Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Isikuchanye mkuu,ngoja nikutegulie kitendawili.Kama ungekuwa mfutiliaji wa mada zangu,ungelielewa hili.

Ni hivii, Israelis sio Jews.Jews ni jina la kitapeli walilojipachika tu the evil Khazarian tribe ambao ndio akina Rothschild, Rockefeller na wengine.Hawa ndio wenye ideologies za Nazism na Zionism.Note that they are also called Ashke-Nazi Jews,from which they derived the ideology Nazism.Jews sio Wairaeli,ni wavamizi Israel,na ndio wanaoitesa Dunia kwa sasa na wanaoitawala Israel.Mind you,Waisrael wenyewe wametengwa kabisa Israel na hawana nafasi na usemi kabisa.

Sasa who is Zelensky,he is a Jew,ndugu na akina Rothschild na Jews wengine or if you wish Khazarians wanaoikalia Israel.Kwa misingi hii,Lavrov aliyosema ni kweli.Zelensky wamem-implant Ukraine ili atengeneze mazingira ya the so called Jews kuweza kurudi na kuikalia tena Ukraine,ambayo ni their original homeland.Walifukuzwa huko miaka mingi sana iliyopita kwa sababu ya uovu wao,uovu ambao hawajaacha mpaka leo,na naweza kusema ndio chanzo cha ugomvi wao na Russia leo.Kwa misingi hiyo naweza kusema Israel pretending to be friendly with Russia is a lie,it is simply impossible.
Ngoja wafia dini wale akina libalikiwe taifa la Israel. lakini ukweli umeusema. Natamani ufungue topic ili watu wajue utapeli wa watu hawa wanaojidai wana wa Israel
 
Lengo la Putin, kuimega Ukraine.

Lengo la Ukraine, kumkera Putin.

Ngoja tuone nani anaumia!
Anaumia ni yule aliyeanzisha huu mgogora kwa kujitakia mwenyewe,matokeo yake anawatoa kafara watoto wa Warussi wenzie wakati wa kwake wanakula bata kwa Mabeberu huko
 
Yah! Inatakiwa sisi waafrika tuwe independent. Hii migogoro inawafaidisha wao tu. Huku africa ikiachwa nyuma kitamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia. Tumebaki kuwa wasikikizaji hatutaki kufanya mambo kama sisi.

Uwezo tunao, nguvu tunazo but nia hatuna.
World is very complex it need bright person to make Africa Great. But kwa hawa viongozi wetu, they don't see the future.

Africa ndio race pakee ya watu wanaoweza kuhimili pressures. European walishindwa kuitawala kama walivyoitawala Amerika. We need to be open minded.

Na kitu kinachokosekana hapa Africa is jist political will. Everything we have.
siasa za Africa ni interest za wazungu ndio maana akitokea kiongozi hapa Africa akawa against them wanaanza kumwekea vikwazo mara dictator figisu nyingi na lazima wawe vibalaka wao ili kumdifet
 
Najaribu kutafakari nikitathimini ziara na vikao mbalimbali vinavyohusu vita ya Ukraine. Kiongozi pekee aliyeonyesha sura ya huzuni ni KATIBU MKUU WA UN alipofika Ukraine.
Lakini hawa viongozi wengine wa NATO nikifuatilia nyuso zao unakuta wana nyuso za bashasha. Kuna yule Mama muda wote kachangamka na furaha usoni, kuna Boris wa Uingereza hata anapoongelea issue za Ukraine unaona Sura imechangamka vizuri tu, Muone hata Babu wa Marekani japo anaongea kizee lakini kuna katabasamu mdomoni.

NINACHOKIONA HAPA HAWA WESTERN/NATO SIDHANI KAMA WANAGUSWA NA MAISHA YA UKRAINE WANAVYOANGAMIA
 
The Vicalina market in Vladikavkaz, Russia is on fire.

Soko kubwa Kwa Urusi maarufu kama Vicalina market huko Vladikavkaz linaungua na taratibu za uokoaji zinaendelea

Moto umeotea kwasababu ya shambulio ambalo wanasema linafanyiwa uchunguzi!!!

Warusi wa PICHA YA NDEGE TUNA HASIRA

Siku za hivi karibuni kunekuwapi na moto wa mara Kwa mara ndani ya Urusi kutokana na vyanzo mbali mbali ila vingi vikiwa kugoma kinachoendelea Ukraine

Habari zilizo pop up lisaa limoja lililopita, zinasema mapambano ndani ya Ukranian steel mill bado yanaendelea na ni makali sana.
Kamanda wa kikosi cha Ukrain kinachopambana ma wanajeshi wa Russia amesema wameapa kuwa hawata jisalimisha bali watapambana hadi mwisho.

Kamanda huyo, yaani Denys Prokopenko, alimpigia simu mke wake na kumueleza kuwa wao hawatajisalimisha , wataendelea kupambana hadi mwisho ingawa wanachotarajia zaidi ni miujiza. Hii ni kulingana na maelezo ya Kiev independent,

Mapambano hayo yanapiganwa kwenye underground tunnels za kuingilia ndani ya kiwanda. Ambayo yanefanyiwa marekebisho mara kadhaa tokea kiwanda kiwe chini ya ukraine baada ya USSR kuvunjika.

Tuwaze pamoja , leo ni tarehe 6, then Tarehe 9 ni Jumatatu ambapo Russia wanatarajia kutangaza victory day, ambayo kwa Putin haitakamilika bila kuikamata Mariupol kwa 100% na hasa eneo hilo la Azvostal plant.

Wakati wachambuzi muhimu , jana walisema hawadhani kama wataweza kufika siku ya leo, inavyoonekana Defenders hawa wa Ukraine mipango yao ni kupambana kwa nguvu zote hadi siku Jumatatu na Jumanne ili kuhakikisha wamatibua furaha na mipango yote ya Putin.

Sasa hivi the only supplies kutoka nje ya plant wanazokuwa wanazitegemea ni zile za Russians soldiers wanaokuwa wamefanikiwa kuwaua.

Hivyo basi wengi wanaotegemea kwamba Jumatatu itakuwa siku ya Furaha Kwa Urusi itakuwa tofauti..

Ukipata taarifa Mkere Mrusi wa Bonyokwa

Britanicca, Saratov, Russia
alimpigie simu mkewe?? mod unafanya nini ondoa huu uchafu hapa sasa mambo ya chumbani tena umeyapata wewe huko Mbagala?
 
Hawa jamaa huenda ikawa wanazuga hawana silaha wakati hill eneo lilikua ndio kambi yao ,
 
Back
Top Bottom