Wewe Ndugu yangu inaelekea hujui undani wa kinachoendelea kwenye mgogoro huu.....ukijikita kwenye BBC, Aljazeera, Skynews, CNN na Western media hutaweza kupata habari kamili.....jiongeze Ndugu yangu kwa kupata vyanzo vingine pia....
Russia inashikilia Mali za West zenye thamani ya mamilioni ya pesa...zikieemo ndege, viwanda, majengo, mitambo, fedha na kadhalika ....Russia ilijipanga Ndugu yangu kwenye mgogoro huu.....kwenye Vita au operation hii hata asilimia 10 ya jeshi na vifaa vyake haijatumika...Jeshi kubwa la Russia linawasubiri hao NATO watie mguu..
Russia inaongozwa na watu wa Intelligence akiwemo Putin...They are always a step ahead of the West in planning and strategizing...
Nchi zaidi ya 40 zinapambana na nchi moja...fikiria Hilo...The worst is yet to come..WwIII ikianza China ataanza na Taiwan , North Korea ataanza na Ndugu yake South Korea...Hapo ndipo muziki utanoga... UK itakuwa wiped out from the map...hakutakuwa na ligi Tena ya Uingereza😁😂🤣 most of the people in Russia and USA watakuwa keenye bunkers na miji iliyopo chini ya ardhi...If you don't know wenzetu wana miji chini ya ardhi na hasa huko Russia...sisi hapa TZ hatuna hata handaki la kawaida tu...Yale mahandaki yaliyokuwepo Mtaa wa Lumumba Dar Sasa wamejenga jumba na benki ya CRDB tawi la Vijana 😂😂 Vita vya nyuklia vikianza tutaungua kiurahisi😁😂😁 dah......Tanzania my country...we take things for granted...we are no longer security concious as was the case during Nyerere era...duh...