NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Prolongation of the conflict in Ukraine could lead to the fact that nine out of ten Ukrainians will be below the poverty line, according to the UN.
Ulitaka aongee ngapi ... Sio Chifu Hangaya yule.Sasa victory day mtu anaongea DAKIKA NANE, DAKINA NANE, SIKU YA USHINDI NA HAPO HAP TAIFA LIKO VITANI LINASHAMBULIWA NA NATO ANAONGEA DAKIKA NANI?
si ndo ukoko wenyewe huo mkuu.
Huyo ni asset kubwa sana kwa Urusi.Nasubiri kwa hamu nione Marekani watatoa tamko gani au watakubali kumtoa kafara mkuu wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]leo kichapo kimezidi huko wanaanza kujisalimishaMbona jukwaa leo limepoa.kuna nini kinaendelea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ustaadh acha hiyo maneno.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inasemakana Putin kaagiza jamaa wamuogeshe vizuri na wampe chakula kisha wampeleke chumbani kwake,yeye akirudi atamkuta.sasa sijui Putin anataka kumfanya nini
Usiombee hicho kitu kitokee labda kama husimi majarida ya wachambuzi. Putin atakinukisha dunia mzima kuliko aanguke pekee yake. Kimasihala sihala kuna mru atagongwa nuke Moja I;I akili ziwakae sawaTunaongelea miezi mitatu sasa ya uvamisi wa urusi kwa nchi kama Ukraine, tuliaminishwa kwenye masikio yetu kabla kwamba Mrusi ni babkubwa, alifukuzwa na kupigwa Kiev kama paka mwizi akarudi Donbas ambayo kabla alitangaza kwamba ishakuwa huru sasa siju ule uhuru alioutangaza kabla kama ulikuwa feki mana amrejeshwa nyuma kurudi alikotoka karibu kilomita 40.
Finland na Sweden kujiunga NATO hii ni adabu anaendelea kutiwa Putini mana hizi nchi amepakana nazo kama vile Ukraine wanaume wataeka base yao kila nchi hapo ili kumnyweshwa maji kikuku., tutegemee anguko kubwa la nchi iitwayo Russia