Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuliaminishwa kwamba Wazungu wanatuzidi kwa kiakili na ujanja,lakini kwa haya wanayofanya kwa sasa,ni zero kabisa.Nadhani mavyakula yenye sumu nk.nk. yame-waathiri sana,Very sad.The Russians are very smart.
Na binafs naona ni hawa viongozi tu ndio wapo kama "bots"... Wana adhere kwa kila command kutoka kwa "Master" wao... (Japo huu mtazamo wa Clown na Master [emoji847] kwa wengine ni just "Conspiracy" Hawakubalian nalo...)

Nasema ni kwa baadhi ya Viongozi hasa wenye mamlaka na baadhi ya Raia, kwingineko hawakubaliani kabisa na huo utopolo wao mfano wa haraka haraka ni yule dada wa Ireland uliyempost majuzi kati akizungumza ndani ya bunge la EU...

Na wengine kama huyu akireply kuhusu alichozungumza yule Senator Paul
Screenshot_20220505-200651-01.jpg
 
Marekani yasikitika kutangaza vifo vya wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 600 waliouawa leo kwa mizinga ya majeshi ya Russia

View attachment 2212927
Hao ujue ni Wamarekani,sio Ukranians.We know that US forces are already in Ukraine.The Empire of lies must stop lying to the World.Hapo ujue wanatafuta sympathy ya Wamarekani for their stupid, imbecile and lunatic actions
 
Ruble yaendelea kumvuruga na kumchanganya Biden pamoja na shoga zake...

Ruble yazidi kuonesha maajabu kwa kufikia thamani ya 1 USD = 65 Ruble pamoja na vikwazo kedekede vya mabepari ya kimagharibi dhidi ya Russia

View attachment 2212931
Na itazidi kupanda thamani kwa kuwa sio Fiat Money.Ni mjinga tu atakayefanya biashara na Fiat Money kama US$,€ nk.
 
Kuna uwezekano mkubwa wakakuta huko ndani hakuna tena cha Askari wala Mercenaries NI PEUPE PEEE. Haaahaaahaaah!!! Russia, Russia, Russia kweli ni nyie mnafanya Operation ya kienyeji hivi na Intelligence ya kama mgambo wa jiji
Hapo Urusi atakuwa amefanikiwa kwa asilimia zaidi ya mia, maana lengo lake ni kusafisha uchafu wote unaoitetea Maurpolo..hapo hakuna tofauti na kujisalimisha.
 
Na binafs naona ni hawa viongozi tu ndio wapo kama "bots"... Wana adhere kwa kila command kutoka kwa "Master" wao... (Japo huu mtazamo wa Clown na Master [emoji847] kwa wengine ni just "Conspiracy" Hawakubalian nalo...)

Nasema ni kwa baadhi ya Viongozi hasa wenye mamlaka na baadhi ya Raia, kwingineko hawakubaliani kabisa na huo utopolo wao mfano wa haraka haraka ni yule dada wa Ireland uliyempost majuzi kati akizungumza ndani ya bunge la EU...

Na wengine kama huyu akireply kuhusu alichozungumza yule Senator Paul View attachment 2212936
Yeah ni kweli wapo ambao ni smart,lakini wengi naona mind control techniques wanazotumia NWO kuwa-contain zimewaathiri sana,especially Americans.
 
Vip hiyo habari ingekuwa mbaya kwa upande wako unge ipost?

Ndio maana nimekwambia ya kwamba kila upande unaleta habari inayo wafurahisha kwa hiyo hakuna tofauti kati yao.

Pronato wengi ni watoa kejeri na matusi badala ya hoja sema ww huwezi kuwaona kwa sababu mpo upande mmoja hata ww hapo kwa hiyo koment yako imejaa kejeri dhidi ya proRussia ila unatumia mafumbo.

Na wanao ongoza kufungua nyuzi za hii vita ni pronato.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Aisee polee ndg yangu umechoka sanaa.
Yaani natamanigi ni mmblock ila naacha tuu nisomesome mashudu yake coz anajikutaga n wale wazee wa busara ila akifungua mdomo utatamani kukimbia.
 
Hizo mbao idea ni ileile. Na mara nyingi ziliwekwa kwenye magari hasa ya mizigo upande wa madereva na mbele. Gari ukiliongezea mavyuma unapunguza kutembea na hayo magogo walikuwa wanayaweka madereva wenyewe sio order kutoka juu. Zile ni desperate attempts
of course na desperate instructions za shoigu.
 
Vip hiyo habari ingekuwa mbaya kwa upande wako unge ipost?

Ndio maana nimekwambia ya kwamba kila upande unaleta habari inayo wafurahisha kwa hiyo hakuna tofauti kati yao.

Pronato wengi ni watoa kejeri na matusi badala ya hoja sema ww huwezi kuwaona kwa sababu mpo upande mmoja hata ww hapo kwa hiyo koment yako imejaa kejeri dhidi ya proRussia ila unatumia mafumbo.

Na wanao ongoza kufungua nyuzi za hii vita ni pronato.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
vita ilianzishwa na Nato? unajua hii vita ingekuwa imeisha ndani ya zile siku tano alizosema jamaa, huu uzi ungekuwa umefungwa?
 
Mbona umeandika kinyume chake maana natizama aljazeera hapa naona hiyo sehemu uliyotaja Russia kashusha mvua ya mabomu pamoja na kwenye hicho kiwanda cha chuma
 
IMG_20220505_210839_086~2.jpg


🇷🇺 #Russia


Su-57s and S-70 Bomber-drones are photographed by satellite at an unknown Russian airbase near the front line.


Interesting as we have not seen Russia’s state of the art 5th generation stealth fighter used during this conflict. They could be being prepared for the May 9th victory day parades, or, the lethality of Russian aerial platforms may be about to increase.


🥭 @mangopress
 
Putin apologises for foreign minister’s Hitler remarks
Russian President Vladimir Putin has apologised for his foreign minister’s comments claiming that Adolf Hitler had Jewish origins, Israeli Prime Minister Naftali Bennett said.
 
🇬🇧🇺🇦 Briefing of the Russian Ministry of Defense (05.05.2022)

◽️ The Armed Forces of the Russian Federation continue a special military operation in Ukraine.

💥 High-precision air-based missiles of the Russian Aerospace Forces hit the command post of the 24th separate mechanized brigade of the Armed Forces of Ukraine near the village of Loskutovka, two nationalist ammunition depots in the Seversk region, as well as 28 areas of concentration of manpower and military equipment.

💥 Operational-tactical and army aviation of the Russian Aerospace Forces hit forty-five military facilities of Ukraine during the day. Among them: two command posts, 41 areas of concentration of manpower and Ukrainian military equipment, as well as a warehouse of rocket and artillery weapons in the Voevodka region of the Luhansk People's Republic.

💥 Missile troops hit an artillery battery at firing positions in the area of the settlement of Zarozhnoye, a battery of multiple rocket launchers "Hurricane" in the Nikolaev region and four areas of concentration of manpower and military equipment.
💥 Artillery units hit 6 command posts, two ammunition depots, 152 strongholds, areas of concentration of manpower and military equipment, as well as 38 artillery units of the Armed Forces of Ukraine in firing positions. Up to 190 personnel, 43 units of weapons and military equipment were destroyed.

💥 During the day, Russian air defense systems shot down three unmanned aerial vehicles: over the settlements of Malaya Kamyshevakha, Kharkiv region, Seversk, Luhansk People's Republic, and also near the Zmeiny Island, the Bayraktar TB-2 unmanned aerial vehicle.

📊 In total, since the beginning of the special military operation, 149 aircraft, 112 helicopters, 729 unmanned aerial vehicles, 288 anti-aircraft missile systems, 2846 tanks and other armored combat vehicles, 327 multiple rocket launchers, 1323 field artillery guns and mortars, as well as 2662 units of special military vehicles.
#Ministry of Defense #Russia #Ukraine @mod_russia
 
Rubble sio free floating currency tena, hata kesho inaeza ikabadilishwa kwa 1 to 1 na dollar,
Wachumi hawawezi shangaa.
Ni uhuni tu wa kusema kwamba forex zi move according to forces za Dd&Ss but in reality Serikali ya USA kupitia WB&IMF sana intervene sana-coz ni mfumo uliowekwa Ku
Hio hoja ni ya kitaalamu kabisa wewe ndo hujaelewa, serikali yeyote inauwezo kubadilisha thamani ya sarafu yake, mfano wa Putin kusema rubble iko pegged kwa gold. Ukifanya hivyo hio sarafu haikui tena " free floating ". Maana ya Free floating currency ni sarafu ambayo thamani yake haija amuliwa na serikali bali limeamuliwa na soko huru.
Ni maneno tu,floating currency inaamuliwa na nguvu ya soko na bado hizo currency zipo lagged na USD ambapo USA ana control hela yake-kuna nguvu ya soko hapo??.

Kimsingi USA ana control fedha za mataifa mengine-kwa mgongo wa market forces.
 
Putin apologises for foreign minister’s Hitler remarks
Russian President Vladimir Putin has apologised for his foreign minister’s comments claiming that Adolf Hitler had Jewish origins, Israeli Prime Minister Naftali Bennett said.
Akili zimeanza kuwajia
 
Back
Top Bottom