Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Hii inachanganya sana.Mimi kinachonichaganya zaidi ni hao mamluki wa kiizraeli kuungana na hao Nazism....haya mambo yanachanganya sana.
Hii inachanganya sana.Mimi kinachonichaganya zaidi ni hao mamluki wa kiizraeli kuungana na hao Nazism....haya mambo yanachanganya sana.
Kaka jaribu kuelewa unachosoma. Si tangazo la Marekani, ni tangazo la wizara ya Urusi na taarifa juu yake katika gazeti la marekani.Marekani yasikitika kutangaza vifo vya wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 600 waliouawa leo kwa mizinga ya majeshi ya Russia
View attachment 2212927
Ihamishwe katika lugha ya Kiswahili kwanza.Habari hii aione Frank Wanjiru, muumini wa Juvelin.@Frank Wanjiru
Usichanganywe. Hakuna Nazism. Usiamini propaganda tupu. Huko Urusi "Nazi / fashisti" ni matusi ya kawaida tu ambao wanapenda kumwaga popote.Mimi kinachonichaganya zaidi ni hao mamluki wa kiizraeli kuungana na hao Nazism....haya mambo yanachanganya sana.
Kumbe vifaru mamia vilivyoharibika wameua kwa upinde na mishale? Au kwa nyundo? Au vilijiharibu vyenyewe kama Javelin hazina faida?“Javelin and NLAW, which were very heavily advertised, turned out to be not so [good] in practice. There were misfires, one of the four shoots "
A Ukrainian military man who surrendered said that the “vaunted” grenade launchers and ATGMs from the United States and Europe turned out to be incapable of combat:
“There are non-explosions, or [shells] exploded at 50 meters, not reaching the target. The batteries were expired... Most of the batches - years were given - they were past their expiration dates.
According to the prisoner, Western "partners" quickly explained how to use ATGMs, and in practical exercises no one even paid attention to misfires.
Yanachanganya mno tena mno...Mimi kinachonichaganya zaidi ni hao mamluki wa kiizraeli kuungana na hao Nazism....haya mambo yanachanganya sana.
Mbona Iran inatengeneza bidhaa nyingi tu?Iran kama asingekuwa na Vikwazo na akili zao wangezitumia kuunda vitu vingine tofauti na silaha tu wangekuwa mbali sana.
Yule mwakilishi wao jina limenitoka ila nilisikia pia hizo habari. Nashindwa kuelewa Russia itakuwa upande gani kati yao [emoji23] maana wote ana uhusiano nao mzuri. Ila kuna unafki mwingi sana kwenye mataifa haya
Isikuchanye mkuu,ngoja nikutegulie kitendawili.Kama ungekuwa mfutiliaji wa mada zangu,ungelielewa hili.Mimi kinachonichaganya zaidi ni hao mamluki wa kiizraeli kuungana na hao Nazism....haya mambo yanachanganya sana.
Uteule wa Nyokwe 😁 In Hassan Nasrallah voice (Hizbullah Leader)Haaa Rusia ikiwa taifa teule nahama JF .Taifa teule moja tu Israel
Lakini wamewekeza zaidi katika silaha
Wakati wa kuwaonea huruma hao jamaa ulishapita mkongwe, kwasasa acha tu waendelee kulambishwa asali.Kwa kweli nimeingiwa na huruma sana kwa Hali hii.
Lawamazangu zote kw USA.
Zelensky anatumika TU bila kujua.
Waukraine hawana la kufanya.
Urusi ana haki ya kujilinda amevumilia sana.
Yah! Inatakiwa sisi waafrika tuwe independent. Hii migogoro inawafaidisha wao tu. Huku africa ikiachwa nyuma kitamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia. Tumebaki kuwa wasikikizaji hatutaki kufanya mambo kama sisi.Yanachanganya mno tena mno...
Hii taarifa ya leo
Israel considers ‘nonlethal military aid’ to Ukraine amid soaring tensions with Russia: Report
[emoji843]Israel is considering expanding its military aid to Ukraine from “helmets and bulletproof vests” to “nonlethal military equipment” following a request made by the Biden administration, a report said, as tensions between Moscow and Tel Aviv soar over the conflict.
Hapa ikumbukwe ni jana tu wametangaza kua Putin kaomba radhi kauli ya Lavrov aliyoitoa kuhusu Hitler kua Jews...
Jesus Mlokozi umeona sasa kile nilichokua nakwambia [emoji23][emoji23][emoji23] Hawa viumbe huwa nawashabikia tu ingawa kuna mda huwa siwaelewi kabisa Issue zao wanavyozipeleka.
Hapana si kweli, sema hizi nchi ambazo zipo under sanctions bidhaa zao mara chache sana kuzikuta nje ya mipaka yao.Lakini wamewekeza zaidi katika silaha
Mkuu wewe ni illiterate flani tu usiyejua mambo ya Marekani kama sie wengine. Wacha Ujuaji.This is common sense.Mtu mwenye akili ana-foresee,mjinga hawezi.It seems kwa hiyo wewe ni mjinga,because you do not see that possibility.
Nina wasisi zele anauza hii nchi kiujanja ujanja, haingii akilini thamani ya watu wanapotea alafu rais huna uchungu nao unawaza hela za mikopo,Zelensky[emoji95] Ukraine needs up to $7 billion a month to cover the state budget deficit. $600 billion is needed to restore everything destroyed.
Zele kilevi anachotumia sijui ni cha aina gani ase... He should have thought of that when He had discussions with Russi mwezi december, the most expensive soon inaenda kua landlocked country.
Na utajua a country is about to collapse when you see its leader begging for a stupid amount of money. $600Bln ni mara 4 zaidi ya GDP yao before hili zaga zaga halijaanza...