Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aiseee..
Utagaragazwa na wa russia wa buza muda si mrefu..mpaka utakimbia siredi yako....
Ngoja waamke watakuja hapa kama viwavi jeshi,halafu ni wa taaalamu wa comments ndefu.

Wataflood huu uzi na non stop comments,wale ni wa taalamu wa vita ya mdomoni hapa Jamvini [emoji3]
 
Hakuna huo mkataba.
Vyovyote itakavyokuwa ama itakavyoandikwa ila bado maana itabaki palepale kuwa Finland ana mkataba na Russia.

Mataifa makubwa yapo makini sana na usalama wa mataifa yao. Sisi huwa tunaangalia kwa sura tofauti ila waoa wanaangalia kwa jicho la utofauti kabisa!

Kwa sasa dunia imesonga mbele kwani nyakati za sasa ni za mashaka kuna silaha za maangamizi za nuclear.

Ukileta mtafaruku wa kutishia amani usalama wa Taifa kubwa unadhank watakichekea? Wao watakachojali ni kulinda usalama wao tu! Hayo masuala mengine ya kusema sijui ni makatili mtayajua wenyewe! Na hivi ndivyo hekima ya kihistoria inavyotuambia.
 
Nyinyi ndio mnaufanya huu uzi upoteze maana ,maana mmejaa utoto wakati ni mamtu mazima wenye familia.
Yaani wewe unaona mauaji yanayoendelea huko ndio utu uzima ila kumtaja mtu kwa namna alivyo ndio utoto? unaweza elezea nimeonyesha utoto gani?
 
Utamaduni ni zaidi ya lugha.
Rap, RnB, Country Music, Pop, pizza, coca cola na Pepsi, Basketball, movies, mfumo wa Urais vyote ni utamaduni wa Marekani.
Msaidie ufaransa wana lugha yao, uk, hispania, urusi kwa uchache atutajie lugha ya us kwa kifupi ni taifa lisilo na utamaduni
 
Wewe Mrusi wa Buza unayeshindia miguu ya kuku huwezi kuzishauri chochote Finland na Sweden nchi za ulimwengu wa kwanza ambazo zinakupa hadi misaada.

Raia wa hizo nchi wanazijua vizuri nchi zao na majirani wao kuliko wewe unavyojua mtaa wa pili jirani yako.
Nimewaza sana maamuzi ambayo Russia anaweza kuyachukua juu ya matakwa ya Nordic countries (Finland & Sweden) kijiunga na Nato. Finland ana share mpaka mkubwa sana na Russia zaidi ya kilomita 1200, ni sawa na kutoka Dar mpaka mwanza, au dar mpaka sumbawanga.

Hali hyo itafanya vikosi vya Nato kuisogelea mno urusi, na ikitokea vita basi urusi atakua na hali ngumu sana kwa mashambulio ya ghafla ya Nato.

Kwa kuzingatia hayo sioni jinsi urusi atakubali unyonge huo, na poa sidhani kama ataenda vita vya moja kwa moja kama ilivyo Ukraine. Nahisi urusi atatumia njia shortcut na ya kikatili sana ambayo labda dunia hatushahudia kuzizuia hizi nchi kujiunga NATO

Leo maafisa wa urusi wameikumbusha Finland juu ya mabomu ya 'sarmat' hivyo Finland anapaswa kufikiri mara mbili.

West sio wa kuwaamini sana, walimsonga sana Zelensky. Mpaka leo Zelensky anapokea kipigo na hajajiunga Nato wala EU. Na mbaya zaidi anaelekea kupoteza majimbo ya nchi yake. Wanadanganywa na misaada ya juvenile ambayo mpaka sasa wanashindwa kuwarudisha warusi kwao, achilia mbali kurudisha najimbo yao.

Waswahili husema kuchamba kwingi mwisho kushika mavi, Finland na Sweden wanapaswa kutuliza 'kalio' la hasha watalazimika kukalia vichwa... na hapo watakua wamechelewa.
The irreplaceable
 
IMG_20220515_074239_972.jpg


"Yakovenko Vyacheslav "Kerch" was DENAZIFIED🧹🧹🧹

He took part in the fighting in the Donbass, was involved in the genocide of the population,looting and killing civilians.
 
Finland inataka kujiunga na NATO, nayo itavamiwa na Urusi kama Ukraine??
Raisi wa Ukraine huenda alifanya kosa kutaka kujiunga NATO na kuleta huu mzozo, nasema huenda sababu sijajua ni nn kilimsukuma kutaka hilo na kwann raia wake hawakumzuia. Huenda walimuona Urusi kama adui zaidi ya mshirika na jirani maana ni mzozo wa muda mrefu.

Jambo ninalopinga mm ni maamuzi ya Urusi kuipiga Ukraine kwa sababu hii move imemfanya aonekane bully na kuhalalisha sababu ya Ukraine kutaka kujilinda naye. Amezipa uhalali pia nchi jirani kufikiria kufanya hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
It's amazing knowing the side that is winning wanashindwa kukomboa au tuseme kusaidia wanajeshi wao to the extent wake wa wanajeshi hao wanawaombea msaada waume zao nje ya nchi yao, oh wait, kwa Nchi rafiki wa adui yao.

IMG_20220515_074657_778.jpg

Relatives of Ukrainian forces holed-up in Mariupol steel plant ask China for help.

🔹The relatives of the Ukrainian troops, who have holed up inside a sprawling steel plant in the southeastern Ukrainian port city of Mariupol, have pleaded with China to use "its influence on Russia" to let the encircled troops leave the complex.
 
GDP ya Russia ilikuwa kiasi gani kabla ya vita na sasa iko kiasi gani?

Sarafu ina mahusiano gani na GDP?
Walitegemea GDP ingeshuka maana walitegemea vikwazo vinge sababisha sarafu yake kuporomoka lakini matokeo yamekuwa tofauti kabisa.

Nadhani hata nchi za magharibi zinashangazwa na uimara wa sarafu ya Urusi.
 
Urusi kupiga Mariupol ni sawa na kuendelea kupiga Mochwari kisha kujisifu umeua.

Ukraine wanakomboa mji mmoja baada ya mwingine na huko Mariupol itafika zamu yake ya kukombolewa.

Kharkiv imekombolewa tayari
Kwani kuna miji ambayo RUSSIA aliiteka huko UKRAINE!!?
Hizo habari mbna hatujawahi kuziona wala kuzisikia
Maana kila leo tunasikia RF wanapelekewa moto tuu
Nyie watu bana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom