triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
China muda wa kumtuliza Taiwan ndio huu. Wakati ambao US and West wanahangaika na urusi na yeye anawaongezea kibarua. Wamlinde Taiwan au wamlimde Zelensky!Taiwan anatakiwa kutia zake maji.
[emoji630]Beijing has instructed government agencies to conduct "stress testing" using simulations in the event of sanctions similar to those imposed on Russia, The Guardian reports, citing sources.
Hiyo collaboration itakuwa awesome
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app