Upo serious kweli we jamaa ai hujui vitu kabisa inaonekana ni mbishi tu ila kichwani hujui kitu kabisaTofauti ni kwamba USA haikupigana moja kwa moja Vietnam kama Russia anavyopigana Ukraine. Katika vita vyote vya marekani alivyopigana direct, serikali zote zilianguka tena ndani ya muda mfupi.
Sidhani kama North Vietnam wangeweza kuhimili full war na Amerika ndani hata ya mwezi mmoja.
Hapo Ukraine, Russia kaingia mzima mzima na serikali bado imesimama. Ili wafaulu kumega ardhi inabidi kwanza waiondoe serikali ya zelensky.
Wanakwama wapi sasa... Wafanye chap tuwatimue warusi hao warudi kwao
BREAKING! US Admiral Eric Olson–a highly decorated special ops commander–captured in Azovstal steel work
Posted on May 15, 2022 by State of the Nation
FacebookTwitterPinterestRedditEmailPrint
Share
![]()
_____
___
Hao Azov US wanawajua vizuri tu ni Manazi, EU wanawajua vizuri vile vile kua hao Azov ni Manazi.#telling the Untold? Yes my people.
Here we Go.
I think There's no Right or Wrong, it's about "nani kafanya" and "nani kasema". Nimekutana na hii habari, nimeona ni-share hapa.
View attachment 2226471
Read it careful, Ukrainian Veterans of the Azov Battalion (Neo Nazi) formed by white supremacists and banned from receiving U.S aid, attend a rally in Kyiv on March 14 2020.
Question: Who are these white supremacists banned from receiving U.S aid? View attachment 2226476
View attachment 2226510
Hola hola, waliwapa Ban that time from receiving their aid, What's happening now? wanawapa silaha our beloved warriors, AZOV the supremacists.
Oh my God! so What's wrong? What's right? The answer is There's no such a thing as right or wrong, It's about "nani kafanya" and "nani kasema".
Likewise to our fellow Palestinians,
The PM Naftali Bennett: Israeli forces are facing terrorism and endangering themselves on the ground.
Reality On the ground: View attachment 2226509
Nilipoonda ilo neno INASEMEKANA nimeacha kusoma uputini wakoKamanda wa batallion ya Azovstal katika jiji la Mariupol amewaomba wananchi wa Ukraine wafanye juhudi ya kuwaokoa na kwamba hawana haja ya kuambiwa wamekufa mashahidi.Amesema hali huko shimoni ni mbaya sana na kwamba waliokuwa hawajaowa wanaomba watoke salama wapata kufanya hivyo na wle wenye wake na watoto hawataki kusikia jambo jengine ila kuona familia zao. Yule kamanda wa mwanzo kuomba msaada mpaka kwa papa inasemekana hatimae alifanya njama na Urusi na kutoroka.
Msemaji mwengine wa jeshi la Ukraine ametoa maelezo ya haraka isiyo kawaida kama kwamba yuko mbioni kiasi kwamba maelezo hayo yanapingana na taarifa za jana kwamba wameangamiza batallion nzima ya Urusi iliyokuwa ikijaribu kuvuka mto Siverskyi .Katika taarifa ya leo amesema bado wanaendelea kusukumana na nguvu kubwa ya Urusi inayovuka mto huo.Taarifa yake imekiri kuwa jeshi la Urusi limeongeza kwa kiasi kikubwa jeshi na vifaa katika kudhibiti majimbo ya Luhansk Sloviansk na Donetsk.
Katika kujichanganya kukubwa msemaji huyo amesema jeshi la Urusi linafikiria kujiondoa kutoka maeneo yanayouzunguka mji wa pili kwa ukubwa wa Kharkiv.
Hao waliondoka wenyewe baada ya kuchakaza sana, nenda hata BBC usome. Sasa nashangaa wanasema Ukraine wamewafukuza wanajeshi wa Russia kwa mapigano. Hizi propaganda za uongo ndio zinafanya pro West kuonekana vilazaWarusi wafurushwa Kharkiv - ni moyo wa kijasiri wa wa- Ukraine.
When the Russians could not take Kharkiv they aimed to destroy it instead, shelling its civilian neighbourhoods. Under the rules of war, attacking civilian infrastructure without good military reason is a war crime.
We drove past apartment blocks scorched and disembowelled, their windows blown out and the car parks below graveyards of twisted metal.
The people of this area had no choice but to flee. But instead of leaving they went underground. Just as Londoners lived in the tube network in the Blitz of World War Two, Kharkivians have lived in theirs on platforms and on trains.
Jee wewe unaona ni akili hizo wanazofanya Sweden na Finland katika kipindi hiki wakati mwenzao anaangamia.Jee hizo nchi zinaendeshwa kifalme ?Nilipoonda ilo neno INASEMEKANA nimeacha kusoma uputini wako
Elewa kwamba Finland na Sweden wako punde watakuwa wanachama wa NATO, ni vile Putini amefanya maamuzi ya kijinga zaidi kuivamia Ukraine
BREAKING! US Admiral Eric Olson–a highly decorated special ops commander–captured in Azovstal steel work
Posted on May 15, 2022 by State of the Nation
FacebookTwitterPinterestRedditEmailPrint
Share
![]()
_____
___
Mimi binafsi hii OP imeniamsha nimegundua binadamu tunaishi mwituni tofauti yetu na wanyama hakuna kabisa.#telling the Untold? Yes my people.
Here we Go.
I think There's no Right or Wrong, it's about "nani kafanya" and "nani kasema". Nimekutana na hii habari, nimeona ni-share hapa.
View attachment 2226471
Read it careful, Ukrainian Veterans of the Azov Battalion (Neo Nazi) formed by white supremacists and banned from receiving U.S aid, attend a rally in Kyiv on March 14 2020.
Question: Who are these white supremacists banned from receiving U.S aid? View attachment 2226476
View attachment 2226510
Hola hola, waliwapa Ban that time from receiving their aid, What's happening now? wanawapa silaha our beloved warriors, AZOV the supremacists.
Oh my God! so What's wrong? What's right? The answer is There's no such a thing as right or wrong, It's about "nani kafanya" and "nani kasema".
Likewise to our fellow Palestinians,
The PM Naftali Bennett: Israeli forces are facing terrorism and endangering themselves on the ground.
Reality On the ground: View attachment 2226509
Tunaongelea miezi mitatu sasa ya uvamisi wa urusi kwa nchi kama Ukraine, tuliaminishwa kwenye masikio yetu kabla kwamba Mrusi ni babkubwa, alifukuzwa na kupigwa Kiev kama paka mwizi akarudi Donbas ambayo kabla alitangaza kwamba ishakuwa huru sasa siju ule uhuru alioutangaza kabla kama ulikuwa feki mana amrejeshwa nyuma kurudi alikotoka karibu kilomita 40.Jee wewe unaona ni akili hizo wanazofanya Sweden na Finland katika kipindi hiki wakati mwenzao anaangamia.Jee hizo nchi zinaendeshwa kifalme ?. Na kipi kinakuonesha kuwa kujiunga kwa nchi hizo na NATO kutaleta faraja kwa wananchi wao.au itakuwa ndio mwanzo wa mabalaa na kuwa wakimbizi katika dunia.