Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Usiku utakuwa mrefu sana kwa wq Ukraine. Miji yote sasa hivi ni alarm za hatari. Vitu vizito vinakuja.
Kweli we ni HitlerNani aliivamia libya ???...walibya waliuwana wenyewe kwa wenyewe baada ya kupinga mfumo wa kifalme wa ghaddaf
unahis russia ni ZimbabweHela zao gani anazo Russia, acha kudanganya watu bwana. Huoni leo Russia analazimisha vikwazo kuondolewa iwe ni sehemu ya mazungumzo yao na Ukraine.
Hahaha. Imebidi nicheke tu. 😂Mimi kabla hata ya kushangaa Viongozi wa EU kuwa wajinga,niko na shangaa vile lugha ya Malikia na Kiswahili vinavyopigana katika hiyo comment ya anaewaona EU ni wajinga[emoji3]
Huyu atakuwa wodini mpaka Sasa😇😇😇Umeshawahi kulazwa kwenye hospital ya Mirembe!?
Sawa CIA agent. Wanasemaje hapo Kremlin? Vipi, ile sumu mliyomtegea Putin kwenye chakula mnategemea lini italeta ndelemo na vifijo katika viunga vya Pentagon?Hii article nimeisoma Leo asubuhi Twitter nimeshangaa namna Putin anavyopata upinzani kutoka ndani ya serikali yake hasa usalama WA taifa.
Niwaambie Tu watu wasiojua Mambo ya kimataifa kuwa wakati huu westerners wameungana Sana kupeleleza Russia anafanyaje pia zinatumika kila mbinu ili kidhoofisha nguvu zake kwasababu muda huu ambao Russia yupo vitani ndiyo muda muafaka WA kuibomoa nchi.
kuna watu wanasema may 9 atatangaza vita kamili bila kujua kuwa waliopo field hawana molari ya kupigana..
alafu ukiona raisi anaanza kugombana na watu wake hapo usitegemee ushindi zaidi ya sabotage tu
Anguko la Mzee Putin litakuwa baya sana na la aibu.Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Ukitaka kuua bata, lenga kichwa hata na kajiwe kadogoo. Ili umpate vizuri lazima asogee karibu. Sasa nilichofanya ni nimetoa nafasi asogee, sitaki nirushe jiwe akiwa mbali. Kama ni bata mjanja atapaa.Unajaribu kuwa Diplomatic na hutaki kumuumiza hisia zake kwa kumwambia ukweli
Wacha weeeeeh!!!Anguko la Mzee Putin litakuwa baya sana na la aibu.
Mwamaleki Root
Nyamizi
T14 Armata
Coco reborn
dudus
Frank Wanjiru
Sexer
shukraniA nuclear electromagnetic pulse (commonly abbreviated as nuclear EMP, or NEMP) is a burst of electromagnetic radiation created by a nuclear explosion. The resulting rapidly varying electric and magnetic fields may couple with electrical and electronic systems to produce damaging current and voltage surges.
😁😂😁😂 Yaani Jesus uko Frontline unaleta vitu live...I like it...
Ni suala la muda itajulikana Ulaya ni wajinga au wewe ndo kilaza. Kwa sasa wote nawapa nafasi. Ngoja tuone.