Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 6,291
- 10,192
Kwahiyo kuvamia nchi ya mwenzake siyo kosa..???.....you're not normal...!!!atazunguka kote ila ukweli kwamba urusi hana kosa.
Kwahiyo kuvamia nchi ya mwenzake siyo kosa..???.....you're not normal...!!!atazunguka kote ila ukweli kwamba urusi hana kosa.
Mkuu kazi ipo na muonekano wa Bei haitashuka itazidi kupanda Kila nikiamka asubui jambo la Kwanza nawaza mafutaPesa ikizagaa sana mtaani na gharama za maisha zikawa nafuu , michepuko inaongezeka kwakuwa kuna excess Kwa wanaume wanao earn money !
Na hapa wanawake wanadharau waume zao kwamba utanifanya nini wenye pesa nje wapo!
Ukienda dar mtu kumla Mke wa mtu Kwa sh 200,000 ni jambo la kawaida sana Yaan sana !!
Ukienda Dodoma kumla Mke wa mtu Kwa 30,000 ni jambo la kawaida sana sana ,
Huko Mbeya ni Lift tu ya gari unaangusha !
Sasa iko hivi Mafuta yamepanda bei wanaume hawana Muda wa kuhudumia mahawala!!!
Sipati picha mpaka mwezi wa 12 …
B
Nani aliivamia libya ???...walibya waliuwana wenyewe kwa wenyewe baada ya kupinga mfumo wa kifalme wa ghaddafNikikumbuka uvamizi wa Libya machozi yananitoka.
Mimi kabla hata ya kushangaa Viongozi wa EU kuwa wajinga,niko na shangaa vile lugha ya Malikia na Kiswahili vinavyopigana katika hiyo comment ya anaewaona EU ni wajinga[emoji3]Ni suala la muda itajulikana Ulaya ni wajinga au wewe ndo kilaza. Kwa sasa wote nawapa nafasi. Ngoja tuone.
Unajaribu kuwa Diplomatic na hutaki kumuumiza hisia zake kwa kumwambia ukweliNi suala la muda itajulikana Ulaya ni wajinga au wewe ndo kilaza. Kwa sasa wote nawapa nafasi. Ngoja tuone.
Umeshawahi kulazwa kwenye hospital ya Mirembe!?Nani aliivamia libya ???...walibya waliuwana wenyewe kwa wenyewe baada ya kupinga mfumo wa kifalme wa ghaddaf
Unaweza kupinga ushoga kama nchi?Mbona tupo chini ya hao na tuna amani......Wewe unafurahije kuona nchi ya mwenzako inavamiwa na kuamuliwa kufuata matakwa yake kwa lazma kisa nchi vamizi ina nguvu ?.......not fare aisee.....
Nikadhan bei za nani zetu ZILE Yna2Mkuu kazi ipo na muonekano wa Bei haitashuka itazidi kupanda Kila nikiamka asubui jambo la Kwanza nawaza mafuta
Duh...kwa hiyo wewe mwenzetu unadhani na kuamini kabisa kuwa Russia ameivamia Ukraine bill sababu?! Ndivyo unavyoamini??!!!Mbona tupo chini ya hao na tuna amani......Wewe unafurahije kuona nchi ya mwenzako inavamiwa na kuamuliwa kufuata matakwa yake kwa lazma kisa nchi vamizi ina nguvu ?.......not fare aisee.....
Kwamba mashoga marekani na NATO waache kuua?Balance of power ije bila kuua binadamu wengine wasio na hatia, mbona china ana mchalenge us kwenye uchumi na innovation.
Tafuta tu ushawishi basi uta mbalance mpinzani wako.
Anha nimekupata sasa...naomba kujua hiyo "Emp" mnayodai ikizimwa haya magari hayataenda. Ipoje na mmiliki ni nani?
Hii uliyomweleza ni NEMP sio EMP iliyokuwa imekusudiwa awali.A nuclear electromagnetic pulse (commonly abbreviated as nuclear EMP, or NEMP) is a burst of electromagnetic radiation created by a nuclear explosion. The resulting rapidly varying electric and magnetic fields may couple with electrical and electronic systems to produce damaging current and voltage surges.
Wee jamaa una umri gani?Karibu wote hao nilisoma nao rest in internally and externally peacefully