Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Labda tuwaulize waliom-train [emoji23] ila jamaa ni Sniper na sura yake ya ki...Na haya Makengeza amekuaje Sniper huyu [emoji848]

Taifa la Israel liliundwa na Russia.Okey, Ni ngumu kwa Isreal kwenda against Russia and still ni nadra kumuona Israel akiwa against USA ila ikitokea Israel akamsapoti NATO kutatokea conflict of interest kwa christians who support Russia na huu uzi utavutia sana kuutembelea na kusoma hoja za watu humu. Esp pale ukiwa na uchovu wa kazi 😃😃
Sijakataa, na naelewa ni muhimu kiasi gani Israel akibaki neutral sababu akichukua upande it will be FUN kusoma hoja humu ndani za christians.Taifa la Israel liliundwa na Russia.
Na mtu wa kwanza kabisa baada ya Israel kujitenga na Palestine kuitambua kwenye UN was Russia.
Nakuongezea na hii.
Putin said: "Israel is, in fact, a special state to us. It is practically a Russian-speaking country. Israel is one of the few foreign countries that can be called Russian-speaking. It's apparent that more than half of the population speaks Russian".Putin additionally said that Israel could be considered part of the Russian cultural world, and contended that "songs which are considered to be national Israeli songs in Israel are in fact Russian national songs". He further stated that he regarded Russian-speaking Israeli citizens as his compatriots and part of the 'Russian world'.
[emoji23]Taifa la Israel liliundwa na Russia.

Acha akutane na Kadyrov aeleze kazi ya nywele za kwapa kwenye mwili wa binadamuSiku huyo mrembo akikamatwa atasema yeye alikua Ni mpishi tu.
Mr Wali 😂 Nadhani alikutana na Chechens Innalillah wainna ilayh rajunKuna yule wa canada sijui alipotelea wapi.
Huyu sura tu ina walakini. Wale wajomba wa Taliban wanaweza kuomba special Operation kwa huyu msela peke yake 😂Labda tuwaulize waliom-train [emoji23] ila jamaa ni Sniper na sura yake ya ki...
😂😂😂😂😂😂Nimependa sana Spirit ya Pro NATO wa humu JF jinsi wanavyojua kupambania wanachokipenda, yaani hata askari wa upande wao akipigwa risasi watasema silaha yenyewe ya kizamani. Kiujumla wana Kipaji kikubwa sana na itokee chama chochote cha siasa kikiwasajili hakika kinashinda uchaguzi Mapema sana. cc@ Jackal, coco reborn, Britanicca, Tsh, CHAMASON-MORISON-SAKHASON, Volatility
Tutaleta mjadala wa Iron dome vs Bavar 373 😂😂 Uone sarakasi humo utasikia malaika Gabriel ndio Operator wa Iron Dome[emoji23]
Ila hawa viumbe huwa tunawashibikia tu siku ziende bt ukizubaa unaweza kujikuta unarithishwa chuki huku ukweli wakiujua wao. Kumwamini mwanasiasa yahitaji courage ya maana.
Sasa em nambie mazingira haya.
Jews ni rafiki wa kufa kufaana na US, kwa maelezo yako hapa yanadai Israel na Russia ni marafiki wa kufaana sana. Lakini US na Russia ni maadui.
Now Russia anapigana na Ukraine akidai anafanya denazification nchini humo, Jews wana historia mbaya na hawa Nazis kama vitabu vinavyodai, ila ajab kuna mercenaries kutoka Israel lukuki ndani ya Ukraine wakiwa pamoja na hawa Nazis wakifight agaisnt Russia Armed Forces.
Na sio hilo tu kuna Nazis mmoja sema picha yake imefutika alikuwa Israel aki'perfom ibada kwenye ule ukuta wanaofanyia Israel Ibada.
Irani wana mahusiano mazuri na Russia, na wako katika hali mbovu kimahusiano na Israel na nduguye US. Then Russia ni Rafiki wa Israel [emoji23][emoji23]
Sio siri ukichora Set chini ukaanza kumueka mmoja baada ya mwingine kuna Intersection utaziona na unaweza kujikuta ukijisemea tu tunachezewa mchezo wa kijinga sana ila hawa wanajuana.
[emoji23][emoji23][emoji23] Humtakii mema weye... Asisahau tu kupost akifanikiwa kutoka uko kuzimHuyu sura tu ina walakini. Wale wajomba wa Taliban wanaweza kuomba special Operation kwa huyu msela peke yake [emoji23]
Tukisoma historia kabisa ya kuhusu Israel.[emoji23]
Ila hawa viumbe huwa tunawashibikia tu siku ziende bt ukizubaa unaweza kujikuta unarithishwa chuki huku ukweli wakiujua wao. Kumwamini mwanasiasa yahitaji courage ya maana.
Sasa em nambie mazingira haya.
Jews ni rafiki wa kufa kufaana na US, kwa maelezo yako hapa yanadai Israel na Russia ni marafiki wa kufaana sana. Lakini US na Russia ni maadui.
Now Russia anapigana na Ukraine akidai anafanya denazification nchini humo, Jews wana historia mbaya na hawa Nazis kama vitabu vinavyodai, ila ajab kuna mercenaries kutoka Israel lukuki ndani ya Ukraine wakiwa pamoja na hawa Nazis wakifight agaisnt Russia Armed Forces.
Na sio hilo tu kuna Nazis mmoja sema picha yake imefutika alikuwa Israel aki'perfom ibada kwenye ule ukuta wanaofanyia Israel Ibada.
Irani wana mahusiano mazuri na Russia, na wako katika hali mbovu kimahusiano na Israel na nduguye US. Then Russia ni Rafiki wa Israel [emoji23][emoji23]
Sio siri ukichora Set chini ukaanza kumueka mmoja baada ya mwingine kuna Intersection utaziona na unaweza kujikuta ukijisemea tu tunachezewa mchezo wa kijinga sana ila hawa wanajuana.
Kwa kuongezea. Wakati Rus's wanajitanua walikuja kukutana na Mongols ambao walikuja wakaitawala mpaka Moscow. But tunatakiwa kuwajua who are Rus!?[emoji23]
Ila hawa viumbe huwa tunawashibikia tu siku ziende bt ukizubaa unaweza kujikuta unarithishwa chuki huku ukweli wakiujua wao. Kumwamini mwanasiasa yahitaji courage ya maana.
Sasa em nambie mazingira haya.
Jews ni rafiki wa kufa kufaana na US, kwa maelezo yako hapa yanadai Israel na Russia ni marafiki wa kufaana sana. Lakini US na Russia ni maadui.
Now Russia anapigana na Ukraine akidai anafanya denazification nchini humo, Jews wana historia mbaya na hawa Nazis kama vitabu vinavyodai, ila ajab kuna mercenaries kutoka Israel lukuki ndani ya Ukraine wakiwa pamoja na hawa Nazis wakifight agaisnt Russia Armed Forces.
Na sio hilo tu kuna Nazis mmoja sema picha yake imefutika alikuwa Israel aki'perfom ibada kwenye ule ukuta wanaofanyia Israel Ibada.
Irani wana mahusiano mazuri na Russia, na wako katika hali mbovu kimahusiano na Israel na nduguye US. Then Russia ni Rafiki wa Israel [emoji23][emoji23]
Sio siri ukichora Set chini ukaanza kumueka mmoja baada ya mwingine kuna Intersection utaziona na unaweza kujikuta ukijisemea tu tunachezewa mchezo wa kijinga sana ila hawa wanajuana.
Kila la heri kwake 😂 ila kwa usalama wake acancel tu mission yake la sivyo atakuwa kitoweo cha Putin[emoji23][emoji23][emoji23] Humtakii mema weye... Asisahau tu kupost akifanikiwa kutoka uko kuzim
"Thanked Putin great man"🔥🔥🔥The office of the Israeli prime minister said Putin apologized for Lavrov's words, Bennett accepted the apology and thanked Putin great man and statesman for the clarification🔥🔥🔥
Mwanzo nilikuwa nikisikia Iron dome nikawa naifananisha na Movie flan hivi inaitwa Under the Dome Ka ulishawahi kuiona... nikawa nawaza waliwezaje kutengeneza dude ka hilo.Tutaleta mjadala wa Iron dome vs Bavar 373 [emoji23][emoji23] Uone sarakasi humo utasikia malaika Gabriel ndio Operator wa Iron Dome
Habari hii aione Frank Wanjiru, muumini wa Juvelin.@Frank Wanjiru“Javelin and NLAW, which were very heavily advertised, turned out to be not so [good] in practice. There were misfires, one of the four shoots "
A Ukrainian military man who surrendered said that the “vaunted” grenade launchers and ATGMs from the United States and Europe turned out to be incapable of combat:
“There are non-explosions, or [shells] exploded at 50 meters, not reaching the target. The batteries were expired... Most of the batches - years were given - they were past their expiration dates.
According to the prisoner, Western "partners" quickly explained how to use ATGMs, and in practical exercises no one even paid attention to misfires.View attachment 2212886