Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sikuwahi kuchangia vita za nyuma. Ila kwenye hii nimeona ukrain ana onewa na nikichangia kuhusu military technicalities rusia is not even there.
anaoneawa kivipi ?
Tathimini hili.
Mimi kama jirani yako tunaishi mbezi. Nikakubaliana na panya road watumie nyumba yangu kuwazoom. Na kwa bahati ukashtukia dili utachukua uamuzi gani.
 
Sikuwahi kuchangia vita za nyuma. Ila kwenye hii nimeona ukrain ana onewa na nikichangia kuhusu military technicalities rusia is not even there.
'military technicalities rusia is not even there.'

Hakika Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize [emoji1][emoji1][emoji1]. Hatimae umeshindwa kujificha

SLAVA UKRAINI SLAVA UKRAINI [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
FR3NO_GXsAMe7eg.jpg
 
Mkuu unasema Dar mke watu analiwa kwa 200? Dar ipi iyo unayoizungumza ? Labda selected mitaa maalum ya kishua, Lakini kwa ninavyofahamu mimi wake za watu wanaliwa kwa Kupakiwa bure kwenye Bodaboda, Chips za bure, Kupewa ofa ndogo ndogo na wauza vipodozi na nguo za ndani, elfu 50.
 
Seoul Alleges NK Ballistic Missile Launch


South Korean military bosses claim Pyongyang has launched a ballistic missile - its 14th this year - into the Sea of Japan, just six days before Seoul’s new president Yun Suk-yeol takes office.


Tokyo backed South Korea’s claim, adding the missile traveled 500km and hit a height of 800km.


Japanese PM Fumio Kishida stated Pyongyang’s recent launches “cannot be tolerated” ahead of meetings with the Italian and British leaders in coming days, where he will press the issue further.
 
anaoneawa kivipi ?
Tathimini hili.
Mimi kama jirani yako tunaishi mbezi. Nikakubaliana na panya road watumie nyumba yangu kuwazoom. Na kwa bahati ukashtukia dili utachukua uamuzi gani.
Aise hii kitu imejadiliwa sana huku. Tukubaliane tu kutofautiana.
 
Iranian-Swedish citizen Ahmadreza Djalali, sentenced to death by the Iranian Supreme Court over spying for the Israeli intelligence agency Mossad will be executed by May 21, Iranian news agency ISNA reports.

🇸🇪 Swedish Foreign Minister Ann Linde has expressed concern over the death penalty, stressing that Sweden and the EU demand that “Djalali be released.”
 
HABARI KUTOKA KWA WANAHABARI WETU WA NDANI.

Rais wa Halmashauri Kuu ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema Umoja wa Ulaya utatekeleza taratibu mpango wa kupiga marufuku mafuta kutoka Urusi, hayo yanajiri wakati Umoja huo ukiwa umezindua msururu wa vikwazo vipya vya kuiadhibu Urusi kwa kuivamia kijeshi Ukraine.

Von der Leyen ameliambia Bunge la Ulaya leo mjini Strasbourg kuwa Ulaya itaondokana na matumizi ya mafuta ghafi ya Urusi katika kipindi cha miezi sita na kisha mafuta yaliyosafishwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

Pendekezo la von der Leyen limeomba kuwa Hungary na Slovakia ambazo zinategemea pakubwa mafuta ya Urusi, zipewe muda zaidi wa kuanza kutekeleza mafuruku hiyo, Mabalozi 27 wa nchi za Umoja wa Ulaya wanakutana leo kuutathmini mpango huo na utahitaji kuidhinishwa kwa kauli moja ili kuanza kutekelezwa.

Aidha Wanachama wa Umoja wa Ulaya wanapaswa kukubaliana kuwa Benki kubwa kabisa ya Urusi, Sberbank iondolewe kwenye mfumo wa huduma ya mihamala ya kifedha ya kimataifa maarufu kama SWIFT, orodha hiyo ya vikwazo pia inajumuisha televisheni tatu kubwa za Urusi, Mku wa Kanisa la Orthodox nchini Urusi na viongozi waandamizi wa kijeshi na Serikali.
#MillardAyoUPDATES
Kwanini wasianze leo na vikwazo hivyo?!?! Maana nimesikia vitaanza mwishoni mean mwaka huu...Ndugu zangu wa Pro NATO ukiona hivi mjue huko, Ukraine inaendelea kuchapwa...
Hata BBC, Skynews na Aljazeera habari za Vita hii zinachukua nafasi ya tatu au nne...😁😂😁😂 Kipigo kikali kinaendelea huko...
 
naomba kujua hiyo "Emp" mnayodai ikizimwa haya magari hayataenda. Ipoje na mmiliki ni nani?
A nuclear electromagnetic pulse (commonly abbreviated as nuclear EMP, or NEMP) is a burst of electromagnetic radiation created by a nuclear explosion. The resulting rapidly varying electric and magnetic fields may couple with electrical and electronic systems to produce damaging current and voltage surges.
 
Baada ya tishio la Vladimir kuungamiza dunia kwa nuklia, kamati kuu ya sangoma wa Afrika ilikaa kikao cha dharura na hatimaye kutoa tamko hili nyeti- Valdimir will no longer be a threat to society by Jan 2023. Yetu macho.

Hivi wale waganga waliokua wanaroga Putin waliishia wapi??[emoji3][emoji3]
 
Pesa ikizagaa sana mtaani na gharama za maisha zikawa nafuu , michepuko inaongezeka kwakuwa kuna excess Kwa wanaume wanao earn money !

Na hapa wanawake wanadharau waume zao kwamba utanifanya nini wenye pesa nje wapo!

Ukienda dar mtu kumla Mke wa mtu Kwa sh 200,000 ni jambo la kawaida sana Yaan sana !!

Ukienda Dodoma kumla Mke wa mtu Kwa 30,000 ni jambo la kawaida sana sana ,

Huko Mbeya ni Rift tu ya gari unaangusha !

Sasa iko hivi Mafuta yamepanda bei wanaume hawana Muda wa kuhudumia mahawala!!!

Sipati picha mpaka mwezi wa 12 …


B
Huko mbeya ni Rift tuu ya gari rift, ni Nini? Nikaishia hapo.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom