Kikapuu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,202
- 1,754
nilikuwa sijaelewa nishaelewa kwa jamaa kanipa short notes ya NEMP
nilikuwa sijaelewa nishaelewa kwa jamaa kanipa short notes ya NEMP
Nani aliivamia libya ???...walibya waliuwana wenyewe kwa wenyewe baada ya kupinga mfumo wa kifalme wa ghaddaf
Sio kama napenda sana kinachoendelea Ukraine, ila ifikie kipindi Putin atuheshimishe aisee.Usiku utakuwa mrefu sana kwa wq Ukraine. Miji yote sasa hivi ni alarm za hatari. Vitu vizito vinakuja.
View attachment 2211624
amani ipi uliyonayo ?Mbona tupo chini ya hao na tuna amani......Wewe unafurahije kuona nchi ya mwenzako inavamiwa na kuamuliwa kufuata matakwa yake kwa lazma kisa nchi vamizi ina nguvu ?.......not fare aisee.....
He's gonna bury em all and dance on their graves [emoji1787]Dada yangu ungekua unaongelea na walichofanyiwa ndugu zetu libya, somalia, tukinda afghanistan, Iran, Iraq tungeenda sawa kwakua una base upande wa NATO wewe ni mshabiki.
Putin yupo sana watakufa hao wote watamwacha Mwamba wa kaskazini.
Ulaya ni wajinga. Pigia mstari!Ni suala la muda itajulikana Ulaya ni wajinga au wewe ndo kilaza. Kwa sasa wote nawapa nafasi. Ngoja tuone.
unataka kusema urusi kaamka tu na kuanza kuvamia Ukraine.ingekuwa hivyo basi wasingefanikiwa hata kidogo.Kwahiyo kuvamia nchi ya mwenzake siyo kosa..???.....you're not normal...!!!
haha kazi ipoUmeshawahi kulazwa kwenye hospital ya Mirembe!?
huyu ni mfata mkumboUnaweza kupinga ushoga kama nchi?
Madini yako?
Haki za binadamu zipoje
ndio na wizi wa mali za watu.Kwamba mashoga marekani na NATO waache kuua?
Acha kujifanya mjuaji wewe hilter kilicho mcosti alikosana na wayaudi wakubwa wa dunia ila huyu Putin kuna wayaudi wapowengi ndio wamemuweka na wanaisapoti Russia kwa technology ili kubalance power ya duniaSio.Libya ila watamtafutia dawa tu.Hiller alisumbua na wali manage.The good things about human being, ukiwa peke yako au peke yenu mnaleta shida solution inatafutwa tu kama wanataka hiyo ndio p
maisha ya duniani
Kwakweli urusi wamefanya uharibifu mkubwa na usio elezeka Ukraine, nabado wanaendelea.Ni kampeni na propaganda ya West kwa ujumla na hasa NATO, EU na USA...yaani Ukraine imebaki magofu kwa sehemu kubwa...halafu more than 6 milions Ukrainians wamekimbia makazi yao na kuwa refugees...halafu miundo mbinu yao inaharibiwa Kila kukicha...military command posts zinabomolewa Kila wakati..Askari wa Ukraine wanakufa kwa maelfu...lakini utasikia Russia imepoteza Askari 23000 ila husikii wa Ukraine wamekufa wangapi....Russia ina huruma Sana kwani ingetaka ingeifanya Kidv kuwa magofu...Russia has spared Kiev at least for the time being but for sure they will come for it...dah...propaganda mbaya Sana yaani watu eti wanasadiki kuwa katika Vita hii Russia ndiyo inayopigwa...duh..
Sema Western na proNato ndio watafuta solutionMgejua yeye ndio anahangaika.Dunia itatafuta solution ingawa inaweza kuchukua muda lakini sio chini ya 9months
nimekupata mkuu aisee russia sio ZimbabweAnha nimekupata sasa...
EMP ni short ya neno Elecro Magnetic Pulse, kwa wengine linajulikana kama TED, Transient Electromagnetic Disturbance, ni aina ya "bomb" lisilo la ki-Nuuclear ambalo liko designed kwa lengo la ku-destroy information system.
Sasa unapozungumzia Information system unazungumzia electronics kwa ujumla wake... So likiwa detonated linaharibu mifumo yote ya mawasiliano. Yani electronics zote zinageuka taka taka.
Wanadai hizi EMP generally attacks solid-state electronics, so kila kitu ambacho kina-functioning with an electronic circuit hakita weza fanya kazi.
Hadi ile electrical grid ambayo ilizungumzwa na aliyeleta hiyo taarifa kule juu would be directly affected na it could take months to repair and get back to normal.
Kuhusu nani anamiliki sijafatilia sana ila Russia analo. Na ndicho kilichokuwa kikielezwa kwenye ile post ya Mathanzua kua badala ya Russia kutumia Nuclear weapons kwa NATO anaweza tumia hilo dhidi yao.
Maisha yaendelee? Kweli Bado watu hamjielewi mpo wakati gani. Yaani urusi iliyopewa kazi ya kulinda amani idondoke hafu maisha yaendelee Safi tu. Kama hajawai kumuona shetani livelive subiri urusi ianguke.Nimesikia the same ,shida sisi tunafikiria dunia imelala sana watu wanatafuta long term solution sisi tunashabikia mabomu na mafuta kupanda hukuntukisema Magufuli ,sijui samiank .Solution ni hii vita kuisha maisha yaendelee na sio kusema sijui Putin mwanaume nk Kama mwanaume aonyeshe mke wake kwanza kwa sababu yeue mwenyewe ameshidwa ku manage familia ndio vita ?Mjinga kabisa