Naam, nimeshukuru sana kwa kuona umeachana na ile hoja kwamba Russia iliivamia Ukraine kutokana na kuingia NATO, natumai kijana mdogo
Galip Vrl ataondokea hio hoja.
Waswahili wanasema wengi wape, asilimia kubwa ya raia wa Ukraine waliunga mkono kuondolewa kwa Viktor yanukovych, pingamizi za eastern Ukraine hazikutosha. Tunaskiza walio wengi
Katika siasa Lobbying inaruhusiwa, wanasiasa wa EU/ US hawakuwashikia bunduki Ukraine iliwaingie katika mkataba. Russia ingejaribu kuwashawishi kidiplomasia.
Lakini kwa dharau kubwa sana, Russia ikaivamia Ukraine kama adhabu ya kumfukuza Viktor yanukovych. Jiulize mbona siku zote hawakuikomboa Crimea mpaka mwaka huo.
Hakuna referendum ilifanywa Crimea na kama ingefanywa matokeo yake yasinge ridhisha Kremlin. Utaratibu wa eneo la nchi kujitenga upo na hawakuufata