Gasoline prices in the US are rising again, despite the efforts of the Biden administration.
Now a gallon of gasoline at American gas stations costs about $4.2 (₽294). In the metropolitan District of Columbia, the price can reach $4.7 (₽329), and in California - $5.8 (₽406), notes the American Motorist Association.
From the beginning of April, fuel began to become cheaper after Biden announced the release of oil from the strategic reserve. But now analysts are seeing a rise again.
The Biden administration links the rise in prices to events in Ukraine. This position is criticized by ex-president Donald Trump: he emphasizes that fuel began to rise in price much earlier.
At the same time, a record jump in prices was noticeable after March 8, when Biden announced a ban on the import of Russian energy resources.
View attachment 2212024
Hii Issue kama wale wanaoibeza Russia wangekuwa na akili ingejitosheleza kuwaelezea.
Wanadai US anaweza fidia Gap la Europe lakini em tizama, US hajapigwa ban na Mtu, US wanadai anazalisha Oil kuliko taifa lolote dunian ila wanasahau kama anayozalisha haimtoshi.
Sasa swali dogo ambalo wangepaswa kujiuliza. Hapa TZ sasa Gasoline yan Petrol imefika 3200+Tsh sawa na kama 1.37$... Hapo US Gasoline wananunua 1.21$ kwa Litre ambayo ni kama 2800+Tsh... Tofauti ka ya 400Tsh ikiwa ni 0.16$ hivi. Hapa ikumbukwe sie hatuzalishi mafuta bali tunaagiza kutoka nje.
Wale wanaobisha kua US haagizi Gas kutoka nje wanaweza kutuelezea kupanda kwa bei na kua level kias sawa na Countries ambazo hawazalishi bali wanaagiza kutoka nje?
Then sogea kwa nchi ambazo zinazalisha kikubwa zaidi y kile inachohitaji hivo wana surplus ya ziada kuuza nje.
Ukianza na Saudi Arabia hivi leo Gasoline inauzwa kwa 2.33SAR kwa Litre, hii ni 0.62$ ama 1420Tsh kwa fedha yetu hapa TZ..
Sogea hapo Qatar, Gasoline/Petrol iko around 0.57$ kwa Tsh ni 1320..
Malizia na Russia Petrol kwa litre ni 46Ruble, hii iko around 0.69$ kwa exchange ya sasa... Hii nayo ni around 1490Tsh...
Then kwa ujumla mkitizama hizi nchi tatu tulizotolea mfano ambazo zinazalisha na ku'export nje bila wao kununua kutoka nje bei zao zipo chini mara 2 ya ile tunayogharamia sie tunaogiza nje na US AKIWEMO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mfumuko wa bei ndani ya US inadaiwa ni kwasabab ya PUTIN na Vikwazo walivoamua kuviweka, So hii ina maana gani??? Simple tu kua Their economy unategemea sana Resources kutoka Russia.
Kama ni hapana watujibu Mbona walivoipiga sanctions Iran, North Korea Zimbabwe na wengineo hayakutokea haya yanayowakumba hivi sasa...?
Mwisho nakazia [emoji23], Nchini Venezuela kwa data za May 2 2022 wananunua Petrol kwa 0.022Dollar... Naam sio typing error hiyo... ni 0.022Dollar sawa na SHILLING YA KITANZANIA 58Tsh.
Ila leo hii dunia ipo katika taab ya Gas and Oil, pale Venezuela imelala hadi ikalaliana but yuko Under sanctions kutoka US na team yake... Je nyie Pro NATO na Pro US hamuoni ni nani anayeitakia mabaya dunia hii tuliopo?
Why do these rich resources countries always zinadondokea kwenye kapu la vikwazo kisha The rest duniani kote tunabaki ku-suffer michezo ya hawa kunguru wa magharibi?...
Lakini ajab wakiwaletea Vyandarua na vidonge vya ARV mnainama na kusujudu eti hakuna kama hao nyumbu nyie [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]