Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nchi za G7 zasema hazitotambua mipaka mipya iliyochorwa na Russia nchini Ukraine baada ya Russia kuikomboa mikoa kadhaa ya Ukraine na kuifanya ni nchi zinazojitegemea mpya, zenye uhuru kamili.

Russia yawajibu G7 kuwa yenyewe haijali lolote kama nchi za G7 zinatambua au hazitambui mipaka mipya ya Ukraine...Russia inachozingatia ni maoni na utashi wa raia wakazi wa ardhi hizo zilizojitenga na sasa kuwa nchi zinazojitegemea kamili.


G7 waache kubwekabweka, walizoea kujitia wao ndio waamuzi wa nchi zinginezo, leo hii wamekumbana na mbabe wao Russia, wanaishia kubwekabweka tu.

View attachment 2225805View attachment 2225806View attachment 2225807
Wao walizigawa na kuzitambua Kosovo,Bosnia na Herzegovina,Serbia,Croatia. Nani aliwapa mamlaka hayo.
Bastard
 
Ana mtoto wake mwingine alikuwa dodoma kwenye ujenzi wa ikulu then akapata gepu la Tiss yupo mafunzoni now na mtaa mzima wanajua kuwa fulani yupo kozi ya usalama wa taifa na form four alipata four ya 29
Siku hizi usalama umekuwa wa kibwege bwege wanachukuana kibwege bwege tu alafu uwezo wa chini mnooo
 
View attachment 2225933

🔥🔥🔥The wives and mothers of the military from Azovstal flew to Istanbul to see Turkish President Recep Erdogan. The women recorded a video message from the airport. They said they were flying to Turkey to ask for help in saving their husbands and children🔥🔥🔥
Waende wakaombe msaada kwa superpower USA apeleke navy seal wakawaokoe.
Kama waliweza kumuua Osama bin laden wanashindwa Nini kuwaokoa wa Azovstal
 
Nikuulize mwanangu
1. Ukraine ni sovereign country,ndio au la ??
2.Russia Neo Nazis wapo ama hawapo!?
3. Russia bio labs ziko au haziko??
4.Russia chemical weapons anazo au la?

Uwanja ni wako, nijibu.
1-Hata IRAN ni soverrign country kama UKRAINE na IRAQ CUBA nk
2-RUSSIA wanazi wapo ila hawana misimamo mikali kama wauaji wa huko KIEV na DON BASS
3-RUSSIA zipo kama zilivyokua US nk
4-Anazo

Uwanja ni wako MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweka na Copy and Paste ya maelezo ya ziada kama yawaeza saidia kutoka kwa Hammaz
 
Nyaraka uliyoihitaji lilitolewa kwenye jarida la Uchumi (duniani), ni makala inapatikana ukurasa wa 45 (kama sijakosea).

Prof. aliyehusika kuandika hiyo mikala na mbobezi kwenye hayo masuala. Unaweza ukamtafuta kwenye You tube ukapata lecture zake nyingi.

Vilevile mtafute Prof. Stephen Cohen (kwa sasa ni marehemu). Amefanya mijadala mingi sana ya wazi kuhusu mgogoro huu na vuta n'kuvute ya West na Russia.
Shukran MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi za G7 zasema hazitotambua mipaka mipya iliyochorwa na Russia nchini Ukraine baada ya Russia kuikomboa mikoa kadhaa ya Ukraine na kuifanya ni nchi zinazojitegemea mpya, zenye uhuru kamili.

Russia yawajibu G7 kuwa yenyewe haijali lolote kama nchi za G7 zinatambua au hazitambui mipaka mipya ya Ukraine...Russia inachozingatia ni maoni na utashi wa raia wakazi wa ardhi hizo zilizojitenga na sasa kuwa nchi zinazojitegemea kamili.

G7 waache kubwekabweka, walizoea kujitia wao ndio waamuzi wa nchi zinginezo, leo hii wamekumbana na mbabe wao Russia, wanaishia kubwekabweka tu.

View attachment 2225805View attachment 2225806View attachment 2225807
@T14 Armata anasema kwamba RUSSIA hajatwaa hata mji mmoja huko UKRAINE toka aanzishe OP
Ama kweli mapenzi yakizidi chongo huitwa kengeza!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

China Warns US Not to Play Fire with Issues Concerning China's Core Interests: Spokesman​


China warned the United States not to play fire and fan flames on issues concerning China's core interests and major concerns, said a Chinese Foreign Ministry spokesman at a press briefing in Beijing
LoL! Masikini USA siku hizi linakemewa kama toto dogo lisilo na malezi Bora.
Ama kweli mwisho wa enzi huu.
 
Hii ni aibu kubwa kwa Russia katika diplomacy, Crimea mpaka Leo hakuna Nchi imeitambua kama himaya huru. Out of 192 territories, 0 recognition apart from Russia

Aibu wakat yake yanamuendea[emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji23]
Katika hii dunia ukitishwa na aibu mambo yako yatakua hayaendi
Nyie muitambue musiitambue ikiishatambuliwa na CREMLIN tu inatosha sanaaaa
PUT IN anachora mipaka yake hapo UKRAINE mawasiliano tayar wanatumia code za KREMLIN

Ila bado RUSSIA wanapigwa [emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2225820

“Kaliningrad must be demilitarized”: Former Deputy Minister of Defense of Poland and one of the country’s main Russophobes Romuald Sheremetyev demands “demilitarize and rename Kaliningrad”, announced that “NATO is invading St. Petersburg” and expects that “the collapse of Russia will happen faster than expected »
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajaribu hem waone!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2225933

[emoji91][emoji91][emoji91]The wives and mothers of the military from Azovstal flew to Istanbul to see Turkish President Recep Erdogan. The women recorded a video message from the airport. They said they were flying to Turkey to ask for help in saving their husbands and children[emoji91][emoji91][emoji91]
Hao wamama waache UJINGA [emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Article 5 provides that if a NATO Ally is the victim of an armed attack, each and every other member of the Alliance will consider this act of violence as an armed attack against all members and will take the actions it deems necessary to assist the Ally attacked.

Article 5

“The Parties agree that an armed attack against one or more of them in Europe or North America shall be considered an attack against them all and consequently they agree that, if such an armed attack occurs, each of them, in exercise of the right of individual or collective self-defence recognized by Article 51 of the Charter of the United Nations, will assist the Party or Parties so attacked by taking forthwith, individually and in concert with the other Parties, such action as it deems necessary, including the use of armed force, to restore and maintain the security of the North Atlantic area.

Any such armed attack and all measures taken as a result thereof shall immediately be reported to the Security Council. Such measures shall be terminated when the Security Council has taken the measures necessary to restore and maintain international peace and security.”


This article is complemented by Article 6, which stipulates:

Article 61
“For the purpose of Article 5, an armed attack on one or more of the Parties is deemed to include an armed attack:

  • on the territory of any of the Parties in Europe or North America, on the Algerian Departments of France 2, on the territory of Turkey or on the Islands under the jurisdiction of any of the Parties in the North Atlantic area north of the Tropic of Cancer;
  • on the forces, vessels, or aircraft of any of the Parties, when in or over these territories or any other area in Europe in which occupation forces of any of the Parties were stationed on the date when the Treaty entered into force or the Mediterranean Sea or the North Atlantic area north of the Tropic of Cancer.”
Hio article inaanza kutumika muda gani baada ya mtu ama nchi kua mwanachama wao punde baada ya kujinga week moja mwezi ama miezi kadhaa baada ya kujiunga !!!??.
Hii ndio nataka kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio article inaanza kutumika muda gani baada ya mtu ama nchi kua mwanachama wao punde baada ya kujinga week moja mwezi ama miezi kadhaa baada ya kujiunga !!!??.
Hii ndio nataka kujua

Sent using Jamii Forums mobile app

Mara moja baada nchi kuwa mwanachama- Wanachama wote wanahitajika kukubali. Hapa inaonekana kwamba kati y aombi la kujiunga na hatua ya mwisho kuna wiki, miezi au miaka inayoweza kupita. Kimkataba hakuna ahadi ya kuteteana kabla ya kumalizika kwa mchakato.
Katika mfano wa leo inaonekana Uturuki inataka biashara fulani kuhusu uhuru wa Wakurdi huko Uswidi.

Mchakato unaelezwa hapo chini:

Once the Allies have decided to invite a country to become a member of NATO, they officially invite the country to begin accession talks with the Alliance. This is the first step in the accession process on the way to formal membership. The major steps in the process are:

1. Accession talks with a NATO team
These talks take place at NATO Headquarters in Brussels and bring together teams of NATO experts and representatives of the individual invitees.

Their aim is to obtain formal confirmation from the invitees of their willingness and ability to meet the political, legal and military obligations and commitments of NATO membership, as laid out in the Washington Treaty and in the Study on NATO Enlargement.

The talks take place in two sessions with each invitee. In the first session, political and defence or military issues are discussed, essentially providing the opportunity to establish that the preconditions for membership have been met. The second session is more technical and includes discussion of resources, security, and legal issues as well as the contribution of each new member country to NATO’s common budget. This is determined on a proportional basis, according to the size of their economies in relation to those of other Alliance member countries.

Invitees are also required to implement measures to ensure the protection of NATO classified information, and prepare their security and intelligence services to work with the NATO Office of Security.

The end product of these discussions is a timetable to be submitted by each invitee for the completion of necessary reforms, which may continue even after these countries have become NATO members.

2. Invitees send letters of intent to NATO, along with timetables for completion of reforms
In the second step of the accession process, each invitee country provides confirmation of its acceptance of the obligations and commitments of membership in the form of a letter of intent from each foreign minister addressed to the NATO Secretary General. Together with this letter they also formally submit their individual reform timetables.

3. Accession protocols are signed by NATO countries
NATO then prepares Accession Protocols to the Washington Treaty for each invitee. These protocols are in effect amendments or additions to the Treaty, which once signed and ratified by Allies, become an integral part of the Treaty itself and permit the invited countries to become parties to the Treaty.

4. Accession protocols are ratified by NATO countries
The governments of NATO member states ratify the protocols, according to their national requirements and procedures. The ratification procedure varies from country to country. For example, the United States requires a two-thirds majority to pass the required legislation in the Senate. Elsewhere, for example in the United Kingdom, no formal parliamentary vote is required.

5. The Secretary General invites the potential new members to accede to the North Atlantic Treaty
Once all NATO member countries notify the Government of the United States of America, the depository of the Washington Treaty, of their acceptance of the protocols to the North Atlantic Treaty on the accession of the potential new members, the Secretary General invites the new countries to accede to the Treaty.

6. Invitees accede to the North Atlantic Treaty in accordance with their national procedures

7. Upon depositing their instruments of accession with the US State Department, invitees formally become NATO members
Chanzo: nato.int
 
Huu uzi ulikuwa nzuri sana, WAKENYA wameuharibu kwa kuleta ushabiki wa kijinga na kipumbavu. Wakenya wengi wanahisi wao ni WAAMERIKA sijui shida yao hasa ni nini? Wengi wajinga wajinga, wanapenda kujioendekeza na kujivika uzungu mwingi. Sasa kaka zao wanagongwa nchd huko balaa, wameruhusu ndoa za jinsia moja.
 
Huu uzi ulikuwa nzuri sana, WAKENYA wameuharibu kwa kuleta ushabiki wa kijinga na kipumbavu. Wakenya wengi wanahisi wao ni WAAMERIKA sijui shida yao hasa ni nini? Wengi wajinga wajinga, wanapenda kujioendekeza na kujivika uzungu mwingi. Sasa kaka zao wanagongwa nchd huko balaa, wameruhusu ndoa za jinsia moja.
jibu hoja,hayo ya kugongana malizaneni DM
 
Back
Top Bottom