Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hujui uchumi unavyofanya kazi, Hujui nini kinapandisha au kinaporomosha uchumi.
Ruble 1 ya Russia ni sawa na Sh 1.7 ya Kenya.
Ruble 1 ya Russia ni sawa na Sh 1.7 ya Kenya.
Uchumi wa Urusi uliporomoka baada ya sarafu yake kushuka thamani mwaka 2014 ila kwa sasa sarafu yake imeimarika mno ina maana kwa sasa GDP yake itaimarika.