Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine unapata support za kutosha kutoka Kwa nchi zote za NATO kuanzia ujajusi,silaha,mafunzo ya kijeshi pamoja na wapiganaji wazoefu..
Tutegemee vita hii kuendelea Kwa muda mrefu zaidi hii Ngoma bado mbichi na Russia ataendelea kupata shida pia
Kuna mtego wamewekewa sehemu subiri
 
Kumbe wako poa kabisa.Hivi ni nini kinawafanya Warusi wabaki kule juu,si wawafuate kule ndani wakamalize kazi ili May 9 tusherehekee vizuri [emoji846]
Sasa angalia ushauri wako, ulifkiri ni bongo movie yaani nakuambia tena utakufa kwa stress kama wenzako huko [emoji23]

Wenzako wanachezea kichapo huko ww unakuja na ngonjera jf[emoji16]

[emoji116]
Anaenda kuwaokoa wenzake waliokwama huyo [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
20220505_143309.jpg
 
Ili ushindi usheherekewe siku hiyo Putin anaweza kutoa agizo la kusisimua Sana la kusambaratisha kiwanda hicho. Yetu macho lakini Putin akiwa na Jambo lake lazima litimie.
Hawezi kupiga nyuklia, sababu kuna Askari wake pale
 

Moskva sinking: US gave intelligence that helped Ukraine sink Russian cruiser - reports​

USA wamekanusha, je Urusi atapotezea?
 
Ila najiuliza inamaana tangu waingie huko simu zao haziishi charge!!? Na kama huko ndani kuna umeme inamaana walikuwa na charge zao. Maana naona wanajirikodi na hata kamanda wao anajirusha selfie
Sasa kiwanda kitakosaje umeme mkuu?

Alafu ukisikia kiwanda usidhani ni kama kiwanda cha Mo au Bagharesa hicho ni kiwanda kina ukubwa wa kirometa za mraba 15 ambazo ukibwa wake ni sawa na mji wa kahama.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom