Acha kutupeleka tusikotaka sisi ni mashabiki wa ukraine kindakindaki.Sikujua hata siku moja Mashabiki USA watafurahia matendo ya kigaidi.
Au Marekani inafurahia Urusi kushambuliwa kigaidi?
Acha kutupeleka tusikotaka sisi ni mashabiki wa ukraine kindakindaki.Sikujua hata siku moja Mashabiki USA watafurahia matendo ya kigaidi.
Au Marekani inafurahia Urusi kushambuliwa kigaidi?
Mmmh hii mioto mbona km imezidi sitaki kuamini Kama intellijensia ya Russia imelala kiasi hicho,isije ikawa Putin anafanya hizi false flags attacks ili apate uhalali wa kutangaza Vita dhidi ya Ukraine.
if thats the case, mbona haka kajamaa kamemsumbua sana!!??!!,ok tunaweza kusema ni NATO kwanini asitumie hiyo misilaha yake kumaliza hii vita tupate unafuu wa maisha huku africa??!!??putin ni mwana intelijensia na mpelelezi wa kirusi.
zelensky ni mchekeshaji / comedian
urusi ndo taifa lenye nguvu kubwa ya kijeshi chini ya putin.
warusi ndo wagunduzi wa silaha hatari duniani kama AK-47 AK- 74 AK-74M
pia wana hypersonic bombs kama avangard
ukipata muda nenda YouTube alaf search BM-21 GLAD na BM-multiple rockets uone maajabu ya warusi
nawasilisha madini hayo ya celebrities
ahsanteni
CC;msukule mzembe flani
msukule mzembe na msukule mjingamimi
The Vicalina market in Vladikavkaz, Russia is on fire.
Soko kubwa Kwa Urusi maarufu kama Vicalina market huko Vladikavkaz linaungua na taratibu za uokoaji zinaendelea
Moto umeotea kwasababu ya shambulio ambalo wanasema linafanyiwa uchunguzi!!!
Warusi wa PICHA YA NDEGE TUNA HASIRA
Siku za hivi karibuni kunekuwapi na moto wa mara Kwa mara ndani ya Urusi kutokana na vyanzo mbali mbali ila vingi vikiwa kugoma kinachoendelea Ukraine
View attachment 2213845
Anajidai ana secret weapons😅Ubavu huo hana ndio maana miaka sasa imebaki mikwara tuu, US wametest silaha nyingi na zimefeli kwenye uwanja wa vita huko Ukraine tena zina pigwa na vyuma chakavu vya mrusi 😂😂😂
Na hapo hatasalimia tena kivuli,bali atawehuka mazimaHiki ndio kinamkera sana Bidden hadi anatamani hata Putin afe[emoji28] mwisho ataamua kumshambulia tu.
Endelea kulima magimbi huko Morogoro mambo ya Ukraine na urusi tangu lini mluguru akayajua!View attachment 2214798View attachment 2214799hapa utawadanganya hawa pro ukraine ambao wengi wao wanakaa kwa masheji zao.
Pichani ni mzinga uliotelekezwa na majeshi ya ukraine huko kharkiv pia jana urusi ilifanikiwa kuteka msitu uliokuwa unatumiwa na sniper wa ukraine
Wakija huku wanakutana na vitu vizito. Wameamua kujifariji hukoPro NATO wanaka thread kao huwa wanapeana moyo huko.[emoji28][emoji28]
Ha ha haa ndo Dunia Iko hivyo.Ha ha ha [emoji23]
Juzi juzi hapa walikuwa wanaazimisha Quds Day, kuna kauli nyingi zimetolewa sana hiyo siku na Viongozi wao juu ya Brutality ya Israel...
Israel anautumia huu mwanya ambapo Dunia imeelekeza macho na Masikio yao Ukraine kuwapiga sana wa'Palestine...
Na hizi mambo ngum sana kueleweka... ISRAEL anaungana na US akishinikiza IRAN apigwe marufuku matumizi ya Nuclear kwasabab anazodai ni za kiusalama kwake, huku Russia akifanya biashara na IRAN na wanamikataba yao ya Nuclear ambayo wanailinda kwa nguvu zote.
Then rudi tena nyuma.
US rafiki wa Israel
US adui wa Russia
Israel rafiki wa Russia
Israel adui wa Iran
Iran rafiki wa Russia [emoji847]
Derive conclusion hapo [emoji21]
Ni kweli kabisa,ili ieleweke vizuri sana.Ihamishwe katika lugha ya Kiswahili kwanza.
Ha ha haa aisee nyinyi watu!Wakati wa kuwaonea huruma hao jamaa ulishapita mkongwe, kwasasa acha tu waendelee kulambishwa asali.
Usiwapangie watu, hivi kwenye hii vita ulisikia nchi yoyote ya kiaarabu ikiilaumu Urusi?natamani wabantu wangekuwa na "huruma hizi hizi" kwa madhila yanayoendelea palestine, syria na iraq
Hii wanaikimbia [emoji3].Pro NATO wanaka thread kao huwa wanapeana moyo huko.[emoji28][emoji28]
urusi wanataka wamtie hasara mdogo mdogo maana silaha anazopewa na nato ni za kumkopesha sio msaada ule ambapo akimaliza kupigana anatakiwa alipe fidia wakati urusi yeye anatumia zake anamvuta ili aendelee kukopa alafu baada ya hapo ukraine ikose sovereignity wawatawale kiulain.if thats the case, mbona haka kajamaa kamemsumbua sana!!??!!,ok tunaweza kusema ni NATO kwanini asitumie hiyo misilaha yake kumaliza hii vita tupate unafuu wa maisha huku africa??!!??