Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nina mashaka makubwa sana kuhusu mstakabari wa Dunia endapo Tarehe 09/05/2022, Serikari ya Urusi ikitangaza Vita kamiri dhidi ya Taifa la Ukraine.

Namaanisha ruksa ya kutumia siraha yoyote na kuna msemo Vita haina macho. Tutashuhudia dhana za kisasa ZIKITUMILA Kama Ndege za kisasa, vifaru vya kisasa, mizinga ya kisasa, Ushiriki wa Jeshi la Urusi, siraha za sumu, nyambizi za kisasa.

Tunatakiwa kuomba Mungu atuepushie hili janga sababu litavuruga mara nyingi zaidi Uchumi wa Dunia na uenda Watu wakafa kwa njaa sio risasi.

Pia itavuruga Serikari za Mataifa mbalimbali mfano, Uchaguzi unaoendelea UK Chama tawala kimebwagwa vibaya ktk chaguzi za Serikari za Mitaa na Majimbo.

Huko USA, Rais Biden umaarufu unashuka kwa kasi, akituhumiwa kushindwa kuisaidia Ukraine dhidi ya Urusi. Wanajionea Propaganda sio vitendo ktk uwanja wa Vita. Kinachoongelewa ktk Media sio uhalisia Uwanja wa Vita maana Zelewinky anaupiga mwingi kuomba msaada KWINGINEKO.

Mungu atuepushie Vita ya Dunia itakayoleta MADHARA makubwa kitechnologia na KIUCHUMI.
 
Ngoja wafia dini wale akina libalikiwe taifa la Israel. lakini ukweli umeusema. Natamani ufungue topic ili watu wajue utapeli wa watu hawa wanaojidai wana wa Israel
Mkuu zipo mada nilishaleta hapa,nadhani wewe kukuziona,tena nilirudia,kwa kuwa nilitaka watu wajue wabaya wa Binadamu kimsingi.

Soma hii👇

 
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelens amesema kuwa Urusi inajaribu kuliharibu kabisa Jimbo la Mashariki la Donbas lakini ameahidi kwamba atalilinda.

Akizungumza kupitia ujumbe wake wa video wa Jumapili jioni Zelensky amesema vikosi vya Urusi vinajitayarisha kwa oparesheni kubwa Mashariki mwa nchi hiyo ambayo itaharibu kila kitu kwenye Jimbo la Donbas.

Hayo yameelezwa wakati Ukraine ikiapa kupambana hadi dakika ya mwisho katika mji uliozingirwa wa Mariupol baada ya kumalizika kwa muda uliowekwa na Urusi wa kuwataka wapiganaji wake kuweka chini silaha na kujisalimisha.

Waziri Mkuu wa Ukraine, Denys Shmyhal amesema saa kadhaa tayari zimepita tangu kumalizika kwa muda wa mwisho uliowekwa na Urusi na hadi sasa vikosi vya Ukraine havijasimu amri na vitaendelea kupambana.

Akizungumza na televisheni ya ABC Shmyhal amesema Mji wa Mariupol bado "haujaanguka" na vikosi vilivyozingirwa na jeshi la Urusi vitapigana hadi risasi ya mwisho.


Zelenskyy atishia kuvunja mazungumzo ya amani na Moscow
Mapema siku ya Jumapili rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine alisema mazungumzo ya amani kati ya nchi yake na Urusi yatasitishwa iwapo Moscow itawaua wanajeshi waliosalia kwenye mji wa Mariupol.

Jeshi la Urusi ambalo sasa limehamishia nguvu zake kwenye kuchukua udhbiti wa jimbo la Donbas limesema kuna wapiganaji wachache wa Ukraine waliobakia ndani ya mji wa Mariupol na jana iliwataka kujisalimisha kwa ahadi ya kutowashambulia.


Stori: DW
Atalazimishwa kwa makonde
 
Yanachanganya mno tena mno...

Hii taarifa ya leo

Israel considers ‘nonlethal military aid’ to Ukraine amid soaring tensions with Russia...
Isikuchanganye mkuu,ngoja nikutegulie kitendawili.Kama ungekuwa mfutiliaji wa mada zangu,ungelielewa hili.

Ni hivii, Israelis sio Jews.Jews ni jina la kitapeli walilojipachika tu the evil Khazarian tribe ambao ndio akina Rothschild, Rockefeller na wengine.Hawa ndio wenye ideologies za Nazism na Zionism.Note that they are also called Ashke-Nazi Jews,from which they derived the ideology Nazism.Jews sio Wairaeli,ni wavamizi Israel,na ndio wanaoitesa Dunia kwa sasa na wanaoitawala Israel.Mind you,Waisrael wenyewe wametengwa kabisa Israel na hawana nafasi na usemi kabisa.

Sasa who is Zelensky,he is a Jew,ndugu na akina Rothschild na Jews wengine or if you wish Khazarians wanaoikalia Israel.Kwa misingi hii,Lavrov aliyosema ni kweli.Zelensky wamem-implant Ukraine ili atengeneze mazingira ya the so called Jews kuweza kurudi na kuikalia tena Ukraine,ambayo ni their original homeland.

Walifukuzwa huko miaka mingi sana iliyopita kwa sababu ya uovu wao,uovu ambao hawajaacha mpaka leo,na naweza kusema ndio chanzo cha ugomvi wao na Russia leo.Kwa misingi hiyo naweza kusema Israel pretending to be friendly with Russia is a lie,it is simply impossible.

Kwa taarifa zaidi soma hapa👇


Khazarian Mafia and its evil plan to infiltrate, tyrannize the whole World and eradicate all Abrahamic Religions and take over the World.​

 
Iran kama asingekuwa na Vikwazo na akili zao wangezitumia kuunda vitu vingine tofauti na silaha tu wangekuwa mbali sana.

Yule mwakilishi wao jina limenitoka ila nilisikia pia hizo habari. Nashindwa kuelewa Russia itakuwa upande gani kati yao [emoji23] maana wote ana uhusiano nao mzuri. Ila kuna unafki mwingi sana kwenye mataifa haya
MKUU mbona IRAN ikombali mnoooo
Jamaa wanatumia vyema bongo zao ZIMBABWE unaiona ilivyo!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Vicalina market in Vladikavkaz, Russia is on fire.

Soko kubwa Kwa Urusi maarufu kama Vicalina market huko Vladikavkaz linaungua na taratibu za uokoaji zinaendelea



Moto umeotea kwasababu ya shambulio ambalo wanasema linafanyiwa uchunguzi!!!

Warusi wa PICHA YA NDEGE TUNA HASIRA

Siku za hivi karibuni kunekuwapi na moto wa mara Kwa mara ndani ya Urusi kutokana na vyanzo mbali mbali ila vingi vikiwa kugoma kinachoendelea Ukraine


View attachment 2213845

Warusi kindakindaki wa JF wanaziruka tu nyuzi zako kimya kimya!endelea kutu-update mkuu!
 
Majority katika sie mind zetu ziko compromised and manipulated. Hatuna ule umoja kila mtu avutia kwake. Tumejaa ushamba flan hivi wa kutaka kutukuzana. Tuna nyoyo za kihasidi sana.

Leo hii Mimi sitaki wewe upate ili tuwe chini wote, na ikitokea nikapata nitataka nikukwamishe usipate uendelee kua hapo hapo ili niwe mtatuzi wako kwasabab kupitia mahitaji yako nitaweza kukutawala.

Ni sie tu tulojaa imani za kingese hasa ushirikina tukiamini bila ndumba no success, ubunifu zero bin sifuri hivo kuwapa mwanya wapigaji kutumia mwamvuli wa imani za kidini kuendeleza issue hizo kwa kuinasibisha dini kwenye mambo yao sawa na kunywa nyagi kwenye chupa ya dasani.

Mfumo wa elimu nao una taswira ile ya kikoloni, haileti muungano au maendeleo yenye tija kwenye jamii zaidi ni kutugawa waliosoma na ambao hawajasoma. Imeleta kundi la Much Knows wengi kuliko wenye maarifa yanayohitajika kututoa hapa tulipo tusonge mbele.

Angalia tamaduni ya mwafrika ilivyovurugwa. Now we suffer inferiority complex kuliko bara lolote duniani... We don't believe on our own, bali tunaamini kati yao.

Tuna ardhi kubwa sana ya kulima lakini hatulimi tunasubiri chakula kutoka kwao, tuna rasili mali nyingi kwenye ardhi zetu na hatuzitumii tunasubiri wao waje wazichukue... tumewekwa katika mazingira ya kua watumwa wa matumbo kila kukicha n kuwaza utakula nini so huezi waza maendeleo.

Angalia kundi la vijana hawa ambao tunawatizama kama taifa la kesho, 90% wanawaza starehe 10% kutafuta. Orgs na Individuals walio na fedha wanakuza hii wanaita vipaji ila hizo talents zinazodaiwa kukuzwa zote zipo ndani ya Entertainment industry... Sasa taifa gani dunian lishawahi kuendelea kwa kua na waburudishaji wengi zaidi?

Mambo ni mengi tena ya HOVYO sana na kila anayejarib kuutatua huu UGONJWA huwa anaishia katika sintofaham either kuuawa au kupakiziwa kesi zisizoeleweka. Hii ina maana gani?

Inaonesha hali iliyopo haiko bahati mbaya na kuna wanaonufaika zaidi na mfumo au hali iliyopo kwa kiasi kikubwa [emoji847]

Ni Afrika tu tunaoongoza kwa Exports ya Natural Resources then tunaingiza already manufacturing Goods nchini vikiwa na thaman ya juu zaid...[emoji1]

Its like Mangi anayeenda kununua Mahindi kwa Ntuzu anayasaga kisha anarudi kumuuzia unga kwa faida juu.

Yes ni kweli hatuezi jinasua ndani ya usiku mmoja kwenye hili shimo tulilomo... Je plan za mda mrefu tunazo? Jibu ni HAPANA.

Mwisho natania tu, imagine viongozi wako wawe watu kama Pro-NATO wa humu ndani na wengineo sampuli za hawa then wewe kama Raia usimame kuwaomba utake kujitegemea watakujibu nn [emoji847]
Ni vyema ikaanzishwa mada juu ya ukombozi wa kifikra.
 
The US plans to increase by $3 million (up to almost $19 million) the budget of the program to “support” legal reforms in Uzbekistan.

RT got acquainted with the documents of the American Agency for International Development (USAID). The project was supposed to be completed in August 2023, but it was proposed to extend it until the end of November 2024.

The ministry explained that this would provide support, including for labor migrants returning from Russia. The program is aimed at creating tools for interaction between USAID and the authorities of Uzbekistan, the agency noted
20220502_010825.png
 
Top news for the day:

- pensions will be automatically indexed by 8-9%, no action is required from the citizens themselves, said Svetlana Bessarab, a member of the State Duma Committee on Labor, Social Policy and Veterans Affairs;

- the seizure of Russian assets by the West is chaos and robbery in the best traditions of the Wild West, said Russia's permanent representative to the UN Vasily Nebenzya at a meeting of the organization's Security Council;

- The Russian Embassy in Washington called on the United States to destroy its chemical arsenal, following the example of Moscow.
20220502_010825.png
 
"You know, I sleep with the teacher every night."

Biden at a public reception jokes about his wife, a teacher by profession.

The First Lady smiles awkwardly, but the President of the United States continues: "If I didn't like teachers, I would sleep alone."
 
Back
Top Bottom