Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Umemnukuu vibaya hakuruhusu bali alisema tuwaombee wewe ni msabato
Endelea kukaza fuvu hilo
Umemnukuu vibaya hakuruhusu bali alisema tuwaombee wewe ni msabato
Ubavu huo hana ndio maana miaka sasa imebaki mikwara tuu, US wametest silaha nyingi na zimefeli kwenye uwanja wa vita huko Ukraine tena zina pigwa na vyuma chakavu vya mrusi 😂😂😂Hiki ndio kinamkera sana Bidden hadi anatamani hata Putin afe😅 mwisho ataamua kumshambulia tu.
Mi sina heshima hapa JFNaheshimu mawazo yako na mitazamo yako katika hili la urusi na ukraine. ila angalia propaganda zisikufanye upoteze heshima yako humu..
Inaonyesha unakujua vyema Ukraine basi tueleze hapo mahali 👊Hizi picha hazina uhusiano na Mariupol. Aina hiyi ya kituo cha mafuta haiko Ukraine, alipiga kwake nyumbani Chechnya
Ni rahisi wewe au biden kufa au kupinduliwa kuliko putin.hakuna wa kumtoa putin.ila wewe mbona Naona uelewa wako ni mdogo Sana tatizo nini?Ama Kwa Kifo Au kupinduliwa
Ni rahisi ikulu ya marekani kushambuliwa kuliko ikulu ya warusi.Bado ikulu Yao Tu kuungua alafu hii style ya Moto itaendelea mpaka December
Sikiliza hii clip,itakusaidia.
Kaskazini mwa mji wa Kharkiv vikosi vya Ukraine vimetangaza rasmi kuwaondoa Kabisa wapiganaji wa Urusi hapo majimbo ya Oleksandrivka, Fedorivka, Ukrainka, Shestakove na Peremoha. wanaendelea na mapambano kuukomboa kabisa mtaa wa Cherkas'ki Tyshky ambapo general mmoja wa Urusi bwana Shlatov Dmetry 59 amekamatwa mateka pamoja na askari 27 wa Urusi huku majibuzano kadhaa ya risasi na mabomu kidogo kidogo yakiendelea , wametelekeza zana za kupigania pamoja na vifaru 2
Na wamesogezwa mpakani Kabisa kuelekea Urusi,
Upande mwingine Urusi imeunda kamati maalumu kuchunguza Kama kuna hujuma inaendelea Au ni ajali tu za kawaida Kwa milipuko inayoendelea nchini hapa..
Asubuhi Hapa Vladivostok na Saratov, tulitangaziwa tukisikia alarm tukae tayari!
Chanzo kingine: mimi mwenyewe wakati tunatangaziwa nimesikia
Britanicca
kuna watu nilikuwa na waheshimu ila kwa sasa hapana.pro nato wanafiki sanaPro NATO wanaka thread kao huwa wanapeana moyo huko.[emoji28][emoji28]
My problem is which God of zelensky.In short Mungu anawapigania Ukraine kinyume ya Putin kama alivyofanya kwa waisraeli wakati wakivuka bahari ya shamu kinyume ya jeshi la farao.
kutoka 14: 9---- .
sorry kuna watanzania baadhi watambishia hata Mungu maana wanapenda kusikia Putin ameua maelfu ya Ukrainians hapo ndo wanapata raha perhaps watakuwa wachawi na mawakala wa shetani
zaidi ya sanaaakuna watu nilikuwa na waheshimu ila kwa sasa hapana.pro nato wanafiki sana
KutuKwahio Bwana Mavodka ile sherehe yao ya keshokutwa atakuwa anashereke nini sasa?
JidanganyeUrusi watafurushwa kote warudi kwao, kazi kubwa ni kuendelea kuokoa watu walionasa maeneo maeneo wakiisha hao watu na ndio mwisho wa putin ukrean
Watu saivi wanapanfa kuijenga Ukrean mpya
Tumuenzi kwa kuendeleza what he stood for mkuu.UnAwe za ukalia kama unaakili timamu ntaenda kulima kaburi la magufuli chato
Hata akitangaza vita kwa mfano anampiga Nani huko Ukraine?....huko Ukraine kavuliwa nguo anatafuta namna ya kujiokoaMmmh hii mioto mbona km imezidi sitaki kuamini Kama intellijensia ya Russia imelala kiasi hicho,isije ikawa Putin anafanya hizi false flags attacks ili apate uhalali wa kutangaza Vita dhidi ya Ukraine.
Nakuelewa unachomaanisha.Mi sina heshima hapa JF