Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
IMG_2861.jpg

IMG_2857.jpg

IMG_2858.jpg

IMG_2859.jpg

IMG_2860.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ghost of Kiev
Jana usiku nikiwa nimetulia nilikua napepesa macho instagram nikakutana na habari kutoka Bibisiii nikaclick comments pale aisee wabongo wamesanuka na propaganda za west.View attachment 2212332
View attachment 2212333
View attachment 2212334
View attachment 2212335
View attachment 2212336

Hapa unaona jinsi hawa watu walivo na hali mbaya sahv wameacha kupost habr za Ukraine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Muda si mrefu umesikika milipuko ya mfululizo huku Russia eneo la Kursk

Hivyo kupelekea kuungua Kwa store nyingine ya zana za kivita za Urusi ,

Inasemekana wanajeshi wa jeshi linalosaidia Upande wa UKRAINE wakiwa wamevalia nguo zisizo za Jeshi la Ukriane wametelekeza mashambulizi hayo!

Camera za cctv baadae zilionesha tulio lilivyoanza halafu na watekelezaji Upande walipo!!!

View attachment 2212662

Britanicca
dampo linachomwa moto we unasema shambulio unahakika gani kama hapo ni russia nyie tim nato mnamatatizo gani,
 
Nadhani tofauti ni kwamba Pro NATO si wazalendo kwa nchi mwanachama wa NATO kama ilivyo kwa pro Putin walivyo wazalendo kwa URUSI.

Pro NATO wachache(kama wapo) hutawakuta wakiihusudu nchi member wa NATO kwa kiwango cha pro Puttin wanavyoihusudu Urusi. Hata kwenye taarifa za vita, pro Putin hawachungulii na kutoka, wanaleta update every minute. Ukiwaondoa pro Putin humu, hii topic itapunguza sana kasi sababu wao ndio wenye uchungu zaidi wa kutafuta taarifa na kuzileta.


Pro puttin ni wazalendo, wana uchungu sana na nchi, Tazama attack zao kwa wenye mtazamo tofauti, huambatana na maneno makali na yanayoashiria uchungu na wengine watatukana kabisa, Pro NATO wenye maneno makali ila mara nyingi wanafanya malipizi au kujibu shambulizi.

Udhaifu ni kwamba uzalendo wa kiwango cha juu huenda sambamba na furaha linapotokea jambo zuri au hasira linapotokea jambo baya, sasa majibu yoyote yanayotoka kinywani mwa mtu mwenye furaha sana au hasira yanaweza kubeba emotions.
Kila upande unaleta habari inayo wafurahisha unapo ona PorNato hawaleti kinacho endelea vitani ujue hakuna habari yeyote nzuri kwa upande wao.

Ukitaka kulijua hilo subiri tikio lolote baya litokee upande wa Russia jf huwa inachafuka.


Mwanzo wa vita kila siku pronato walikuwa wanatujazia mapicha ya maiti ya wanajeshi walio kufa jambo ambalo kimsingi kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya kitu cha kipumbavu kama hicho.
Hata ww habari ya umoja wa Ulaya kuyapiga ban mafuta ya Urusi uliileta haraka sana maana ilikuwa nzuri kwa upande wako.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
The Austrians began to pay for electricity almost one and a half times more than last year.

In March 2022, household electricity prices rose by a record 42.4% compared to March 2021, the country's energy agency said. The reason for this is the rise in fuel prices.

The department noted that Austria depends on 80% of Russian gas.

At the end of April, it was reported that the Austrian OMV was negotiating the terms of payment for gas from the Russian Federation, but so far continues to pay in euros. The company does not rule out opening an account with Gazprombank with conversion into rubles.

20220502_010825.png
 
During the battles for Mariupol, the Ukrainian military did not let residents out of the city, but some of them still managed to leave for safe places.

In the village of Bezymennoye, in the south of the DPR, more than 20 thousand people have found shelter since the beginning of March. This is where refugees get the help they need.

Volunteers of the humanitarian battalion "Angel" take care of the residents who remained in Mariupol.

About the life of the city under the shelling of the Armed Forces of Ukraine - watch our film I'm Alive.
20220502_010825.png
 
[emoji23]

Shida la hawa wenzetu huwa wanaongea kujifurahisha nafsi zao... Wako mbali sana na uhalisia wa mambo yenyewe yalivyo.

Issues za Currencies ni NGUMU mno [emoji847]

Kwa mfano kuna mataifa mengine yana'keep ela yao chini makusudi mfano China... Chinese Yuan iko weaker purposely... Kwasabab weaker Currency ni nzuri for exports and tourists, as everything becomes cheaper to purchase.

Ile pegging iliyofanywa na Russia sio wa kwanza kufanya hivo. Au kwamba ndio peke yao wanafanya hivo. Mataifa mengi tu duniani yame'peg fedha zao either kwa currency za mataifa mengine ama valuable metals ambazo ni stable.

Mfano Most of Caribbean Islands wame'peg fedha zao kwa dollar, Afrika sie nchi nchi nyingi wame'peg fedha zao kwa Euro with exceptions ya Djbout na Eritrea, Middle east vile vile wengi wao wamez'peg kwa Dollar.

Note: hizi currencies ambazo ziko pegged to other currencies zinaitwa fixed currencies. Fixed Currency na Fixed exchange rate ni vitu viwili tofauti.

Na kile anachokizungumzia huyo ProNATO mbobezi ni Fixed exchange rate sio fixed currency. Sawa na kutoa mfano wa mchicha kwa kutumia matembele.

Fixed currencies hizi ambazo ziko pegged kwa kitu au currency nyingine, their value ziko determined bado ndani ya Exchanges through demand and Supply...

Fixed exchange rate ni ile ya kujiamulia sasa mfano kuanzia leo Tsh ni sawa Dollar 10... Hii ndio Fixed exchange rate sio Fixed Currency.

Swali la kizushi... Hapo kenya nchini kwao 1966 Ksh ilikuwa pegged to Euro, 1971 wakahamia kwenye Dollar, miaka mi4 baadae yani 1975 wakahamia kwenye SDR... Special Drawing Right [emoji847][emoji23] (haya mabadiliko yanaonesha jinsi gani hawajui nini wanataka)

Hawakuishia hapo... 1982 wakai'peg ela yao kwa currency tofauti tofauti... Means even Ksh ni Fixed Currency... na Ksh inazidi kuporomoka thamani, wanaeza kutwambia sababu [emoji848].??

Sasa kama mtu hawezi tofautisha walau hizi term mbili tu "Fixed currency" na "Fixed Exchange rate" ajabu anajiita mwana Uchumi mtajadiliana nini sasa...
Bro umetoa elimu kubwa sana asipoelewa na hapo tena basi hakuna cha kuongeza hapo.
 
Georgia refuses to comply with Ukraine's demands for the supply of weapons and the opening of a second front.

This was stated by President Salome Zurabishvili in an interview with Deutsche Welle*.

“Ukrainians are demanding more and more from their partners, not only from Georgia. They used rude words to various partners...

So yes, they want to get arms supplies from Georgia and also open a second front in Georgia. All this is impossible, ”@SputnikGeorgia quotes her.

* Mass media recognized as a foreign agent by decision of the Ministry of Justice of the Russian Federation dated March 28, 2022.

20220502_010825.png
 
The US government is "the biggest propagandist in the history of the world."

This was stated by US Senator Rand Paul at a hearing of the Disinformation Control Council.

According to the Republican, for the past half century, all disagreements in the United States have been "resolved by disputes without arbiter states." The senator said he doesn't want restrictions and Americans aren't so stupid "to need people to talk about what's true."

As an example of fake news from the US authorities, Paul cited the statements of the Bush Jr. administration about the presence of weapons of mass destruction in Iraq and recalled the Iran-Contra scandal over the illegal supply of weapons to militants.

The Disinformation Control Council itself was created by the Biden administration to counter Russia, among other things. Senator Tom Cotton has previously stated that Washington perceives as disinformation all facts that are inconvenient for the head of the United States and the Democratic Party.

20220502_010825.png
 
The US government is "the biggest propagandist in the history of the world."

This was stated by US Senator Rand Paul at a hearing of the Disinformation Control Council.

According to the Republican, for the past half century, all disagreements in the United States have been "resolved by disputes without arbiter states." The senator said he doesn't want restrictions and Americans aren't so stupid "to need people to talk about what's true."

As an example of fake news from the US authorities, Paul cited the statements of the Bush Jr. administration about the presence of weapons of mass destruction in Iraq and recalled the Iran-Contra scandal over the illegal supply of weapons to militants.

The Disinformation Control Council itself was created by the Biden administration to counter Russia, among other things. Senator Tom Cotton has previously stated that Washington perceives as disinformation all facts that are inconvenient for the head of the United States and the Democratic Party.

View attachment 2212848
 
Back
Top Bottom