secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Unakimbia swali kisiasaNdio shida ya Mtunza mafaili wa Masjala. Kila kitu hadi update reference.
Fuatilia yanayoendelea kisha fanya analysis yako
Unakimbia swali kisiasaNdio shida ya Mtunza mafaili wa Masjala. Kila kitu hadi update reference.
Fuatilia yanayoendelea kisha fanya analysis yako
Katika jambo ambalo NATO hawawezi kulifanya ni hili lakuitoa TURKEY huko NATO[emoji298]️ EU lawmaker threatens Turkey with isolation in NATO if it blocks Finland, Sweden alliance bids
Hahaha, kwani kujiandaa na lolote umekutafsiri kwenye kushinda tu? Hata kushindwa ni sehemu ya lolote. Kwa tafsiri nyingine wapo tayari na vita.MKUU unahisi UKRAINE haikujiandaa kwalolote!!!??
Kipigo kikianza kutembea msije anza kusema jamaa wanaonewa
Wanasiasa watu waajabu ajabu sana hapa DUNIANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hakuna anaejiandaa kwakushindwa[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, kwani kujiandaa na lolote umekutafsiri kwenye kushinda tu? Hata kushindwa ni sehemu ya lolote.
Limepungua huko Ukraine au limepunguzwa tu?Imejiandaa lakini haitavamiwa. Putin hana jeshi la kutosha siku hizi.
Ila kuzidiwa kupo. Na wakati mwingine unaenda ukijua kabisa nitashindwa ila malengo yako yanakuwa mengine. Mfano wale wanaojitoa mhanga.
UKRAINE hajapigwa kwa NATOUkraine iliingia lini?
Kabomoke tu hako ka Bloc, hakana faida zaidi ya kelele kila kukichaSlovakia yeye naye anaangalia maslah yake. Hungary naye anaangalia maslah yake. Huku German naye anajivuta vuta. Yetu macho.
Amka kuu usiendelee kuotaKWA HALI INAVYOKWENDA KWASASA INAONYESHA DALILI ZOTE KUWA RUSSIA AMESHASHINDWA HII VITA. TENA KASHINDWA VIBAYA. KWASASA UKRAINE AMEANZA KU GAIN MOMENTUM NA AMESABABISHA CASUALTY KUBWA SANA KWA JESHI NA VIFAA VYA RUSSIA.
ILIFIKA WAKATI HAPAKUWA NA NDEGE HATA MOJA YA UKRAINE ILIYOWEZA KURUKA LAKINI KWASASA NDEGE VITA ZAO ZIMEANZA KUONEKANA ZIKIRUKA. PIA LENGO LA NATO/ USA KUIDHOOFISHA RUSSIA LINAFANIKIWA SANA.
KITENDO CHA FINLAND NA SWEDEN KUONYESHA NIA YA KUJIUNGA NATO KIMEZIDI KUMCHANGANYA RUSSIA AMBALO NI LENGO LA NATO/ US (psychological warfare) na RUSSIA KASHACHANGANYIKIWA SANA.
PENYE UKWELI TUUSEME TU
Kakishabomoka Yugoslavia inarejea. Cosovo inakufa natural death.Kabomoke tu hako ka Bloc, hakana faida zaidi ya kelele kila kukicha
Ukiendelea kubishana na huyo mtoto utaanza kuchanganya maelezo yake huenda ndio anachokitafuta toka kwako baadae aanze kujisifu.
Coooco kama *****... Shakwambia kujichetua sio kuzuri. Ukirejea kwe utimamu tuite tuzungumze. Hiz bla bla zako za kila day binafs nimezichoka.Umeingia kwa ule mtego niliutaka. Wadogo zangu kisiju pwani na Galip Vrl bado mnashikilia NATO ndio sababu ya Ukraine kuvamiwa. Mwezenu akili zimemjia.
Kabisa Mzee, hata kama Yugoslavia isiporejea. Kikubwa amani itatawala... Hawa punguani hawaishi kuanzisha migogoro, kutengeneza Crisis kisha kupiga pesa.Kakishabomoka Yugoslavia inarejea. Cosovo inakufa natural death.