NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Japan introduces additional sanctions against Russia, freezes the assets of 140 individuals, the Japanese prime minister said.
Kila upande unaleta habari inayo wafurahisha unapo ona PorNato hawaleti kinacho endelea vitani ujue hakuna habari yeyote nzuri kwa upande wao.
Ukitaka kulijua hilo subiri tikio lolote baya litokee upande wa Russia jf huwa inachafuka.
Mwanzo wa vita kila siku pronato walikuwa wanatujazia mapicha ya maiti ya wanajeshi walio kufa jambo ambalo kimsingi kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya kitu cha kipumbavu kama hicho.
Hata ww habari ya umoja wa Ulaya kuyapiga ban mafuta ya Urusi uliileta haraka sana maana ilikuwa nzuri kwa upande wako.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Yaan hapo ndo wanafel kwani hawana ndugu huko urusi wa kuwasaidi kuichomaWanapigwa Wametulia
Huu ni uvivu WA kuchambua mambo jaribu kujibu hojaMatako!!
The EU is not currently discussing the issue of stopping gas purchases from Russia, Borrell said.
According to him, there are entire sectors of the petrochemical industry in Europe that cannot work without gas.
View attachment 2212858
Maeneo yote yanayoungua ni Moto WA kutengeneza sio mabomu ya kurushwa hapo ni zaidi ya ugaidi, Russia itaendelea kupata shida hizi za kuunguliwa na sehemu zao muhimuuo moto mbona kama sio wa bomu au kombora kushambulia,unaonekana ni moto kama moto tu wa kawaida!