Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tukisoma historia kabisa ya kuhusu Israel.
Ngoja niweze declare interest. MIMI NI MKRISTO.

Asili ya Ibrahim ni nchi za Mesopotamia. Ambayo kwa sasa ni part ya Iraq, Iran nk. Kwanza hapa tunaona kabisa Waisrael kwenye DNA zao wanauhusiano na Waajemi.

Ukisoma zaidi utakuta mtoto wa Ibrahim alioa mwanamke kutoka Mesopotamia.
Isac alizaa mapacha mwanzilishi wa jina la Israel ambaye ni Jacob. Alikimbia na akaenda kwa mjomba wake Laban huko huko uajem akaenda kuoa wake wawili wa kabila lake.

Hapo tumeona kabisa uhusiano wa Iran na Israel kuwa ni wa damu. Tunatakiwa kujua Waisrael siyo waarab.

Wakati wa Roman empire Waisrael wengi walielekea kaskazini na kwenda kukutana Rus. Kwahiyo huko wamekaa sana.

Kuna immigrants wengi sana kutoka Russia kwenda USA na asilimia kubwa ni Waisrael. Mmoja wa waanzilishi wa Google ni mrussia.

Tukiendelea kuchimba tunaweza kuziunganisha dots tukajua which is which.

Offcourse hata mimi nimejaribu kufuatilia DNA yangu nimejikuta ni Muajemi wa Kiafrika, ninauhusiano na Israel. 10% ya DNA imesema mimi ni Muisrael. 50% ni Muafrica, 4% Mturuki nk.
Nakubriana na wewe 100% Hao wengi wanaojiita Wana wa Israel siyo kweli wengi wao siyo wayaudi bali ni Watu kutoka Rusia.
 
Unasema silaha kwa sababu majaribio ya silaha huwa yanatangazwa kwenye vyombo vya habari, alafu Iran bajeti yake ya kijeshi Sio kubwa kihivyo.
Taifa linalo tumia pesa nyingi kutengeneza silaha kwenye eneo la mashariki ya kati ni Israel.

Iran ndio taifa la kwanza kwa nguvu za kiviwanda kwenye eneo la mashariki ya kati ikifuatiwa na Israel.
Sema bidhaa zake nyingi anaziuza mashariki ya kati,Ulaya mashariki,na kaskazini mwa asia,bidhaa za Iran zinazo kuja Africa ni chache sana na nyingi huwa zinaenda Africa ya magharibi kwa hiyo sio rahisi kuzijua.

Iran ukiangalia takwimu za mwaka 2021 imeuza bidhaa za viwandani zenye thamani ya billion 60$ duniani.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Duuh mi napataga habari za Bavar, ma ballistic missiles basi 😂 najuaga wajuba wao ni misilaha tu
 
Habari zilizo pop up lisaa limoja lililopita, zinasema mapambano ndani ya Ukranian steel mill bado yanaendelea na ni makali sana.
Kamanda wa kikosi cha Ukrain kinachopambana ma wanajeshi wa Russia amesema wameapa kuwa hawata jisalimisha bali watapambana hadi mwisho.

Kamanda huyo, yaani Denys Prokopenko, alimpigia simu mke wake na kumueleza kuwa wao hawatajisalimisha , wataendelea kupambana hadi mwisho ingawa wanachotarajia zaidi ni miujiza. Hii ni kulingana na maelezo ya Kiev independent,

Mapambano hayo yanapiganwa kwenye underground tunnels za kuingilia ndani ya kiwanda. Ambayo yanefanyiwa marekebisho mara kadhaa tokea kiwanda kiwe chini ya ukraine baada ya USSR kuvunjika.

Tuwaze pamoja , leo ni tarehe 6, then Tarehe 9 ni Jumatatu ambapo Russia wanatarajia kutangaza victory day, ambayo kwa Putin haitakamilika bila kuikamata Mariupol kwa 100% na hasa eneo hilo la Azvostal plant.

Wakati wachambuzi muhimu , jana walisema hawadhani kama wataweza kufika siku ya leo, inavyoonekana Defenders hawa wa Ukraine mipango yao ni kupambana kwa nguvu zote hadi siku Jumatatu na Jumanne ili kuhakikisha wamatibua furaha na mipango yote ya Putin.

Sasa hivi the only supplies kutoka nje ya plant wanazokuwa wanazitegemea ni zile za Russians soldiers wanaokuwa wamefanikiwa kuwaua.

Hivyo basi wengi wanaotegemea kwamba Jumatatu itakuwa siku ya Furaha Kwa Urusi itakuwa tofauti..

Ukipata taarifa Mkere Mrusi wa Bonyokwa

Britanicca, Saratov, Russia
Inafaa Putin aende mwenyewe binafsi kuongoza mapambano huko Mariupol ili kumaliza hii operation kwa haraka.
britanicca Nyamizi Maghayo Frank Wanjiru Coco reborn Tsh Root T14 Armata
 
[emoji23][emoji23] doh,wewe unapata taabu sana kuliko hata waliopo pale Kremlin
Naskia Urusi anavyotembeza kichapo hamlali kwa maumivu[emoji23], ila usjali Urusi anafanya operations hii ili kuwaondoa magaidi mpakani mwake so usiumie sana
 
Ha ha ha [emoji23]

Juzi juzi hapa walikuwa wanaazimisha Quds Day, kuna kauli nyingi zimetolewa sana hiyo siku na Viongozi wao juu ya Brutality ya Israel...

Israel anautumia huu mwanya ambapo Dunia imeelekeza macho na Masikio yao Ukraine kuwapiga sana wa'Palestine...

Na hizi mambo ngum sana kueleweka... ISRAEL anaungana na US akishinikiza IRAN apigwe marufuku matumizi ya Nuclear kwasabab anazodai ni za kiusalama kwake, huku Russia akifanya biashara na IRAN na wanamikataba yao ya Nuclear ambayo wanailinda kwa nguvu zote.

Then rudi tena nyuma.
US rafiki wa Israel
US adui wa Russia
Israel rafiki wa Russia
Israel adui wa Iran
Iran rafiki wa Russia [emoji847]

Derive conclusion hapo [emoji21]

Mkuu upo sahihi lakini ukichimba sana utakuta wengi wana mahusiano na US kinafiki yote sababu ya maslahi tu.

Mataifa yenye mahusiano na US ukiangalia kwa undani utaona ni unafiki tu wengi wanaogopa vikwazo hii ndo sababu. Juzi kati hapa mfalme wa Saudia alikua anagomea simu za biden.

US anatumia sanctions kma fimbo ya kuchapia endapo utashindwa kwenda nae sawa, itafika muda vikwazo haitakua fimbo tena kwa US mfano mzr tumeona Russia mpaka Zimbabwe anataka kwenda Russia kuchukua somo[emoji28].

Russia atakomboa nchi nyingi ambazo zipo kwenye pressure ya US kwa uoga wa vikwazo Russia mpaka sasa kaonyesha njia, tulichojifunza mpaka sasa mataifa yameanza tumia pesa zao kwenye mauzo ya bidhaa zao mfano tumeona Russia kaswitch ruble, Saudia ameingia mkataba na china wa kutumia yuan, India nae tumeona anatumia Ruppee.

Marekani hana ushawishi Asia wanamuunga mkono kinafiki kabisaaa kwa ajili ya maslahi ya uchumi wao. Kuna article moja niliisoma online inasema US yuko kwenye mpango wa muda mrefu kuipeleka dunia kwenye NWO na anatumia sanctions kwa mataifa ambayo hayakubalian nae au vita kabisa ili kutimiza lengo lake tumeona Libya, Iran, nchi nyingi zinapewa vikwazo bila sababu mfano turkey sahv Russia.

Tunakoenda sanctions haitakua fimbo tena hapa mpaka Africa tutaivimbia US.
 
Inafaa Putin aende mwenyewe binafsi kuongoza mapambano huko Mariupol ili kumaliza hii operation kwa haraka.
britanicca Nyamizi Maghayo Frank Wanjiru Coco reborn Tsh Root T14 Armata
download (19).jpeg
download (18).jpeg
 
Kadiri mnavyobinuka makalio kwa kufurahia hii vita fanyeni hivo hivo EWURA anapokuaja na bei mpya za mafuta.
Haya mjukuu wa Lenin kutoka kasulu tuambie, hizo silaha wanaziteka kwa kutumia manati au kombeo? Maana umesema hawa supplies Na silaha ni mojawapo
 
Back
Top Bottom