Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20220504_182946_356.jpg

❗🇺🇦🏴‍☠️ Labor mobilization begins in Ukraine

So, the decree was issued by the Chuguev regional military administration.
The population aged 18-60 from among those who do not serve in the army, do not work in government agencies or do not have “armor” are mobilized to dig trenches.
 
Sio.Libya ila watamtafutia dawa tu.Hiller alisumbua na wali manage.The good things about human being, ukiwa peke yako au peke yenu mnaleta shida solution inatafutwa tu kama wanataka hiyo ndio p
maisha ya duniani

Dada yangu ungekua unaongelea na walichofanyiwa ndugu zetu libya, somalia, tukinda afghanistan, Iran, Iraq tungeenda sawa kwakua una base upande wa NATO wewe ni mshabiki.

Putin yupo sana watakufa hao wote watamwacha Mwamba wa kaskazini.
 
Col. Douglas Macgregor(retired) in his latest interview.

Russia is very angry because of USA supporting Ukraine and arming Ukraine.

THEY WILL WANT A PAYBACK...THEY ARE VERY ANGRY AND THEY WILL MAKE A PAYBACK...IT IS QUESTION OF TIME WHEN THEY WILL START TO ARM MEXICAN CARTELS
 
HABARI KUTOKA KWA WANAHABARI WETU WA NDANI.

Rais wa Halmashauri Kuu ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema Umoja wa Ulaya utatekeleza taratibu mpango wa kupiga marufuku mafuta kutoka Urusi, hayo yanajiri wakati Umoja huo ukiwa umezindua msururu wa vikwazo vipya vya kuiadhibu Urusi kwa kuivamia kijeshi Ukraine.

Von der Leyen ameliambia Bunge la Ulaya leo mjini Strasbourg kuwa Ulaya itaondokana na matumizi ya mafuta ghafi ya Urusi katika kipindi cha miezi sita na kisha mafuta yaliyosafishwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

Pendekezo la von der Leyen limeomba kuwa Hungary na Slovakia ambazo zinategemea pakubwa mafuta ya Urusi, zipewe muda zaidi wa kuanza kutekeleza mafuruku hiyo, Mabalozi 27 wa nchi za Umoja wa Ulaya wanakutana leo kuutathmini mpango huo na utahitaji kuidhinishwa kwa kauli moja ili kuanza kutekelezwa.

Aidha Wanachama wa Umoja wa Ulaya wanapaswa kukubaliana kuwa Benki kubwa kabisa ya Urusi, Sberbank iondolewe kwenye mfumo wa huduma ya mihamala ya kifedha ya kimataifa maarufu kama SWIFT, orodha hiyo ya vikwazo pia inajumuisha televisheni tatu kubwa za Urusi, Mku wa Kanisa la Orthodox nchini Urusi na viongozi waandamizi wa kijeshi na Serikali.
#MillardAyoUPDATES
Ulaya wamekalia kuti kavu,ni swala la muda tu lita-katika.Nimeshasema,it is stupid kwa Ulaya kuiwekea Urussi vikwazo kwa kuwa it is so resource rich,na Ulaya wanaitegemea kwa karibu kila kitu.What European leaders are doing is suiciding their own people.Very sad indeed.
 
Ni suala la muda itajulikana Ulaya ni wajinga au wewe ndo kilaza. Kwa sasa wote nawapa nafasi. Ngoja tuone.
 
The Bundestag demanded that Ukrainian Ambassador Andriy Melnyk be expelled from the country after he called German Chancellor Scholz an offended liverwurst, writes Welt.
“Whoever does not expel the supporter of Nazism Melnik now has lost all self-respect,” wrote Bundestag deputy.
 
Sio kwamba ulaya ndio vilaza halafu jamaa ndio umpe nafasi yakua mjinga?.
Imagine kichwa kimoja chini ya jangwa la sahara kimewaza tofauti against leaders of EU halafu kiwe sahihi.

Ulaya wakiwa wajinga yeye atakuwa mtu mwenye upeo mkubwa sana katika masuala ya diplomasia atastahili kuitwa Geneus. Ila Ulaya wasipokuwa wajinga atakuwa kilaza taburaza.
 
balance of power ni muhimu katika dunia hi.
Ebu siku dunia nzima ikatumia sarafu moja ambayo ni dola.
Jeshi ni nato kote duniani.
Benki kuu iwepo huko ulaya na marekani peke yake.
Silaha zimilikiwe na hao watu peke yake.
Michexo nayo ndio kama hivi tunavyoona sasa.
Media zote ziwe under US and Europe.
Kwa mifano hii.
Uhuru utakuwepo ?
Upingaji wa hoja utakuwepo ? Au ndii ile paaa paaa paaaa
Ikitokea mkwaruzano kwa nchi fulani na mkaambiwa msitumie sarafu yetu na ndio inayotumika mtafanyaje?
Au ndiio muambiwe kuanzia Leo nchi fulani hamchezi mpira ?
Maswali ya mwanzo mlishindwa basi jibuni haya.
pro nato na pro us husika na maswali tajwa hapo juu

Mbona tupo chini ya hao na tuna amani......Wewe unafurahije kuona nchi ya mwenzako inavamiwa na kuamuliwa kufuata matakwa yake kwa lazma kisa nchi vamizi ina nguvu ?.......not fare aisee.....
 
Back
Top Bottom