Tatizo ni lugha uliyotumia kwenye bandiko lako... Kumbuka unaongea na watanzaniaIsikuchanye mkuu,ngoja nikutegulie kitendawili.Kama ungekuwa mfutiliaji wa mada zangu,ungelielewa hili.
Ni hivii, Israelis sio Jews.Jews ni jina la kitapeli walilojipachika tu the evil Khazarian tribe ambao ndio akina Rothschild, Rockefeller na wengine.Hawa ndio wenye ideologies za Nazism na Zionism.Note that they are also called Ashke-Nazi Jews,from which they derived the ideology Nazism.Jews sio Wairaeli,ni wavamizi Israel,na ndio wanaoitesa Dunia kwa sasa na wanaoitawala Israel.Mind you,Waisrael wenyewe wametengwa kabisa Israel na hawana nafasi na usemi kabisa.
Sasa who is Zelensky,he is a Jew,ndugu na akina Rothschild na Jews wengine or if you wish Khazarians wanaoikalia Israel.Kwa misingi hii,Lavrov aliyosema ni kweli.Zelensky wamem-implant Ukraine ili atengeneze mazingira ya the so called Jews kuweza kurudi na kuikalia tena Ukraine,ambayo ni their original homeland.
Walifukuzwa huko miaka mingi sana iliyopita kwa sababu ya uovu wao,uovu ambao hawajaacha mpaka leo,na naweza kusema ndio chanzo cha ugomvi wao na Russia leo.Kwa misingi hiyo naweza kusema Israel pretending to be friendly with Russia is a lie,it is simply impossible.
Kwa taarifa zaidi soma hapa👇
Khazarian Mafia and its evil plan to infiltrate, tyrannize the whole World and eradicate all Abrahamic Religions and take over the World.
Russia’s Admiral Makarov warship has been hit by Ukrainian missiles and burst into flames, according to Ukrainian officials.
The frigate would be Russia’s latest naval loss in a troubled campaign, coming after reports that US intelligence helped Ukraine locate and sink the Russian warship Moskva weeks ago.
View attachment 2214037
Hao hao ndio walishindwa kunitofaitushia Economic growth vs economic development .... Wachumi wa mchongo....[emoji23]
Shida la hawa wenzetu huwa wanaongea kujifurahisha nafsi zao... Wako mbali sana na uhalisia wa mambo yenyewe yalivyo.
Issues za Currencies ni NGUMU mno [emoji847]
Kwa mfano kuna mataifa mengine yana'keep ela yao chini makusudi mfano China... Chinese Yuan iko weaker purposely... Kwasabab weaker Currency ni nzuri for exports and tourists, as everything becomes cheaper to purchase.
Ile pegging iliyofanywa na Russia sio wa kwanza kufanya hivo. Au kwamba ndio peke yao wanafanya hivo. Mataifa mengi tu duniani yame'peg fedha zao either kwa currency za mataifa mengine ama valuable metals ambazo ni stable.
Mfano Most of Caribbean Islands wame'peg fedha zao kwa dollar, Afrika sie nchi nchi nyingi wame'peg fedha zao kwa Euro with exceptions ya Djbout na Eritrea, Middle east vile vile wengi wao wamez'peg kwa Dollar.
Note: hizi currencies ambazo ziko pegged to other currencies zinaitwa fixed currencies. Fixed Currency na Fixed exchange rate ni vitu viwili tofauti.
Na kile anachokizungumzia huyo ProNATO mbobezi ni Fixed exchange rate sio fixed currency. Sawa na kutoa mfano wa mchicha kwa kutumia matembele.
Fixed currencies hizi ambazo ziko pegged kwa kitu au currency nyingine, their value ziko determined bado ndani ya Exchanges through demand and Supply...
Fixed exchange rate ni ile ya kujiamulia sasa mfano kuanzia leo Tsh ni sawa Dollar 10... Hii ndio Fixed exchange rate sio Fixed Currency.
Swali la kizushi... Hapo kenya nchini kwao 1966 Ksh ilikuwa pegged to Sterling Pound, 1971 wakahamia kwenye Dollar, miaka mi4 baadae yani 1975 wakahamia kwenye SDR... Special Drawing Right [emoji847][emoji23] (haya mabadiliko yanaonesha jinsi gani hawajui nini wanataka)
Hawakuishia hapo... 1982 wakai'peg ela yao kwa currency tofauti tofauti... Means even Ksh ni Fixed Currency... na Ksh inazidi kuporomoka thamani, wanaeza kutwambia sababu [emoji848].??
Sasa kama mtu hawezi tofautisha walau hizi term mbili tu "Fixed currency" na "Fixed Exchange rate" ajabu anajiita mwana Uchumi mtajadiliana nini sasa...
Mtume alisema anae tukana shetani anamjambia Kimywani[emoji24][emoji24][emoji24]Kua na adabu na dini za watu mbwa koko wewe
labda ndio "kuiteka silaha na kuitumia"only supplies umemaanisha nini
Leo mambo yamekuwa mabaya sana Kwa warusi, wanabaki kuchungulia Tu Uzi na Kulala mbele bila kusema loloteLeo wamechanganyikiwa kila uzi ni wa moto kwao,bado wanahangaika na kukanusha habari ya meli na soko kuteketea kwa moto [emoji3][emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28] Wakawa wanajing'ata ng'ata, Uchumi mgumu kama hujaelewa.Hao hao ndio walishindwa kunitofaitushia Economic growth vs economic development .... Wachumi wa mchongo....
Una ushahidi gani kwamba ni shambulizi la kigaidi au nyie ndio wazee wa ramli chonganishi.Sikujua hata siku moja Mashabiki USA watafurahia matendo ya kigaidi.
Au Marekani inafurahia Urusi kushambuliwa kigaidi?
Tulishangaa sana, utasemaje hatukushangaa.Mnashangaa nn kuungua kwa masoko nchini Urusi, mbona sisi shule za sekondari zilikua zinaungua sana na hatukushangaa?[emoji28]
Nyie huko tz mna afazali sie huku marekani yanaungua mengi kuliko huko Tanzania.Mnashangaa nn kuungua kwa masoko nchini Urusi, mbona sisi shule za sekondari zilikua zinaungua sana na hatukushangaa?[emoji28]
Leta chanzo maana nimeitafuta hii habari kwenye vyanzo vyote mpaka sasa sijaona habari kama hiyo.Kama hili linakupa unafuu wa kile Russia anachokutana nacho Ukraine,ruksa Mkuu kufurahia.Sisi hapa tunachojua kuna meli na soko huko Russia vimelipuka kwa moto
Putin ni kikwazo cha NWOKuna uwezekano hii ndio ikawa term ya mwisho ya uongozi wa rais Putin nchini Russia.
Nimekusoma,nitajitahidi.Tatizo ni lugha uliyotumia kwenye bandiko lako... Kumbuka unaongea na watanzania