Tuendelee kukumbushana kidogo...
Tareh 16 Mwezi January 1991, aliyekuwa Rais wa US, Marehem W. H Bush alinukuliwa akisema haya nanukuu kutoka kwenye video nitaiweka chini yake...
"This is a historic moment...We have before us the opportunity to forge for ourselves and future generations a NEW WORLD ORDER. A world where the rule of law, not the law of the jungle, governs the conduct of nations. When we are successful...and we will be, we have a real chance at this NEW WORLD ORDER. An order in which a CREDIBLE United Nations can use its' peacekeeping role to fulfill the promise and vision of the UN's founders."
Miezi 11 na siku 11 mbele yani 26 December 1991, USSR ikawa dissolved rasmi. Fahari mmoja akadondoka hivo dunia ikabaki na kiranja mmoja tu.
Naweza sema dunia ikawa full under Unipolarity...
Na hiyo kauli ya W.H Bush it was the first time hili neno "NEW WORLD ORDER" kuanza kutumiwa na kuenea kwenye Mainstream Media duniani kote...
Mnamo 24th February mwaka huu, Putin akaanzisha Rasmi Special Op ndani ya ardhi ya Ukraine.
Biden kwenye kikao chake na CEOs wa makampuni makubwa ndani ya US mwezi march mwaka huu katika mazungumzo yake akatamka maneno haya...
Nanukuu...
"And now is a time
when things are shifting. We are going to- there's going to be a new world order out there" anaendelea "and we have to lead it. And we have got to unite the
rest of the free world in doing it"
Hapo nime'bold baadhi ya maneno ili tupate kuulizana japo kidogo...
💥 New World Order ni nini? Na kwanini wao US watake kwa udi na uvumba ku-take the lead?
💥 Russia in Ukraine kunahusiana na nini na hiyo New World Order anayoidai?
💥 Kwanini hii issue iwe presented kwa CEOs wa makampuni ambayo mengi ni Multinationals? Why them and not others?
💥 Hao aliowaita "the rest free world ambao wanatakiwa kua united kuungana na US katika mbio za ku-lead NWO ni akina nani?
Can we connect hizi dots???
Have you guys ever notice hivi sasa online kote kwenye website kede kede kumeenea Blue and Yellow chini yake kuna maandishi yanasomeka save Ukraine???
Hii haitoshi kusema kua wapo kwenye ajenda ya kuunganisha hao "the rest free world" katika kutekeleza ajenda yao kwenye NWO?
Kwa haya yoooote bado kuna watu wanaamini US na team yake wanapigana kuitetea Ukraine na sio Maslah yao?
Ase hivi can't we see how these Psychopath who don't give a shit kwa raia wa kawaida wa Ukraine katika kutimiza haja zao?
Hayatoshi haya kujua nani MUOVU zaidi kwenye huu ulimwengu tulionao?
Guys wake up 🤗 na kongole kwa team Pro Russia kwa kusimama kwenye upande wenye mashiko.