Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Swali lako lina dalili zote za mtu mwenye uvivu wa kufikiri hivo linaleta uvivu pia kulijibu ila kujibu kwa faida ya wengine ni kwamba Marekani walienda Vietnam kuzuia Vietnam ya Kusini isichukuliwe na Vietnam ya Kaskazini iliyokuwa ya Kikomunisti ambayo ndio ilikuwa muanzilishi wa vita. US walifanikiwa kuzuia hilo kwa muda wa miaka 8 ambayo majeshi yake yalikuwa huko na miaka mingine 2 baada ya majeshi yake kuondoka.

Hawakwenda Vietnam kuteka vijiji kama unavyojaribu kulisha watu hayo matangopori. Walienda kuzuia upande wa Vietnam Kusini usianguke dhidi ya majeshi ya Kikomunisti ya Kaskazini.

Vita vya Vietnam ni sawa na vita vya Korea Kusini na Kaskazini, tofauti ni kwamba US haikuwahi kuondoa Korea Kusini mpaka leo na iliendelea kuipa msaada. Vita ya Vietnam ilipoteza ushawashi kwenye siasa za Marekani na msaada kwa serikali ya Vietnam Kusini ukakatwa.
Ndio kushindwa kwenyewe kwani Urusi sasa hivi akiondoa majeshi yake Ukraine bila kuiteka Dombas na kuanzisha serikali siatahesabika ameshindwa vita?

Basi na Marekani ni hivyo hivyo serikali aliyo enda kuilinda mwishowe ilianguka na ukomonisti ukashinda.

Alafu kufananisha vita ya Korea na Uveitam ni upuuzi moja wapo ulio uonesha .
Vita ya Korea ilimalizika kwa makubaliano baada ya kukosekana kwa mshindi na ndio maana mpaka sasa Marekani bado yupo, ila Vietnam alirazimishwa kuondoka baada ya kukumbana na kichapo kikali sana na cha aibu.
 
Tunalazimika kukujibu ilhali unajaribu kupotosha ukweli.

Yanukovch alipinduliwa 2014 kwa sababu ya mlengo wake kuelekea Kremlin, upo sahihi.
Je mapinduzi yale, yalifanywa kwa kutumia mgongo wa nani?
Unakataa kwamba yalifadhiliwa na Marekani pamoja na washirika wake?

Kama hapana naomba unielezee kwa nini Victoria Nuland ambaye ni undersecretary of political affair alikuwa anafanya nini maiden square wakati wakimlazimisha yanukovch ajiuzulu?

Je mashinikizo Yale ya waandamaji yalikuwa na baraka za nchi nzima??!!
Jibu ni hapana, ndio maana upande wa mashariki uliamua kujitenga na kuokutambua serikari iliyopo kiev na Kuanzishwa Jamhuri zao.

Kwa nini useme Urusi iliivamia Ukraine 2014 wakati wananchi wenyewe ndio waliotangaza kutoitambua serikari ya kiev?

Acha ubangalalaView attachment 2225348


Naam, nimeshukuru sana kwa kuona umeachana na ile hoja kwamba Russia iliivamia Ukraine kutokana na kuingia NATO, natumai kijana mdogo Galip Vrl ataondokea hio hoja.

Waswahili wanasema wengi wape, asilimia kubwa ya raia wa Ukraine waliunga mkono kuondolewa kwa Viktor yanukovych, pingamizi za eastern Ukraine hazikutosha. Tunaskiza walio wengi

Katika siasa Lobbying inaruhusiwa, wanasiasa wa EU/ US hawakuwashikia bunduki Ukraine iliwaingie katika mkataba. Russia ingejaribu kuwashawishi kidiplomasia.

Lakini kwa dharau kubwa sana, Russia ikaivamia Ukraine kama adhabu ya kumfukuza Viktor yanukovych. Jiulize mbona siku zote hawakuikomboa Crimea mpaka mwaka huo.

Hakuna referendum ilifanywa Crimea na kama ingefanywa matokeo yake yasinge ridhisha Kremlin. Utaratibu wa eneo la nchi kujitenga upo na hawakuufata
 
Kama nchi imepigana zaidi ya miaka 8 na ikashindwa kuteka hata kijiji unategemea watu wasilalameke?
Kwani hata Urusi ukiisha huu mwaka ajaweza kuiteka Dombas unadhani atakuwa na kipi cha kufanya tofauti na kukubali kushindwa na kukimbia?

Kama ni hivyo Urusi amesha shinda vita sasa maana waukraine walio uawa ni zaidi ya Warusi.
pro RUSSO mnapoint sana asee
Akikujibu naomba unitag MKUU nione kma ana hoja ama vihoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Finland inataka kujiunga na NATO, nayo itavamiwa na Urusi kama Ukraine??
aah wapi, putin ana sababu zake kuzivamia ukraine na georgia, anaplay NATO card kujustify mipango yake, amekuwa frustrated vile EU,US,TURKEY na CHINA zilivyoongeza sana ushawishi kwe maeneo ambayo yamekuwa backyard yake kwa miaka mingi, but as long wengine wana vingi vya kuoffer interms of trade, investments na mengneyo kiuchumi basi changamoto dhidi ya ushawishi wa urusi itazidi kuwa kubwa tu kadri siku znavyosonga
 
Hiyo ndio sababu kuu ya kadhia yote ya Urusi kwa majirani zake.
Umeiweka kwa lugha nyepesi kabisa ambayo hata ngumbaru anaweza kuelewa.
aah wapi, putin ana sababu zake kuzivamia ukraine na georgia, anaplay NATO card kujustify mipango yake, amekuwa frustrated vile EU,US,TURKEY na CHINA zilivyoongeza sana ushawishi kwe maeneo ambayo yamekuwa backyard yake kwa miaka mingi, but as long wengine wana vingi vya kuoffer interms of trade,investments na mengneyo kiuchumi basi changamoto dhidi ya ushawishi wa urusi itazidi kuwa kubwa tu kadri siku znavyosonga
 
Tofauti ni kwamba USA haikupigana moja kwa moja Vietnam kama Russia anavyopigana Ukraine. Katika vita vyote vya marekani alivyopigana direct, serikali zote zilianguka tena ndani ya muda mfupi.
Sidhani kama North Vietnam wangeweza kuhimili full war na Amerika ndani hata ya mwezi mmoja.
Hapo Ukraine, Russia kaingia mzima mzima na serikali bado imesimama. Ili wafaulu kumega ardhi inabidi kwanza waiondoe serikali ya zelensky.
Vipi kuhusiana na ASSAD !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA HALI INAVYOKWENDA KWASASA INAONYESHA DALILI ZOTE KUWA RUSSIA AMESHASHINDWA HII VITA. TENA KASHINDWA VIBAYA. KWASASA UKRAINE AMEANZA KU GAIN MOMENTUM NA AMESABABISHA CASUALTY KUBWA SANA KWA JESHI NA VIFAA VYA RUSSIA.

ILIFIKA WAKATI HAPAKUWA NA NDEGE HATA MOJA YA UKRAINE ILIYOWEZA KURUKA LAKINI KWASASA NDEGE VITA ZAO ZIMEANZA KUONEKANA ZIKIRUKA. PIA LENGO LA NATO/ USA KUIDHOOFISHA RUSSIA LINAFANIKIWA SANA.

KITENDO CHA FINLAND NA SWEDEN KUONYESHA NIA YA KUJIUNGA NATO KIMEZIDI KUMCHANGANYA RUSSIA AMBALO NI LENGO LA NATO/ US (psychological warfare) na RUSSIA KASHACHANGANYIKIWA SANA.

PENYE UKWELI TUUSEME TU
 
Unajua maisha mazuri Ulaya yalianza lini na lini Russia ilianza kuzalisha gesi na mafuta?

Hiyo gesi, mafuta na rasilimali za Russia wanazichukua bure?

Endelea kubaki na mawazo yako ya hovyo ya siasa za ujamaa. Nchi zinakuwa dola zenye nguvu kwa sababu ya teknolojia, mtaji na biashara huru.
Kabla ya kokement muwe munasoma nakuelewa vyema jamaniii
Khhaaaa!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nato ipigane vita vya muda mrefu tu mpaka mrusi achoke ndio dawa yake wazidi tu kupeleka silaha Ukraine bila kuchoka hii itaathiri maisha ya watu wa Russia watachoka tu siku moja nato isikate tamaa AT NO LONGER A GIANT RUSSIA WILL SURRENDER...! And at that time it shall be a good time to divides Russia and collapse it totally, no good chance the western had than this time"
 
USA alipeleka askari 2,700,000 kwenye ardhi ya Vietnam kwa ajili ya kupigania vita,
Vita aliyopigwa na kushindwa vibaya.

Sijui unaposema hakupigana mwenyewe, una maana gani?

Mwanzoni alianza kusaidia Wafaransa na south Vietnam waliokuwa wanapigana na Vietcong ila kwenye battle ya BIEN DIEN PHU waviet Cong walishinda na mfaransa kupigwa, hivyo hakuwa na jinsi ikamlazimu aingie vitani Moja kwa Moja.

Ambapo alikutana na dhahama kubwa mpaka kutumia chemical weapons maarufu kama agent orange.

Na Bado alishindwa vita.View attachment 2225336View attachment 2225337
Duuh mbna jamaa aliingiza majeshi wengi hv au wamekosea !!? Hii si 2.7M ama!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aah wapi, putin ana sababu zake kuzivamia ukraine na georgia, anaplay NATO card kujustify mipango yake, amekuwa frustrated vile EU,US,TURKEY na CHINA zilivyoongeza sana ushawishi kwe maeneo ambayo yamekuwa backyard yake kwa miaka mingi, but as long wengine wana vingi vya kuoffer interms of trade,investments na mengneyo kiuchumi basi changamoto dhidi ya ushawishi wa urusi itazidi kuwa kubwa tu kadri siku znavyosonga

Naam, NATO sio sababu ya Russia kuvamia Ukraine. Latvia, Estonia na Lithuania zote ziliingia bila tatizo.

Tatizo la Russia ni pale Nchi katika backyard yake ambayo ana ushawishi ikiachana na Sera zake. Mfano mzuri ni kuivamia Czechoslovakia mwanachama mwenzao wa Warsaw Pact.
 
They say they will never accept changing the borders of Ukraine even by a span. Truth? Instead, you will participate in the destruction of Serbia's national sovereignty and tell us about Kosovo as the "heart of Europe" and a separate country."

Vučić about the statement by the foreign ministers of the G7 countries that they do not recognize changes in Ukraine's borders.

20220502_010825.png
 
After the victory of Ukraine at Eurovision, many accusations of politicization remain under the post of the organizers of the contest:

“Why was the competition held at all? It became clear to everyone who would win as soon as Ukrainian performers appeared. This is unfair to all other participants”;

“Eurovision is thoroughly politicized, shame”;

“The worst winner in Eurovision history. In general, they didn’t make any efforts - they just took advantage of where they came from ”;

“[Eurovision 2022 motto] ‘Sounds of Beauty’ should be changed to ‘Sounds of Politics’;

"It's a shame that instead of giving credit to the talents and voices of the performers, they are promoting personal interests while weaving in politics";

"Ukraine's victory is politically motivated, but next year Eurovision will be held in Russia."
20220502_010825.png
 
KWA HALI INAVYOKWENDA KWASASA INAONYESHA DALILI ZOTE KUWA RUSSIA AMESHASHINDWA HII VITA. TENA KASHINDWA VIBAYA. KWASASA UKRAINE AMEANZA KU GAIN MOMENTUM NA AMESABABISHA CASUALTY KUBWA SANA KWA JESHI NA VIFAA VYA RUSSIA.

ILIFIKA WAKATI HAPAKUWA NA NDEGE HATA MOJA YA UKRAINE ILIYOWEZA KURUKA LAKINI KWASASA NDEGE VITA ZAO ZIMEANZA KUONEKANA ZIKIRUKA. PIA LENGO LA NATO/ USA KUIDHOOFISHA RUSSIA LINAFANIKIWA SANA.

KITENDO CHA FINLAND NA SWEDEN KUONYESHA NIA YA KUJIUNGA NATO KIMEZIDI KUMCHANGANYA RUSSIA AMBALO NI LENGO LA NATO/ US (psychological warfare) na RUSSIA KASHACHANGANYIKIWA SANA.

PENYE UKWELI TUUSEME TU
Una backup ya ushahidi wwte ama umejiandikia tu kama kasuku!!?
 
After the victory of Ukraine at Eurovision, many accusations of politicization remain under the post of the organizers of the contest:

“Why was the competition held at all? It became clear to everyone who would win as soon as Ukrainian performers appeared. This is unfair to all other participants”;

“Eurovision is thoroughly politicized, shame”;

“The worst winner in Eurovision history. In general, they didn’t make any efforts - they just took advantage of where they came from ”;

“[Eurovision 2022 motto] ‘Sounds of Beauty’ should be changed to ‘Sounds of Politics’;

"It's a shame that instead of giving credit to the talents and voices of the performers, they are promoting personal interests while weaving in politics";

"Ukraine's victory is politically motivated, but next year Eurovision will be held in Russia."

20220502_010825.png
 
Serbia will resist the imposition of sanctions against Russia as long as it can.

This was announced on the air of the Prva channel by the President of the country Aleksandar Vučić.

"They say, 'Vučić announces the imposition of sanctions.' No ... We endure a lot without imposing sanctions against the Russian Federation, but we do this because we are an independent country, ”TASS quoted him as saying.
20220502_010825.png
 
Duuh mbna jamaa aliingiza majeshi wengi hv au wamekosea !!? Hii si 2.7M ama!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kwamba kakosea, jamaa ame google half- baked information ambayoo hajaelewa context yake. Hio 2.7 million ni wanajeshi wote in total wa Amerika ambao wali serve ndani ya Vietnam. Number sahihi ni around 500,000 in a particular day.
 
Naomba kuelekezwa jinsi ya kukoleza maandishi kwenye pages (replies) za jamii forums yawe ya rangi

Mfano Jamii forums

lakini liwe na rangi tofauti na nyeusi!
 
Back
Top Bottom