Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

habari iliyotolewa ni kwambajamaa alijeruhiwa mguu akawachukuliwa kurudi rusia kwa helcopter ya kijeshi kwa matibabu, na ikasema kabisa majeraha hayakuwa makubwa.

kukanusha habari hii kwa umakini jamaa anatakiwa kutuonyesha miguu yake.

sawa?
Yaani superior general akuoneshe mguu wewe mkazi wa mloganzila
 
Jana usiku nikiwa nimetulia nilikua napepesa macho instagram nikakutana na habari kutoka Bibisiii nikaclick comments pale aisee wabongo wamesanuka na propaganda za west.View attachment 2212332
View attachment 2212333
View attachment 2212334
View attachment 2212335
View attachment 2212336

Hapa unaona jinsi hawa watu walivo na hali mbaya sahv wameacha kupost habr za Ukraine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Ila Comments za wabongo nouuuuuuma sana... Wamebaki Ving'ast tu huku JF kuendeleza mapambio...

Nyongeza em tizama tena hii taarifa kuhusu hicho walichokipost BBC
IMG-20220505-WA0001.jpg
Hao ni New York Post, taarifa kuhusu jambo moja Zikiwa zinapingana...

Na hawa etiiiiii ni INTERNATIONAL MEDIA ambao wakina flan wanaviamini sana kuliko "Brain" zao wenyewe...
 
Jana usiku nikiwa nimetulia nilikua napepesa macho instagram nikakutana na habari kutoka Bibisiii nikaclick comments pale aisee wabongo wamesanuka na propaganda za west.View attachment 2212332
View attachment 2212333
View attachment 2212334
View attachment 2212335
View attachment 2212336

Hapa unaona jinsi hawa watu walivo na hali mbaya sahv wameacha kupost habr za Ukraine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Hii Vita imewarudisha nyuma Sana BBC,dw,al-jazeera,CNN etc

Propaganda zimefeli big time.
 
Kuna taarifa victory parade ya Russia itafanyika mjini mariupol, mitaani wameanza kusafisha mazingira. Hii taarifa ni dhihaka kuu kwa Ukraine na west, yaani unapigwa kwako na watu wanafanya sherehe.

Sasa huo upinzani wa kijeshi wa Ukraine upo wap? Ghost of Kiev yupo wapi? Juzi niliandika hapa kua asilimia 85 ya operation imekwisha, ikiwa Ukraine atakaza tako upo uwezekano wa Russia kutangaza total war, hapa hakutakua na njia za kupitisha raia, hakutakua na mambo ya kuokoa watoto, wazee au nani.

Naelewa kua Zelensky ni kama chizi fresh ila safari hii akili itamkaa sawa. Ninachompenda Putin hana mbwembwe, kelele wala sifa. Anafanya mambo kimya kimya kwa namna ambayo itakushangaza. Mpaka sasa Ukraine hajajiunga EU wala NATO na kipigo kachukua, sasa unabaki unacheka, anachopigania ni nini?
The irreplaceable
 
Jana usiku nikiwa nimetulia nilikua napepesa macho instagram nikakutana na habari kutoka Bibisiii nikaclick comments pale aisee wabongo wamesanuka na propaganda za west.View attachment 2212332
View attachment 2212333
View attachment 2212334
View attachment 2212335
View attachment 2212336

Hapa unaona jinsi hawa watu walivo na hali mbaya sahv wameacha kupost habr za Ukraine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Watu wamewasanukia hao MBWA wanawatia spana zakutosha
RUSSIA taifa TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna taarifa victory parade ya Russia itafanyika mjini mariupol, mitaani wameanza kusafisha mazingira. Hii taarifa ni dhihaka kuu kwa Ukraine na west, yaani unapigwa kwako na watu wanafanya sherehe.

Sasa huo upinzani wa kijeshi wa Ukraine upo wap? Ghost of Kiev yupo wapi? Juzi niliandika hapa kua asilimia 85 ya operation imekwisha, ikiwa Ukraine atakaza tako upo uwezekano wa Russia kutangaza total war, hapa hakutakua na njia za kupitisha raia, hakutakua na mambo ya kuokoa watoto, wazee au nani.

Naelewa kua Zelensky ni kama chizi fresh ila safari hii akili itamkaa sawa. Ninachompenda Putin hana mbwembwe, kelele wala sifa. Anafanya mambo kimya kimya kwa namna ambayo itakushangaza. Mpaka sasa Ukraine hajajiunga EU wala NATO na kipigo kachukua, sasa unabaki unacheka, anachopigania ni nini?
The irreplaceable
Mie bado sijaamini kama watafanya parade pale
Ila nna maneno yangu kama watafanya kwapale mauriopol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa sana Spirit ya Pro NATO wa humu JF jinsi wanavyojua kupambania wanachokipenda, yaani hata askari wa upande wao akipigwa risasi watasema silaha yenyewe ya kizamani. Kiujumla wana Kipaji kikubwa sana na itokee chama chochote cha siasa kikiwasajili hakika kinashinda uchaguzi Mapema sana. cc@ Jackal, coco reborn, Britanicca, Tsh, CHAMASON-MORISON-SAKHASON, Volatility
 
Back
Top Bottom