Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
👆Nimependa sana Spirit ya Pro NATO wa humu JF jinsi wanavyojua kupambania wanachokipenda, yaani hata askari wa upande wao akipigwa risasi watasema silaha yenyewe ya kizamani. Kiujumla wana Kipaji kikubwa sana na itokee chama chochote cha siasa kikiwasajili hakika kinashinda uchaguzi Mapema sana. cc@ Jackal, coco reborn, Britanicca, Tsh, CHAMASON-MORISON-SAKHASON, Volatility
Hili lina ukweli ? Au uwezo wenu mzuri wa kujenga hoja (kuliko upande wa pili ) unawabeba ?
Jackal Tsh
Nyamizi
Volatility
britanicca
Mwamaleki
Frank Wanjiru
MK254
Coco reborn