wa Tandale walikuwa wanatupiga Kamba akiwepo Yule wa Mbutu
 
Muda si mrefu umesikika milipuko ya mfululizo huku Russia eneo la Kursk

Hivyo kupelekea kuungua Kwa store nyingine ya zana za kivita za Urusi ,

Inasemekana wanajeshi wa jeshi linalosaidia Upande wa UKRAINE wakiwa wamevalia nguo zisizo za Jeshi la Ukriane wametelekeza mashambulizi hayo!

Camera za cctv baadae zilionesha tulio lilivyoanza Alafu na watekelezaji Upande walipo!!!

Britanicca
Matako!!
 
Hata mapunk walisema hivi hivi wakati wa mgogoro wake na Trump.

Kuna wengine walisema yupo kwemye coma etc lakini bado yupo anakagua makombora yake kama kawa.

Hivyo hivyo propaganda dhidi ya Putin zitakuwa nyingi sana
 
Nimependa sana Spirit ya Pro NATO wa humu JF jinsi wanavyojua kupambania wanachokipenda, yaani hata askari wa upande wao akipigwa risasi watasema silaha yenyewe ya kizamani. Kiujumla wana Kipaji kikubwa sana na itokee chama chochote cha siasa kikiwasajili hakika kinashinda uchaguzi Mapema sana. cc@ Jackal, coco reborn, Britanicca, Tsh, CHAMASON-MORISON-SAKHASON, Volatility
Pro NATO hawana tofauti na Hashim rungwe kwenye uchaguz wa tanzania [emoji16]
 
Back
Top Bottom