Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Ndio maana sipendi kujadiliana na mtu ambaye hasomi. Nenda kafungue hiyo document nimekupatia link. Inaeleza kuwa Yes Hitler alitambua kuwa yeye ni muyahudi.so what? aliwaua wayahudi sababu ni wayahudi wenzake? ndio maana niliuliza yeye alijitambua kama Myahudi? naona umeamuwa kuwa kama mtaro, yaani kama maji, chochote unachosikia, you can not reason, you can not question, you can not even keep quite and think, namna kilivyoingia ndio unavyokitoa. sad.
Isijibu vita wakati hujasoma. Huo ni upumbavu.