Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Biden suggested that Americans switch to bicycles and solar panels to save $500 a year on energy.

Today he delivered statements at the White House on US economic growth and jobs.

View attachment 2212040
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nanukuu...

"Switch to Bicycles and Solar Panel to save $500 a year on energy"

A leader from the world Largest economy in the world ndio Kasema ase...[emoji847] Dementia Joe anazeeka vibaya.
 
Baada ya kushindwa kuhimili makonde makali ya Dogo Zele, Putin Sasa anataka washkaji zake Zele wamzuie ili ugomvi uishe.
Screenshot_2022-05-05-09-28-17-93.jpg
 
Utapata jibu utakapojua idadi ya wamarekani mbele ya wachina na masafa walipo kutoka Urusi.
Kwenye Idadi ya watu inaeza isi-play sana part ya nini kinauzwa ama nini kinanuliwa bali matumizi hasa kwenye viwanda.

China na US ni wolrd largest manufacturing hub dunian ambao hao wawili kwa pamoja wanachukua kama 44% percent... China akiwa na 28% na US 16%...

Despite hii ratio ya 1 kwa 4 katika Population, Matumizi ya Oil and Gas ndani ya US na China kwa kiwango ni kama yanalingana hivi... Ila US ukilinganisha na China anafanya Import kiasi kidogo China Zaidi.

US ana'import wastan wa Mapipa Mil 6 kwa siku ilhali China ana'import Mil 12 kasoro kwa siku... Hii tofauti inakuwa hivi kwasabab US anazalisha kingi kuliko China... Japo Consumption zao zinakaribiana.
 
Marekani iache janjajanja zake, ni muda muafaka sasa kwa Marekani kupeleka ndegevita zake za F-15, F-16, na F-35 nchini Ukraine zikaoneshe ubora wake mbele ya zanavita za kisasa Russia...

Marekani iache kujificha kwenye misaada ya silaha na ndegevita za kisovieti, ipeleke za kwake tukathibitishe ubora wake mbele ya Russia yenye nguvu na zana za kisasa. Mbona kwingineko Marekani huwa anapeleka hiyo midoli yake ikashambulie? Anashindwa nini kupeleka ndege hizo Ukraine?

WaUkraine wanaweza kuzi-operate hizo ndege na wanaziomba ili kuendana na ndege vita za kisasa za Russia, wapewe tushuhudie ubora unaoimbwa mitandaoni wa midoli hiyo ya Marekani.


View attachment 2212075
View attachment 2212076View attachment 2212078View attachment 2212079View attachment 2212080View attachment 2212081View attachment 2212083View attachment 2212085

Apeleke ndege zinazoanguka zenyewe[emoji28][emoji28]
 
Hii Issue kama wale wanaoibeza Russia wangekuwa na akili ingejitosheleza kuwaelezea.

Wanadai US anaweza fidia Gap la Europe lakini em tizama, US hajapigwa ban na Mtu, US wanadai anazalisha Oil kuliko taifa lolote dunian ila wanasahau kama anayozalisha haimtoshi.

Sasa swali dogo ambalo wangepaswa kujiuliza. Hapa TZ sasa Gasoline yan Petrol imefika 3200+Tsh sawa na kama 1.37$... Hapo US Gasoline wananunua 1.21$ kwa Litre ambayo ni kama 2800+Tsh... Tofauti ka ya 400Tsh ikiwa ni 0.16$ hivi. Hapa ikumbukwe sie hatuzalishi mafuta bali tunaagiza kutoka nje.

Wale wanaobisha kua US haagizi Gas kutoka nje wanaweza kutuelezea kupanda kwa bei na kua level kias sawa na Countries ambazo hawazalishi bali wanaagiza kutoka nje?

Then sogea kwa nchi ambazo zinazalisha kikubwa zaidi y kile inachohitaji hivo wana surplus ya ziada kuuza nje.

Ukianza na Saudi Arabia hivi leo Gasoline inauzwa kwa 2.33SAR kwa Litre, hii ni 0.62$ ama 1420Tsh kwa fedha yetu hapa TZ..

Sogea hapo Qatar, Gasoline/Petrol iko around 0.57$ kwa Tsh ni 1320..

Malizia na Russia Petrol kwa litre ni 46Ruble, hii iko around 0.69$ kwa exchange ya sasa... Hii nayo ni around 1490Tsh...

Then kwa ujumla mkitizama hizi nchi tatu tulizotolea mfano ambazo zinazalisha na ku'export nje bila wao kununua kutoka nje bei zao zipo chini mara 2 ya ile tunayogharamia sie tunaogiza nje na US AKIWEMO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo mfumuko wa bei ndani ya US inadaiwa ni kwasabab ya PUTIN na Vikwazo walivoamua kuviweka, So hii ina maana gani??? Simple tu kua Their economy unategemea sana Resources kutoka Russia.

Kama ni hapana watujibu Mbona walivoipiga sanctions Iran, North Korea Zimbabwe na wengineo hayakutokea haya yanayowakumba hivi sasa...?

Mwisho nakazia [emoji23], Nchini Venezuela kwa data za May 2 2022 wananunua Petrol kwa 0.022Dollar... Naam sio typing error hiyo... ni 0.022Dollar sawa na SHILLING YA KITANZANIA 58Tsh.

Ila leo hii dunia ipo katika taab ya Gas and Oil, pale Venezuela imelala hadi ikalaliana but yuko Under sanctions kutoka US na team yake... Je nyie Pro NATO na Pro US hamuoni ni nani anayeitakia mabaya dunia hii tuliopo?

Why do these rich resources countries always zinadondokea kwenye kapu la vikwazo kisha The rest duniani kote tunabaki ku-suffer michezo ya hawa kunguru wa magharibi?...

Lakini ajab wakiwaletea Vyandarua na vidonge vya ARV mnainama na kusujudu eti hakuna kama hao nyumbu nyie [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]

Nyumbu kabisa NAKAZIA
 
Jana usiku nikiwa nimetulia nilikua napepesa macho instagram nikakutana na habari kutoka Bibisiii nikaclick comments pale aisee wabongo wamesanuka na propaganda za west.
IMG_2841.jpg

IMG_2842.jpg

IMG_2843.jpg

IMG_2844.jpg

IMG_2845.jpg


Hapa unaona jinsi hawa watu walivo na hali mbaya sahv wameacha kupost habr za Ukraine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom