Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wapigwe
Wapigwe
Binafsi huwa nashangaa kwamba Ndugu zetu wa Aina hii huwa wanapata wapi ujasiri wa kumkashifu, kumkejeli, kumdhalilisha na kumtukana kiongozi wetu mkuu wa nchi?!?! Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, mkuu wa dola, kiongozi mkuu wa serikali na Commander in Chief of our armed forces...Huya anania ya kutufungia huu uzi wetu wala hana kingine.uwezi ukamuongelea vibaya kiongozi wa nchi unayoishi.nitashangaa sana kama hatopigwa ban jamii forrum maana hii sio sawa kabisa
vita ilianzishwa na Nato? unajua hii vita ingekuwa imeisha ndani ya zile siku tano alizosema jamaa, huu uzi ungekuwa umefungwa?
Kuna demu nimemla mwezi wa 3 anaitwa katunge atakuwa ndio huyohuyo wakwako nimekuchapia.Mkuu nifundishe Kutag watu niwe namtag dear KATUNGE wangu
Huwa nashangaa mtu mmoja yupo Chato ndani ndani kujifanya anaijua Marekani zaidi.Hao ujue ni Wamarekani,sio Ukranians.We know that US forces are already in Ukraine.The Empire of lies must stop lying to the World.Hapo ujue wanatafuta sympathy ya Wamarekani for their stupid, imbecile and lunatic actions
Usipangie watu bhana.Huwa nashangaa mtu mmoja yupo Chato ndani ndani kujifanya anaijua Marekani zaidi.
SijuiUpo sahihi katika kuleta habari inayofurahisha ingawa:
Pro Nato hawaleti kila habari sio kwa sababu hazipo ila ni kwa sababu wengi nafikiri hawazitafuti maana pro Putin wenyewe wanakubali kuwa West ni wazuri kwa propaganda hivyo kama pro Nato wangetaka zijae humu, naamini zingejaa. Au wewe unakataa kuwa West sio wazuri kwa propaganda? [emoji3]
Wanavamia kunapotokea habari moja ambayo ni kubwa kwa sababu ile habari huwa inawatafuta na inawafikia kama tukio muhimu hivyo wanajikuta wote wapo wakizungumzia na kushabikia jambo moja huku wakiwa wameacha matukio madogo madogo na propaganda za vita kibao ambazo hawajazitafuta sababu ya kukosa kwao uzalendo kwa nchi wanachama wa NATO.
Habari yangu ya mafuta sikuitafuta, ilinatafuta nikiwa na mambo yangu mengine ndipo nikaona kisha nikaiweka humu. Tena ni ya Milard Ayo, nipo natumia simu kwa mambo mengine sina hata habari na nn kinaendelea Ukraine, mara paap unakutana na ujumbe kuhusu mafuta inayohusu huu uzi. Obvious kama ulivyokiri kuwa tunaleta habari zinazotufurahisha basi nikafikiria kuileta humu pale nilipopata muda wa kufanya hivyo.
Anyways, Je:
Unakataa kwamba Pro Puttin si wazalendo kwa Urusi kuliko Pro Nato walivyo wazalendo kwa nchi member wa Nato?
Huyu Ni Lesbian.Wanakanyagana huko
View attachment 2213141
[emoji779]️Biden announces Karine Jean-Pierre to replace Psaki as White House press secretary on May 13
Hahaha, okeySijui
hayo matukio nahisi Urusi anajishambulia ili kupata majority mercy ya warusi , sababu hao watu wanapitia wap na wanarudije Ukraine ?Haisaidii chochote...yaani jirani yako kavamia kwako, yuko ndani ya eneo lako...anafanya anavyotaka halafu wewe unatoka unaenda kupiga nyumba yake jiwe...badala ya kumface kwanza mwenyewe, mtoe ndani ya eneo lako then msukume nyuma hadi sebuleni kwake...
Very correct US sio nchi ya kuishi na huu ndo ukweli..unaakili sana wengi hawatakubaliana na ww
Halafu mkumbushe kipindi US anamvamia Iraq na Libya alisaidiwa na vibaraka wake Wa EU lakini jasho la kwapa liliwatoka but mwanaume Puttin yupo peke akekama vile week tu Super Power US alivyochukua LIBYA na IRAQ
Ukiona mwenzako ananyolewa na wewe tia maji..
Mkionyeshwa mguu mta taka aonyeshe na tako, habari unachakachua hata wewe?habari iliyotolewa ni kwambajamaa alijeruhiwa mguu akawachukuliwa kurudi rusia kwa helcopter ya kijeshi kwa matibabu, na ikasema kabisa majeraha hayakuwa makubwa.
kukanusha habari hii kwa umakini jamaa anatakiwa kutuonyesha miguu yake.
sawa?
Tukiwaambia waukraine magaidi, pro-Nato wanabisha,The demands of the Ukrainian military at Azovstal in Mariupol to exchange civilians for food and medicine are similar to the actions of terrorists in Syria, Peskov said.
View attachment 2212869